Pol Pot
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 983
- 487
Kwa huyu asipotulia ile iliyopiga bega itapiga sehemu sahihi nchi itulie. Asituletee mambo ya Syria Bongo.
Kijana umetekenywa na nani leo?
Au mumeo kakuacha pabaya?
Kwa huyu asipotulia ile iliyopiga bega itapiga sehemu sahihi nchi itulie. Asituletee mambo ya Syria Bongo.
Usiwe punguani wewe nyie ndiyo mlikuwa mnajifanya wafuasi wa Lowassa mnaomba kura kwa Waislam leo hii mnaleta kashfa dhidi ya kiongozi wa Waislam.Magufuli kamuokoa... ila huyu jamaa asipo jiunga ISIS au Al-Shabab, mtaona...!!
Ampigie magoti Magufuli...!!
Uchochezi upi wewe punguani?Aache uchochezi....
Usiwe punguani wewe nyie ndiyo mlikuwa mnajifanya wafuasi wa Lowassa mnaomba kura kwa Waislam leo hii mnaleta kashfa dhidi ya kiongozi wa Waislam.
Jina lako na ile style ya kuinama wakati wa tendo la ndoa vinafanana sana.
Au jina lako Biashara?
Usiwe punguani wewe nyie ndiyo mlikuwa mnajifanya wafuasi wa Lowassa mnaomba kura kwa Waislam leo hii mnaleta kashfa dhidi ya kiongozi wa Waislam.
Usiwe punguani wewe nyie ndiyo mlikuwa mnajifanya wafuasi wa Lowassa mnaomba kura kwa Waislam leo hii mnaleta kashfa dhidi ya kiongozi wa Waislam.
Kulikuwa na tuhuma hizo kule Zanzibar kwamba anahusika.
Anahusika kwani Mh. JPM hapendi dhuluma na anapenda Haki tu. Ndiyo maana kaachiwa.
gaidi ameachiwa mamaaaa,sasa hatar tupu
Magufuli kamuokoa... ila huyu jamaa asipo jiunga ISIS au Al-Shabab, mtaona...!!
Ampigie magoti Magufuli...!!
Lowassa anakuwasha kalio?
tumjadili huyu mjahidin shekhe ponda
Binafsi ukinambia nikutajie wachochezi wanne bora toka tupate uhuru.. ni hawa
1.shekhe Hassan Kapungu(R.I.P)
2.shekhe Ponda Issa ponda
3.shekhe Farid wa uamsho zanziber
4.mohamed said