Sheikh Ponda aachiwa huru

Sheikh Ponda aachiwa huru

SERIKALI YA JOHN P. MAHUFULI WADINI SANA... WALIANZA KUPIGA MARUFUKU KADI ZA XMASS, SASA HIVI WAMEMUACHIA HURU SHEIKH PONDA .... MAGUFULI MDINI (SARCASM )

:lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1:
 
kale bata na familia yako, magufuli kakuona bado babu seya


hivi mwanao angefanyiwa vitendo vile vichafu ungekubali...??

Babu seya yupo mahala anapostahiki....

Aozee hukohuko
 
Ponda dai fidia,ulikamatwa na visa tu
 
Nchi hii hatari sana, wenye haki wanatiwandani,wakwepakodi na wasafirisha madawa ya kulevya wanakula bata kitaaani,Mungu akujalie Shekh Ponda bado Babu Seya natumaini Presdent wangu JPM atamtoa nayeye,wakati wa ukombozi umefika kwa watanzania viva JPM.
 
Anahusika kwani Mh. JPM hapendi dhuluma na anapenda Haki tu. Ndiyo maana kaachiwa.

Kweli mtatiro hakukosea pale aliposema watanzania ni watu wa matukio!!! Sasa Magufuli kaingiaje hapa!!?? Kama anapenda haki basi nibora angeanza kuionyesha pale familia ya kiongozi wa chadema ndugu Alp Mawazo ilipozuiliwa kuaga maiti ya mpendwa wao na Polisi tena bila ya sababu za msingi, mbona hakuinua mdomo kuikemea Polisi!!!!!???

Kwa kuwa watanzania ni watu wa matukio basi kipindi hiki hata akitokezea mtu akasema anatibu ukimwi basi nilazima atasifiwa Magufuli!!! Tuacheni huo upumbavu, maana ni wazi Ponda alishitakiwa mahakamani na wala hakushitakiwa kwa Magufuli.
 
Duh! kweli #HapaKaziTu,naiona Tanzania mpya inakuja ambayo wanyonge watapata kufungulia,viva JPM my Presdent:shock::A S 103::hand:
 
Alikuwa anasota kwa amri ya mkwere. Kwaiyo sasa hivi hakuna shinikizo tena la serkal ktk ishu iyo.
 
Huyu akileta chokochoko zake this time nikumpoteza..nchi uko serious mambo ya kufua dini baadae.

Tatizo lako unawachukulia powa mno, muislamu haogopi kufa maana anatambua fika kuwa maisha ya dunia ni moja wapo wa kituo ambacho atapita !! Kama ambavyo hakuishi milele ndani ya tumbo la mama yake basi hivyo hivyo hatoishi milele duniani na pia kaburini!

Kama waislamu wangeogopa kudai haki zao kwa kuwa wanaogopa kufa basi leo tusingekuwa tunasoma historia za ushujaa wao akina chifu mkwawa, kinjengetile abushiri wa Bwagamoyo na wengineo wengi waliokataa dhulma na unyonyaji wakati huo

Hivyo ninakuahidi hutomkuta Sh.Ponda kukaa kimya na kuacha kulipigania lile analoliamini haliko sawa kwake na kwa waislamu!!
 
Eti ikulu imekuwa porokia...ha ha ha shekhe ponda kwa uchochezi hana mpinzani kwa sasa
 
Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.

usilolijuwa ni bora jikaushe tu
 
Afaili kesi ya madai ya kudhalilishwa na gharama za kesi.
 
Back
Top Bottom