Sheikh Ponda aachiwa huru

Sheikh Ponda aachiwa huru

Huyu Babu awahubirie watu kuwa wema na si kuishambulia dini nyingine. Mashambulizi dhidi ya dini nyingine kima ndio yanayomponza huyu . Ajitahidi kuwapenda watu wengine hata kama wanatofautiana kiimani
 
Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.

ila nakubaliana na ww maana kuna kipind tindikali ilizagaa sana na watu hasa wakristo walikuwa wanamwagiwa sana lakn sasa hvi tangu huyu jamaa wamtupie mahabusu yalikoma kabisa
 
attachment.php


Mahakama ya hakimu mkazi Morogoro imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aliyekuwa akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi baada ya mahakama kutoridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka na hivyo kuonekana hana hatia.

Chanzo: IPP Media (EATV)

Ukiujua kweli nayo kweli itakuweka huru.
 
Kweli mtatiro hakukosea pale aliposema watanzania ni watu wa matukio!!! Sasa Magufuli kaingiaje hapa!!?? Kama anapenda haki basi nibora angeanza kuionyesha pale familia ya kiongozi wa chadema ndugu Alp Mawazo ilipozuiliwa kuaga maiti ya mpendwa wao na Polisi tena bila ya sababu za msingi, mbona hakuinua mdomo kuikemea Polisi!!!!!???

Kwa kuwa watanzania ni watu wa matukio basi kipindi hiki hata akitokezea mtu akasema anatibu ukimwi basi nilazima atasifiwa Magufuli!!! Tuacheni huo upumbavu, maana ni wazi Ponda alishitakiwa mahakamani na wala hakushitakiwa kwa Magufuli.

yaan ulitaka aache shuguli za kitaifa zenye faida kwa nchi hii na aanze kuhangaikia misiba?

Waache wafu wawazike waafu wenzao
 
yaan ulitaka aache shuguli za kitaifa zenye faida kwa nchi hii na aanze kuhangaikia misiba?

Waache wafu wawazike waafu wenzao


Hivyo hivyo hahusiki na lolote lile katika kukosekana ushahidi wa kumtia hatiani Sheikh Ponda Issa Ponda! Kwa maana hiyo hapa Magufuli hana cha kusifiwa.
 
Yule mnafiki wa ccm cc FAIZER FOCS.alikuwa hapendi huyu jamaa kutoka jela.


swissme
 
unasema kinachomponza ni kuhubir chuki dhidi ya dini nyngne wakat mahakama inamuacha huru hana hatia upooo....kama kuhubir chuki gwajima kamtukana kabisa hadharan kadinali pengo mkatoliki na yuko nje anaendeleza umbashalism na hafungwi
 
ShEikh Ponda alianza kuisumbua serikali toka enzi za Mwinyi, akaja Mkapa akaja Jk wote wamemshindwa, sasa ni zamu ya Ngosha, tuone kama ataweza.
Kwanza Lazima tena lazima alipwe FIDIA (haki yake) halafu mengine tuyazungmze hapa!! "ALIPWE FIDIA ya kumjeruhi kwa risasi na kifungo cha kubambikizwa kesi feki" wengi tuliamini hana hatia from day one...!!
Long live Shk.Ponda
kabanga Nyamanoro Kyenju jembepori hiyo ni dili imechezwa......
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo!hukumu ilishaamdaliwa kabla ya kuapishwa magufuli,kilichokuwa kibasumbua ni hakimu alitoa udhuru tangia tar.19/10/2015,magufili hapa hausiki hata kidogo!

Haijalishi ila mikesi mingi ilenda kidhulma na kiuonevu yuko wapi massawe mmeshamkata Magufuli atawanyoosha tu.
 
Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirrrrrrrrrrrrrrrrrttttttt..........
 
We ole wake acheze na dola ya JP maana haina masihara hatakidogo....najua na yeye analitambua hilo

Mkuu umevuta miunga
Kama angekua anaichezea dola ya kikwete angekua kapatikana na hatia

Ccm hata wakiambiwa watekeleze majukumu yao inakua ni Uchochezi
 
Back
Top Bottom