Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Sio sawa.
Unachotakiwa ni Kumjibu yeye sio wazee wake.
Kijana unasahau utamaduni wetu watanzania?
Wazee wake wamekukosa nini?
Shughulika na ya kwako mdogo wangu. Huo mpira aliouanzisha mwachie mwenyewe. Mimi nachangia hoja kwenye maada yeye ananitukana mimi. Kwa nini asichangie kwenye maada? Ama akubali au akatae hamna shida. Tatizo liko hapo. Hata wewe mwenyewe tumepakwaluzana kwenye maada hii hii.
Everybody must be entitled to his/her opinion in JF.