Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,812
Kulinganisha taasisi za kikristo na kiislamu katika kumiliki shule/ vyuo ni ujinga. Mfano mi nipo Arusha, shule za kiislamu hazizidi 5, na hakuna chuo. Wakati wakristo wana shule zaidi ya 100 na vyuo vya kutosha..sasa unashindanisha Nini hapo. Na tena shule za kiislamu ndio zinaongoza kufelisha ukilinganisha na seminary. Waislamu bado sana, acha kujipa moyo..Taasisi za kiislamu,ziko nyingi,na karibia zote zinamiliki shule,na vyuo tofauti na BAKWATWA shule na vyuo vinavyomilikiwa na BAKWATA,mnashinda kutofautisha kwa vile katika uislamu tofauti na ukristo,madhehebu makubwa Tanzania Suni,ambao ni sawa na BAKWATA katika ibada,ila BAKWATA,ni BARAZA KUU.