Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kwenye UDINI aaaah wazee wa vigango watatetea hadi asbuh,
Umetajwa na UKANDA hapo haujadiliwi.
 
ZANZIBAR KUNA WAKRISTO WANGAPI KABINETI?

Kwa masiku kadhaa Sheikh Khalifa amekuwa akisikika na kauli yake ya kumtuhumu Rais Magufuli kuwajaza Wakristo wengi kwenye nafasi zake za uteuzi.

Aidha Sheikh huyo aliongezea kwa kusema kuwa licha ya uwepo wa suala hili la udini Rais Magufuli ameweka wazi upendeleo wake wa kikanda ambapo watu wa kanda ya Ziwa wameonekana kung’ara kwa kuteuliwa katika nafasi za uongozi kwa wingi zaidi kuliko watu wa kanda yoyote hapa nchini.

Akizungumzia suala hilo na waandishi wa gazeti la Mizani la November 11, 2016 Sheikh Khalifa Khamis alieleza kuwa katika nafasi 10 walizotumbuliwa Waislam ni nafasi 1 tu ndiyo aliyopewa Muislam.

Sheikh Khalifa alizidi kufafanua kuwa Wenyeviti wa bodi mbalimbali walioteuliwa na Rais Magufuli 18 ni Wakristo na 1 tu ndiyo Muislam.

Makatibu Tawala wa Wilaya Wakristo ni 81% huku Waislam wakiambulia 19% tu. Wakuu wa wilaya Wakristo ni 71% na Waislam ni 21%.

Makatibu Tawala wa mikoa 137 ni Wakristo na 16 tu ndiyo Waislam. Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya na majiji Wakristo ni 185 na Waislam ni 36 tu.

Kitu pekee anachopaswa kutambua Sheikh Khalifa Khamis ni kwamba Rais Magufuli hateui mtu kwa kuangalia dini bali anaangalia taaluma na uwezo wa kuongoza.

Kukiwa na kitengo kinachohitaji uwakilishi wa dini hapo ndo tunapaswa kuangalia usawa wa uwakilishi wa kidini. Pia anapaswa kutambua kuwa Tanzania haina Wakristo na Waislam tu, kuna watu wa dini tofauti tofauti na wasio na dini pia, je hao amewaweka kwenye kipengele gani?

Hizi ni njama tu za kutaka kumrudisha nyuma Rais wetu kipenzi cha Watanzania wengi. Watanzania tunahitaji MAENDELEO na AMANI tu, mambo ya dini tunayaacha kwenye nyumba za ibada. Tunapofika kwenye sekta za umma hatusemi tena mambo ya dini zetu, bali kauli yetu huwa ni moja tu nayo ni HAPA KAZI TU.

Ni jambo la kusikitisha sana kuona kiongozi mkubwa wa dini akitoa tuhuma za uongo na uzushi kwa Kiongozi Mkuu wa wa nchi yetu.

Sheikh Khalifa anakiuka misingi ya imara ya taifa letu iliyowekwa na baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere ya kupiga vita udini na ukabila.

Udini na ukabila ni mbegu mbaya sana ambayo siyo tu haifai kupandwa kwenye ardhi yetu bali haipaswi hata kutunzwa majumbani mwetu, isije mea hata kwa bahati mbaya.

Mataifa mengi yameshuhudia machafuko na mauaji ya kutisha kwa udini na ukabila. Hakuna hata Mtanzania mmoja anayetamani kuona mfano wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda au vita ya Biafra Nigeria ikitokea hapa kwetu.
 
Kwenye UDINI aaaah wazee wa vigango watatetea hadi asbuh,
Umetajwa na UKANDA hapo haujadiliwi.
Hapa hata hizo data alizoweka ni uongo kwa sababu anayejua huyu ni mwislamu no allah tu...yeye anaangalia majina ya kina juma...baadaye anaita hao ni waisilamu...[emoji57]
 
shekh halifa keep it up hichi kijamaa kilichotoa mada badi kinakasumba ya kizamani kwamba waislamu hawajasoma .

vijamaa vipuuzi kama hivi bado vipo .kuna mamilioni ya waislamu waliosoma kwa sasa hapa tanzania tuna mamia kwa namia ya mafrofesa waislamu na ma phd na mamasters na magreduate maelfu na maelfu .

lakini hawapewi nafasi
 
Hapa hata hizo data alizoweka ni uongo kwa sababu anayejua huyu ni mwislamu no allah tu...yeye anaangalia majina ya kina juma...baadaye anaita hao ni waisilamu...[emoji57]

Mgen mbona umeweka hilo jina kwenye Avatar yako,nilitegemea nione jina la Yehoshua
 
shekh halifa keep it up hichi kijamaa kilichotoa mada badi kinakasumba ya kizamani kwamba waislamu hawajasoma .

vijamaa vipuuzi kama hivi bado vipo .kuna mamilioni ya waislamu waliosoma kwa sasa hapa tanzania tuna mamia kwa namia ya mafrofesa waislamu na ma phd na mamasters na magreduate maelfu na maelfu .

lakini hawapewi nafasi
Kasomeni al badri, itkaf, muhalira...ili allah awape wepesi wanao waonea wapate vibusha...[emoji4]
 
Leo nimelitafuta jukwaa la dini hapa JF naona halipo tena
Lipo karibu sana wapo kule kina gavana bado kakomaa wengine naona wamesha jisalimisha kwa Yesu awanusuru na moto alio uandaa allahsuratul mariam.71
 
Lipo karibu sana wapo kule kina gavana bado kakomaa wengine naona wamesha jisalimisha kwa Yesu awanusuru na moto alio uandaa allahsuratul mariam.71


Nani huyo kaacha windows 10 kachagua DOS?
 
Basi vizuri, umebakisha nusu tu ya shahada polepole utaipokea nayo!
Hiyo ya kukamuliwa ngama na kupulizwa makalio ndio ili ufuzu ukangonoke mbele ya allah pepo ya kihivyo hata bure sitaki, Pigs ua galagaza, SIITAKI [emoji83] [emoji379] niheri nipate ukoma kuliko kuwa mfuasi wa allah na mudi [emoji57] [emoji4]
 
Afrodenzi,
Hakuna anaetaka kusababisha machafuko kinachotakiwa hapa ni uadilifu
katika mgawo wa madaraka na fursa nchini.

Ikiwa nchi itawekwa katika hali ya kuwa Waislam toka hatujapata uhuru
ni watwana na Wakristo ni mabwana hii ni sababu tosha ya kuleta farka
katika jamii.

Soma historia ya uhuru wa Tanganyika uone vipi wazee wetu walijitolea
ili Tanganyika iwe huru na kila mwananchi apate haki bila ya ubaguzi.

Hebu soma utangulizi huu wa Hamza Njozi katika kitabu chake maarufu
Mwembechai Killings...'' kilichopigwa marufuku Tanzania:

''I have satisfied myself that President Mkapa’s speech to the National Assembly in Dodoma on 4 November 1998 was such a monument of eloquence in Kiswahili language that its majesty can rarely be captured in a foreign tongue. I am keenly conscious therefore that the following brief quotation in translation in which President Mkapa provided a breath-taking description of our beautiful country is but a faint shadow of that awe-inspiring address: Mr. Speaker, after three years of my presidency, I can dare to modify the words of a famous Zanzibari maestro, Siti binti Saad by saying: Tanzania is a good country, let one who wishes to come, do so. God has showered blessings on our country. It is a country of unity, peace, love, rejoicing, and exceeding generosity. It is a country of people who love equality and justice. Our national unity springs from our firm belief in the equality of human beings before God and before the law. A unity reinforced by correct policies of nation building -- policies based on the principles of social justice, peace, harmony and development for all. A unity which is extra-sensitive to policies, statements, behaviour, and actions which may sow seeds of discord, hatred and suspicion among Tanzanians. With the possible exception of Tanzania, I do not know a country in the contemporary world which has been able to combine all the commendable qualities listed above. I suggest in this book that the supposed outstanding merits of Tanzania may resemble the presumed unblemished qualities of that woman in a folktale who secretly kept a human skeleton in her cupboard. According to one version of that popular story, a long and intensive search was mounted to find an individual in this world who did not have a single source of shame, trouble or anxiety. At long last, when almost everyone had lost hope of ever finding any such person, a graceful woman was discovered. She scored all the points in the check-list. When they were about to declare her the undisputed winner, she took them upstairs and showed them her secret closet which contained a human skeleton. She said, “This is a skeleton of my lover who was killed by my husband. Every night my husband forces me to kiss it.” This book is about one old skeleton in our national cabinet; the burden of religious discrimination which we have always carried in our hearts but which we have carefully managed to conceal to the rest of the world. President Reagan of the United States once boasted about the global reach of his country by saying: You can run but you cannot hide. But as far as our religious skeleton is concerned, we have managed to fool even the arrogantly boastful America. All the official reports published by the US Department of State from 1994 to 1999 have failed to detect religious discrimination in Tanzania. The focus of this book is on the discrimination which Muslims suffer in their country. This does not mean that no one has suffered in Tanzania except the Muslims. To be sure, in their numerous writings, Issa G. Shivji and Chris Peter Maina have unearthed several sickening skeletons as far as our general record in respecting human rights is concerned. But it is the suffering of Muslims in Tanzania which has rarely been acknowledged even in our own country. Who can imagine, for example, that President Mkapa’s speech quoted above was delivered nine months after his government had ordered policemen to shoot and kill Muslims at Mwembechai? This book is offered as a modest attempt to understand the intricate weave of social and political factors which threaten our national unity. Since my preoccupation has largely been on the wider implications of the Mwembechai killings, I have appended at the end of this book the long open letter which Abu Aziz submitted to the Attorney General on the government’s mishandling of the Mwembechai crisis. Abu Aziz’s submission offers a very insightful account of that sad episode in our national history.''

Hayo hapo juu ndiyo maneno ambayo Waislam wamekuwa wakieeleza serikali kwa muda mrefu.
Yaliyokuja baadae ya kutahadharisha kuhusu ''Mfumokristo,'' ni kilele chake.

Ukweli huu hautakwisha kwa watuhumiwa wa udini kujiaminisha kuwa tatizo litajiondoa wenyewe
au hakutakuja kuwa na madhara kwa hiyo na tuache tu.

Dhuma ikiachiwa iendelee huangamiza.
Mkuu Mohamed Said hata usemi nini bado mimi naamini Serikali inachagua watu kutoka na elemu na sio dini. Waislam , Wakristu , Wahindi, Pamoja na Wapagani wanaofanya kazi serikalini wamechaguliwa ajili ya elemu yao. End of story.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom