Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
waislam mmezidi kulalamika sijui mfanyiwe.nchi yetu haina dini huo mfumo wenu wa kusema uteuzi uangalie dini mmeutoa wapi?
 
Wasio na Dini mbona hawazungumziwi? Freemason pia mbona mnajichagua watu wa dini mbili tu eenh Pia Msisahau kuna wachawi nao hawajaewa nafasi yeyote katika serikali hii...
 
Em nitafutie mkristo ambae kateuliwa Na rais wa Zanzibar kushika nyadhifa serikalini..apo ndio utajua kati ya shein Na magu nani mdini..
 
Adai katiba mpya anayoyataka yawekwe kwenye katiba, kwamba rais afanye teuzi kwa kuzingatia dini.
Nawachukia watu wanao tumia dini kujenga hoja ya mauaji. Islam states, alshababu, bokoharam, alkaeda nk wote wanaua kila siku wakijifanya waislam. Hawatosheki na mauaji, wanatamani sisi watanzania pia watuue kisa eti shehe fulani anataka vyeo vitolewe kwa kuzingatia udini!!?? Samia Suluhu, Majaliwa hawaoni huo udini? Huyo shehe ni nani hata atoke povu kiliko wengine? Kama amechukua dhamana ya kuanzisha majambia bongo hatutaki aende Siria siyo bongo yetu au aende nchi za kidini.
 
Sio unafki ukweli lazma tuuseme na wasio kua na dini wasemeje?,
Mzalendo,
Upagani ni moja ya hoja dhaifu sana ya kudhani utaweka kutumika
dhidi ya madai ya Waislam.

Kichekesho ni kuwa huyu anaejidai Mpagani ukimbana utakuta
Ukristo nyuma yake.
 
Nawachukia watu wanao tumia dini kujenga hoja ya mauaji. Islam states, alshababu, bokoharam, alkaeda nk wote wanaua kila siku wakijifanya waislam. Hawatosheki na mauaji, wanatamani sisi watanzania pia watuue kisa eti shehe fulani anataka vyeo vitolewe kwa kuzingatia udini!!?? Samia Suluhu, Majaliwa hawaoni huo udini? Huyo shehe ni nani hata atoke povu kiliko wengine? Kama amechukua dhamana ya kuanzisha majambia bongo hatutaki aende Siria siyo bongo yetu au aende nchi za kidini.
Maneka,
Matatizo ya Al Shabab na mfano wa hayo hayana uhusiano wowote na
madai ya Waislam wa Tanzania.
 
Kiukweli huyu Sheikh Khalifa ni kiongozi imara na msema kweli na asiekuwa wanafiki kama wale. Huyu ndie mmojawapo ya kiongozi dunia inamuhitaji afichi wala hapapasi macho kwenye ukweli anaoamini ndio ulipaswa kuwa hivyo.
 
Ukwel mchungu lazma uzungumzwe hata mkijifanya kuzuga hii nch ubaguz cyo jambo jpya kuanzia shulen vyuon Mpaka kazn waweza kukuta ofc ya umma na kwaya inapigwa sasa weka kur an ndo utawackia wanafk hapo shame on u
 
MTOA MADA SIONI KAMA UNAYOSEMA UNAMAANISHA. KWA USALAMA WA NCHI HABARI KAMA HIZI NI ZA KUPUUZA. MIMI NI MWISLAM ILA SIJAONA MANTIKI YA KUHESABIANA NAMNA HIYO ALIVYOFANYA SHEIKH. ILA NAJIULIZA SHEIKH AMEKOSA NINI ALIENDA OFISI GANI AKANYIMWA HAKI ANAYOITAKA KWA KUWA YEYE NI MWISLAM? HAIPENDEZI KUUSEMA VIBAYA UISLAM KWA MANENO HAYO YA SHEIKH, CHA MSINGI HAPA TUMLAUMU SHEIKH BINAFSI NA SIO KUUTUKANA UISLAM NA WAISLAM PATAKUWA PADOGO HAPA.
 
mimi ni mkristo lakini sioni faida binafsi ya kuwa na mkristo ktk ofisi za serikali bali utaratibu lazima ufuatwe,anataka waislamu wa nini labda anataka upendeleo,pole yake,uislamu na ukristo ni kwa ajili yamambo ya ahera,kama amesilimu ili apewe cheo sana.
 
Hao CIA wamefanya lini hiyo sensa?! Tunarudi kule kule... let's say idadi ya Wakristo waliipata kutoka kwenye sensa inayofanywa makanisani; wapi walipata data kuhusu Waislamu na Wapagani? Au walikuwa wanategesha misikitini na kuhesabu wangapi wanaingia na kutoka misikitini?!

But anyway, CIA wanasema Christians ni 61% na Waislam ni 35%! Wakati huo huo The International Institute for Applied Systems Analysis (IIASA) wao wanasema:
View attachment 434038

Who're IIASA?! Hawa hapa: Is an international scientific institute that conducts research into the critical issues of global environmental, economic, technological, and social change that we face in the twenty-first century.

Hizo figure IIASA wamechukua CIA World Fact Book mwaka 2002:
View attachment 434041

Source hii hapa!

Na kuonesha IIASA hawajadanganya, Wikipedia nao walitumia Data za CIA World Fact Book mwaka 2004 na hizi ndo takwimu zao, na source hii hapa
View attachment 434044

Haya nisaidie wewe! Chini ya miaka 15 iliyopita, CIA wanatuambia Tanzania ilikuwa na Wakristo 30% lakini leo wanasema 61%!!! Hiyo doubling ya ndani ya miaka 15 imetokana na nini?! Au CIA unaowazungumzia wewe sio hao wanaoandaa World Fact Book?!
hiyo 61% ni hesabu za ki NGO cha kwenye brifcase kinaitwa PEW,

CIA wao data yao ya mwanzo ni 30%,

so baadae walihitaji ku update data,wakatumia za PEW.

LAKINI ukicheki update za CIA kwa mwakahuu,naona iko blank means hawana vyanzo vya uhakika
 
Mtoto...
Zanzibar utawapata wapi Wakristo wa kujenga hoja ya kudai utawala?
Ha ha ha wapo wengi sana ila wanapuuzwa Kwa sababu tawala ya Zanzibar inaendeshwa kisultani..sasa ya bara yanawakuna.hawapendi kumuona mkristo kawa Na wadhifa Fulani bahati mbaya haiwezekani coz elimu ndio inakupeleka kuongoza,sisi hatuna mapdri wala wachungaji wanaoamua kumuingiza mtu madarakani ILS wenzetu wanafanya ivo ndio mana utaona kampeni mpk misikitini
 
hiyo 61% ni hesabu za ki NGO cha kwenye brifcase kinaitwa PEW,

CIA wao data yao ya mwanzo ni 30%,

so baadae walihitaji ku update data,wakatumia za PEW.

LAKINI ukicheki update za CIA kwa mwakahuu,naona iko blank means hawana vyanzo vya uhakika
CIA hawa Majasusi au CIA ipi, maana vifupi ni vingi
 
MTOA MADA SIONI KAMA UNAYOSEMA UNAMAANISHA. KWA USALAMA WA NCHI HABARI KAMA HIZI NI ZA KUPUUZA. MIMI NI MWISLAM ILA SIJAONA MANTIKI YA KUHESABIANA NAMNA HIYO ALIVYOFANYA SHEIKH. ILA NAJIULIZA SHEIKH AMEKOSA NINI ALIENDA OFISI GANI AKANYIMWA HAKI ANAYOITAKA KWA KUWA YEYE NI MWISLAM? HAIPENDEZI KUUSEMA VIBAYA UISLAM KWA MANENO HAYO YA SHEIKH, CHA MSINGI HAPA TUMLAUMU SHEIKH BINAFSI NA SIO KUUTUKANA UISLAM NA WAISLAM PATAKUWA PADOGO HAPA.

Moja ya michango iliyokaa vizuri kabisa
 
Ha ha ha wapo wengi sana ila wanapuuzwa Kwa sababu tawala ya Zanzibar inaendeshwa kisultani..sasa ya bara yanawakuna.hawapendi kumuona mkristo kawa Na wadhifa Fulani bahati mbaya haiwezekani coz elimu ndio inakupeleka kuongoza,sisi hatuna mapdri wala wachungaji wanaoamua kumuingiza mtu madarakani ILS wenzetu wanafanya ivo ndio mana utaona kampeni mpk misikitini
Mtoto,
Inaelekea huna ujuzi wa hicho unachojadili.
 
MTOA MADA SIONI KAMA UNAYOSEMA UNAMAANISHA. KWA USALAMA WA NCHI HABARI KAMA HIZI NI ZA KUPUUZA. MIMI NI MWISLAM ILA SIJAONA MANTIKI YA KUHESABIANA NAMNA HIYO ALIVYOFANYA SHEIKH. ILA NAJIULIZA SHEIKH AMEKOSA NINI ALIENDA OFISI GANI AKANYIMWA HAKI ANAYOITAKA KWA KUWA YEYE NI MWISLAM? HAIPENDEZI KUUSEMA VIBAYA UISLAM KWA MANENO HAYO YA SHEIKH, CHA MSINGI HAPA TUMLAUMU SHEIKH BINAFSI NA SIO KUUTUKANA UISLAM NA WAISLAM PATAKUWA PADOGO HAPA.
Hujielewi wewe....unajiuliza kwani akuambia amekosa haki sehemu.!?

Hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila yao
 
Hujielewi wewe....unajiuliza kwani akuambia amekosa haki sehemu.!?

Hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila yao
Kwa hiyo wewe unashauri nini? Au unataka nini kifanyike ili usifate mila hizo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom