Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hujielewi wewe....unajiuliza kwani akuambia amekosa haki sehemu.!?

Hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila yao

MILA IPI SASA KWA KUTOKUTEULIWA KWENYE NAFASI ZA SERIKALI? WAPI UISLAM UNATOA MUONGOZO WA SERIKALI ZA AINA HII YETU? TUKUBALI KUWA SHEIKH KACHEMKA JAPO ANA DATA ZA UKWELI; HOJA INGEKUWA NA MASHIKO KAMA UTEUZI HUO UNGEKUWA UNA MADHARA KWA UISLAM (YAANI UISLAM UNGEINGILIWA KWA NAMNA YOYOTE NA UTEUZI HUO) SHEIKH AONYESHE ATHARI ZA UTEUZI AMBAZO UISLAM UNAZIPATA TUZICHAMBUE HIYO NDIO ITAKUWA HOJA. VINGINEVYO KESHO WATAIBUKA WATU WA KASKAZINI NA NYANDA ZA JUU KUSINI WALETE MAHESABU YAO JE TUTAFIKA?
 
MILA IPI SASA KWA KUTOKUTEULIWA KWENYE NAFASI ZA SERIKALI? WAPI UISLAM UNATOA MUONGOZO WA SERIKALI ZA AINA HII YETU? TUKUBALI KUWA SHEIKH KACHEMKA JAPO ANA DATA ZA UKWELI; HOJA INGEKUWA NA MASHIKO KAMA UTEUZI HUO UNGEKUWA UNA MADHARA KWA UISLAM (YAANI UISLAM UNGEINGILIWA KWA NAMNA YOYOTE NA UTEUZI HUO) SHEIKH AONYESHE ATHARI ZA UTEUZI AMBAZO UISLAM UNAZIPATA TUZICHAMBUE HIYO NDIO ITAKUWA HOJA. VINGINEVYO KESHO WATAIBUKA WATU WA KASKAZINI NA NYANDA ZA JUU KUSINI WALETE MAHESABU YAO JE TUTAFIKA?
Ndo maana nikakuambia wewe jitafakari kabla ya kuleta comment, bado hujashika kokote, unasema Sheikh kachemka... halafu unasema ana Data za ukweli

Sasa lishikwe lipi..!? uwiano ndo jambo jema yaani nyadhifa Serikalini ndo kinazungumzwa hapa.. sijui kama unaelewa hilo
 
Udini ni kitu kibaya sana tusibaguane kwa hoja za kidini wote ni Watanzania,Wazungu na Waarabu ndio waliolera hizi dini kwa manufaa yao leo sisi ni wamoja tuu..
 
Nafikiria Rais awe Muislamu halafu ateue Wakiristo 6% halafu 94% wawe Waislamu. Hayo matamko yatakapoibuka wala hutadhania!
 
Ndo maana nikakuambia wewe jitafakari kabla ya kuleta comment, bado hujashika kokote, unasema Sheikh kachemka... halafu unasema ana Data za ukweli

Sasa lishikwe lipi..!? uwiano ndo jambo jema yaani nyadhifa Serikalini ndo kinazungumzwa hapa.. sijui kama unaelewa hilo

NDUGU YANGU KATIKA IMANI, HETU PUNGUZA MUNKAR, KATIBA IMEMPATIA RAIS MAMLAKA YA UTEUZI, NA YEYE KATEUA ANAVYOONA INAFAA, SWALA LA AMTEUE NANI, WAPI, NI KATIKA BUSARA ZAKE, KOSA LA SHEIKH WETU AMETOA TAKWIMU ZA UTEUZI ILA HATUJA UJUA UTASHI WA RAIS KUWA ALITEUA KWA KIGEZO CHA DINI ,KIKANDA, AU KITAALUMA. UKWELI ANAUJUA RAIS MWENYEWE, SHEIKH ANAPOPIGIA KELELE KITU ASICHOKUWA ANAKIJUA NIA YAKE ANAKOSEA, RAISI ANATEUA WAKATI WOWOTE VIPI KAMA KAAMUA AANZE NA HAO HALAFU MWAKA WA PILI ABADILI TENA BARAZA? KINGINE NILITAMANI SHEIKH AONYESHE KAMA KUNA MADHARA YOYOTE UISLAM UMEYAPATA KUTOKANA NA UTEUZI HUO. KAMA HAKUNA BASI TUWE NA SUBIRA TUMUACHE RAIS AFANYE KAZI YA KUTULETEA MAENDELEO TAIFA ZIMA. WABILAHI TAWFIQ.
 
Hii sensa imefanyika lini?! "Wasomi" nyinyi utawasikia "huwa tunapitisha sensa makanisani!" Kama nawe hili ndo jibu lako; basi naomba unisaidie yafuatayo!

Nchi hii ina makundi makubwa yafuatayo:
  • Wakristo
  • Waislamu
  • Wapagani
Now let's assume baada ya kupitishwa sensa makanisani; mkapata kwamba mpo 61.4% na iliyobaki ni 38.6%. How did you know out of 38.6%; miongoni mwao 35.2% ni Waislamu?! Au Wapagani nao huwa wanafanya sensa ambayo baada ya kufanya subtraction ya %age ya Wakristo na Wapagani, hapo mkafahamu waliobaki ni Waislamu!!!

Halafu acha ujinga wa wenzako wengine... kama mmekaririshwa makanisani hizo nyimbo za madrasa zinawafanya muonekane totally dumb manake mnaoongea msichokijua! Kama una marafiki Waislamu anzia hapo hapo kuangalia among your fellow Muslims ni wangapi wanaifahamu Quran!! Ni wangapi walikuwa wanasoma madrasa wakati wapo sekondari! Na kama unaishia kwenye mji wenye Waislamu; tembelea madrasa yoyote kama hujakuta wamejazana watoto ambao nao huwa wanaacha madrasa kadri siku zinavyoenda...!! Majority ya Waislamu hata hiyo Quran yenyewe hawaijui... hata juzu moja hawajamaliza lakini utafikiri mmegeuka kasuku na hoja ya madrasa!! Hoja yenu ya madrasa ni hoja ya kijinga kama sio ya kipvmbavu manake mnaongea kitu msichokijua!
Waislamu walipodai kipengele cha dini kiingize kwenye sensa iliyopita hawa hawa ndio waligoma na kutisha kuwa damu itamwagika kipengele hicho kikiingizwa.

Khofu yao ni kugundulika uongo wao. Wanatumia kisingizio kuwa wao wamesomazaidi ili wapendelewe. Walipoona uongo huo hauna mashiko wakaja na huu uzushi kuwa wao ni wengi ili kuendeleza dhulma hii.

Ingekuwa ni kweli wao ndio wangekuwa wakwanza kudai sensa ifanyike ili waweze kudumisha dhulma yao juu ya waislamu.
 
Kwani wameteuliwa ili wakafaye ibada au watumikie taifa? Msipende kuongea vitu kwa hisia Bali angalieni tija hakuna dini kwenye selikari ya Tanzania
Kwa zaidi ya miaka 50 mmejazana serekalini kipi mmefanya? Yapi mafanikio mliyoyaleta kwa nchi hii?

Kama kuna faida basi ni ufisadi uliokomaa.
Dhulma zaidi kwa waislamu.
Kukuwa kwa kasi tofauti ya walio nacho na wasio nacho.
 
SERIKALI HAINA DINI.
MWENYE VIGEZO NDIYO ANATEULIWA

Hakuna kitu ambacho huwa nakichukia km UDINI na UKABILA. Km unataka uwe mtu wa ajabu ajabu asiyejielewa. Ww kuwa busy na dini au ukabila tu.
Mtumishi Watanzania wote tukiwa na huo msimamo tutafika mbali sana.Hongera sana kwa kukataa ubaguzi wa aina yoyote ile..na Mimi ninaungana na wewe kukataa ubaguzi na watu wote wanaotaka kupandikiza mbegu ya ubaguzi katika jamii yetu tunawapinga kwa nguvu zetu zote. Shime Watanzania tukatae na tuwakatae watu wote wanaotaka tubaguane kwa misingi ya ukabila, ukanda au udini..ipo minong'ono kweli ya chini kwa chini kwamba watu wa kabila fulani,kanda fulani wanabaguliwa sana na kuna chuki kubwa zidi yao, katika awamu hii na watu wa dini fulani.Serikali izifanyie kazi fununu/taarifa hizi na ichukue hatua.Rai yangu kwa serikali kama kuna mahali uongozi umeenda kidogo nje ya mstari ni wakati wa kujitazama upya na kuchukua hatua staili mapema na haraka iwezekanavyo...
Mungu ibariki Tanzania
 
Mambo mengine bwana,alipokuwa anaongoza jk muislamu mwenzao walikuwa wanasema kuwa serekali yake ni ya mfumu wa kikristo,ana ongoza mkristo wanasema ni mdini,lililo jema kwao sijui ni lipi.
 
hiyo 61% ni hesabu za ki NGO cha kwenye brifcase kinaitwa PEW,

CIA wao data yao ya mwanzo ni 30%,

so baadae walihitaji ku update data,wakatumia za PEW.

LAKINI ukicheki update za CIA kwa mwakahuu,naona iko blank means hawana vyanzo vya uhakika
Elungata,
Mwaka wa 2011 nilialikwa Chuo Kikuu Cha Iowa kufanya muhadhara
katika mambo haya haya tunayojadili hapa Majlis.

Muhadhara ulikwenda vizuri na niliielewasha hadhira mchango wa
Waislam katika kupambana na ukoloni kuanzia vita vya Maji Maji
1905 hadi kufikia siasa za uzalendo kuanzia 1929 ilipoasisiswa AA
hadi kuja kuundwa kwa TANU 1954.

Hii kwao wao ilikuwa historia ngeni hawakupatapo kusoma mengi
niliyoyaweka hadhir pale.

Katika kujumuisha nikaeleza hali inayowakabili Waislam baada ya
uhuru kupatikana na misuguano iliyopata kutokea kwa Waislam
kupambana na polisi katika mitaa ya Dar es Salaam kwa kupinga
dhulma.

Ukumbi ulikuwa kama umemwagiwa maji baridi.
Hii ilikuwa historia mpya kwao hawakupata kusikia kabla.

Sasa ikawa maswali na majibu.

Hadhira yangu ilikuwa ya wasomi wa African History na miongoni
mwao wako wajuzi walioandika vitabu kuhusu Afrika na Tanzania
kama Michael Lofchie, James Brennan, Jonathon Glassman,
James Giblin
na vijana wanaonyanyukia katika siasa za Afrika
wakifanya Ph D zao.

TtlEJFxWMRNnfS2mHNhJOsI5mmcQ1A8nR6ANjvZkJXUlMoEBlJf-NxKeqHV9SnTKcfQPlins8owweK09q6lbZob5uuuPCKapPrB9-n72wDQIB48b6MLciOJh73S3ql_XddJGXh3v9hEtxMWYRghYlvc-NyyluQHRR3Revrmy1349cBxGqQkDFCNd_s_cHVKNCxuzVHK6doPSvxgXRYKvcLJ0LKfF5V5R8QiFosV55Hjptcw4lC6MBxUXjXIytOadppo_i9mbWT6CAkGX2ZQhUtGuo9qtHVnll8VsEKJ_LT-Pv1oCve45Vd_lKjbLuUY4gdEP3S74qWqrWHMAMQL7feL6ZegOBzVKCJVyQUV81pdYUvbbN0VCXjCXVlrHBRgFTy3Czq5qvrDKO4CdHGiMm7qbDpNGoq_siECBFTTHskPn7lGfk5E1DCWOFCALCWtxKBp7fRR3YVAP7sBXW0rj1wnwZgAPlTkkX3A17g0L2CPeu9cwNNcV_fJxaQSWRe8Y_UReeW4LPFrZkg3AkdBGeprsZ5y5DYiTxWcWp46eZY1roY5akke9GDBre_LmzmI-w_63NCg-RAIRuKig6A0JaXV2GJLdNiVt2DAnzhY0KzGL3bN_GA=w480-h360-no

Michael Lofchie

Kiasi bado kama dakika tano kumaliza muhadhara wakaja na swali
waliloniwekea mwisho ili nisitoke pale kichwa juu kwani nilikuwa
Alhamdulilah nimewaweka pale walipostahili kuhusu Uislam katika
Tanzania.

Wengi wao walikuwa na fikra kuwa Tanzania ni nchi ya Kikristo.

Swali likaja kwa kutoka kile wanachoita, ''religious distribution'' kati ya
Waislam na Wakristo.

Wakanambia, ''Nyie Waislam ni wachache Tanzania hamuwezi mkapata
fursa sawa na Wakristo ambao ni majority.''

Nimesimama pale juu peke yangu naangalia sura za Wazungu ambao
zilionyesha kufurahishwa na swali lile kama vile wanasema tumempata.

Ningeliweza kuja na takwimu zangu kutoka vyanzo tofauti na vile vya CIA
waliokuwa wakitegemea wao lakini nikaona hapana itakuwa, ''their word
against mine.''

Nilijiambia hapa lazima nije na kitu hata wao bado hawajakifikiria.

Nikawaambia ingekuwa Wakristo ni wengi Tanganyika Vita Vya Maji Maji
kupinga dhulma za Wajerumani visingeongozwa na Waislam akina Sultan
Abdul Rauf Songea Mbano.


Nasema maneno hayo nikimwangalia Prof. Giblin Mkuu wa Idara ya Historia
Chuo Kikuu Cha Iowa na ndiye aliyenialika chuoni hapo na mwenyewe ameandika
kitabu kuhusu Maji Maji.

Nikaendelea nikasema ingekuwa Wakristo ndiyo wengi Tanganyika uhuru wa
Tanganyika usingeletwa na Waislam.

Nikamaliza kwa kusema, ''Nionyesheni nchi yeyote duniani ambayo ilikombolewa
kutoka katika ukoloni na ''minorities,'' iwe Asia au Afrika.

Hapa nikasimama kusubiri jibu.
Ukumbi mzima kimya.

Nikasema, ''Tanzania Waislam ni wengi na hii inawatisha walioshika serikali na ndiyo
maana waliondoa kipengele cha dini katika sensa ili kuficha ukweli.''

Ukumbi mzima ulikuwa umesinyaa hadhira ilikuwa imepwelewa.
Ungedondosha pini ungelisikia mlio wake.

Jonathon Glassman hapo hapo akanialika kwenda kufanya muhadhara mwingine
chuoni kwake Northwestern University, Evanston Chicago.

Hiki ndicho chuo kinachoongoza dunia nzima katika African History.
Hawa ndiyo mabingwa wa historia ya Afrika.

Nilizungumza katika Ukumbi wa Eduardo Mondlane.

HisXdtaF4RcA0OmFdd4lp-woHdgvr7JT88V7NmOlK2Gc_rap2lEobmGrj7xIYgecCuLgwqgRO2KYy6S0qwJfd_ISnHRt_ayRMzU6ebjJPbcQCibfLIGcEibNZpNQEwkmyqJpPE8IzE79uP3vO0AHl9aOh9ckqrBT-EmVymRYUkkr4Mw95JkUYMTYJR-Po8b7DyPecvrje_4XTWNLCJQ6k2hgnQ-5Iihw3CZzrQeAfJsPbxkBkAyblkgtzFv8Yb6_sKupHyLvqJro4EcDtRCwKHYi2dMmb9paZ8QsOOsC-GGOD_fECJB2TvebvxfvGRs4iseqIm4o_D_Tcs5buz30CFkkFjkFZPEVeZX1D_XFyIL_rirapmHcMOLf-Tf7XqhtoydJOgSRmz0A_NVRoobtEV9QcO_UUrgMX9i5tlFCE0YKuZjwePtzUT-t9C7uunm1saMM2Eca8RvUQZ-EVoetD5ILPOuyw2qWKBaiLStvJtWw6MrYOvw4rveoZIyFXMG0q53gy4_jovFpYRff2hZJRueIG-sxIy-dDRNv7HuIC-e6ggEWSgp1XyKGjqHyjkhYAfFAdyB5jKHsUpZhTXQcHfb0lRvXXSaDgnWwrZ6gvcBDSnnYRQ=w480-h360-no
 
kujadili ubaguz haifai!!! elimu #elimu# elimu# elimu# trump trump trump
 
Kumekucha. Wapendwa katika kristo tuangalie Kwa macho. Nalo litapita tu kama majaribu mengine.watashindana lakini hawatashinda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom