Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,287
- 33,882
Afrodenzi,Mkuu Mohamed Said hata usemi nini bado mimi naamini Serikali inachagua watu kutoka na elemu na sio dini. Waislam , Wakristu , Wahindi, Pamoja na Wapagani wanaofanya kazi serikalini wamechaguliwa ajili ya elemu yao. End of story.
Siwezi kukukataza kuamini upendavyo lakini ukweli ni kama ulivyosoma katika utangulizi wa Njozi.
Ukweli huu haukuweza kujibiwa na serikali.
Njia nyepesi kwao ilikuwa kukipiga marufuku kitabu.
Ila nitakupa indhari kuwa huwezi kujibu höja za Waislamu kwa kuleta äti höja ya Wapagani kwani hawajapatapo kuonekana popote katika historia ya Tanganyika.
Hawakuwepo wakati tunapigania uhuru wa Tanganyika wala baada ya uhuru sasa nusu karne.
Nimetafiti na kuandika vitabu na "paper," kadhaa sikukutana na wafuasi wa dini hii.
Full stop chembelecho.