Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mngekuwa na elimu hiyo mnayodai tungeona maendeleo kwa jinsi mlivyojazana serekalini.
Inaelekea huko shule mnaenda kusomea ufisadi
Angalau wana hiyo ya ufisadi lakini wewe hauna chochote, kazi ni kulialia kama mtoto ukitaka kuonewa huruma na kupewa nafasi kwa kuwa unaifahamu sana quran. That, will never happen. You better do thorough soul searching for true remedy to your predicament instead of wailing fir sympathy. Sorry.
 
Hayo anaweza kuyasema tuu yule anaetumia makamasi badala ya ubongo
 
Tatizo magufuli aliingia bila wapima washauri wake, hakujua hawa watu ni vigeugeu sana. Akija rais asiye wao, gam ehubadili haswa wakishiwa wakati wanakula bure, akiwa rais wao huanza piga kelele za kushambulia makabila yasiyo na wengi wa dini yao. hii nchi iache kulea hawa watu, na kutoa msaada kwa raia wowte.mwenye kufanya biddi aende mbele hata akimwach amvivu karne nyingi.
 
Na serikali iliyopita ilikuwa aje..Maana sikusiki Mashekh akiongea au hawakuoepo utawala uliopita..
 
Pelekeni watoto shule ili baadaye waje kuwa viongozi, lawama hazisaidii wakati huu shekhe.
Sishangai sana, kwani ktk zoezi la viongozi wa CCM kuingia madarakani hutumia dini sana, na wakatiw akulipa wadhila hulipa kidini, na waliolipwa fadhili huingiza watu kidini. Mwishowe akija rais km zamu za ccm zinavyokwenda, anakuwa na wakati mgumu kufanya kazi.Hapo ndio ndipo ukitumbua tuu unakuta unapuputisha watu wenye taswira ya dini. Wasio wakweli wataona sura ya kidini badala ya kujiuliza shida ilikuwa ktk kungia kidini kuliko uwezo, na kuwatoa wadhaifu na wakawa ni wa dini ya utawala liotoka. Hiyo ndi DO-UNDO-REDO ya CCM.
 
Kila kiongozi amechaguliwa kwa elimu yake na Si dini .

Mnaotaka kuanzisha ugomvi huu wa kidini hauta ka uishe.
Afrodenzi,
Hakuna anaetaka kusababisha machafuko kinachotakiwa hapa ni uadilifu
katika mgawo wa madaraka na fursa nchini.

Ikiwa nchi itawekwa katika hali ya kuwa Waislam toka hatujapata uhuru
ni watwana na Wakristo ni mabwana hii ni sababu tosha ya kuleta farka
katika jamii.

Soma historia ya uhuru wa Tanganyika uone vipi wazee wetu walijitolea
ili Tanganyika iwe huru na kila mwananchi apate haki bila ya ubaguzi.

Hebu soma utangulizi huu wa Hamza Njozi katika kitabu chake maarufu
Mwembechai Killings...'' kilichopigwa marufuku Tanzania:

''I have satisfied myself that President Mkapa’s speech to the National Assembly in Dodoma on 4 November 1998 was such a monument of eloquence in Kiswahili language that its majesty can rarely be captured in a foreign tongue. I am keenly conscious therefore that the following brief quotation in translation in which President Mkapa provided a breath-taking description of our beautiful country is but a faint shadow of that awe-inspiring address: Mr. Speaker, after three years of my presidency, I can dare to modify the words of a famous Zanzibari maestro, Siti binti Saad by saying: Tanzania is a good country, let one who wishes to come, do so. God has showered blessings on our country. It is a country of unity, peace, love, rejoicing, and exceeding generosity. It is a country of people who love equality and justice. Our national unity springs from our firm belief in the equality of human beings before God and before the law. A unity reinforced by correct policies of nation building -- policies based on the principles of social justice, peace, harmony and development for all. A unity which is extra-sensitive to policies, statements, behaviour, and actions which may sow seeds of discord, hatred and suspicion among Tanzanians. With the possible exception of Tanzania, I do not know a country in the contemporary world which has been able to combine all the commendable qualities listed above. I suggest in this book that the supposed outstanding merits of Tanzania may resemble the presumed unblemished qualities of that woman in a folktale who secretly kept a human skeleton in her cupboard. According to one version of that popular story, a long and intensive search was mounted to find an individual in this world who did not have a single source of shame, trouble or anxiety. At long last, when almost everyone had lost hope of ever finding any such person, a graceful woman was discovered. She scored all the points in the check-list. When they were about to declare her the undisputed winner, she took them upstairs and showed them her secret closet which contained a human skeleton. She said, “This is a skeleton of my lover who was killed by my husband. Every night my husband forces me to kiss it.” This book is about one old skeleton in our national cabinet; the burden of religious discrimination which we have always carried in our hearts but which we have carefully managed to conceal to the rest of the world. President Reagan of the United States once boasted about the global reach of his country by saying: You can run but you cannot hide. But as far as our religious skeleton is concerned, we have managed to fool even the arrogantly boastful America. All the official reports published by the US Department of State from 1994 to 1999 have failed to detect religious discrimination in Tanzania. The focus of this book is on the discrimination which Muslims suffer in their country. This does not mean that no one has suffered in Tanzania except the Muslims. To be sure, in their numerous writings, Issa G. Shivji and Chris Peter Maina have unearthed several sickening skeletons as far as our general record in respecting human rights is concerned. But it is the suffering of Muslims in Tanzania which has rarely been acknowledged even in our own country. Who can imagine, for example, that President Mkapa’s speech quoted above was delivered nine months after his government had ordered policemen to shoot and kill Muslims at Mwembechai? This book is offered as a modest attempt to understand the intricate weave of social and political factors which threaten our national unity. Since my preoccupation has largely been on the wider implications of the Mwembechai killings, I have appended at the end of this book the long open letter which Abu Aziz submitted to the Attorney General on the government’s mishandling of the Mwembechai crisis. Abu Aziz’s submission offers a very insightful account of that sad episode in our national history.''

Hayo hapo juu ndiyo maneno ambayo Waislam wamekuwa wakieeleza serikali kwa muda mrefu.
Yaliyokuja baadae ya kutahadharisha kuhusu ''Mfumokristo,'' ni kilele chake.

Ukweli huu hautakwisha kwa watuhumiwa wa udini kujiaminisha kuwa tatizo litajiondoa wenyewe
au hakutakuja kuwa na madhara kwa hiyo na tuache tu.

Dhuma ikiachiwa iendelee huangamiza.
 
Shekhe unashsuri nini kifanyike sasa
 
Mimi dini ya Mtu sio Tatizo ila Tatizo ni uwepo wa watu wasio na weledi wataweza kutuvusha? mfano MA -DED 60% Majanga
 
Mimi sioni uzushi wewe je?
Kw hiyo miaka kumi iliyopita ilikuwa ya neema kwa dini fulani. Basi turekebishe katiba inayotamka Rais awe wa dini fulani tu ili wenye dini hiyo waweze kupata ajira asilimia 100% hata kama elimu yao ni duni.
 
Hii sensa imefanyika lini?! "Wasomi" nyinyi utawasikia "huwa tunapitisha sensa makanisani!" Kama nawe hili ndo jibu lako; basi naomba unisaidie yafuatayo!

Nchi hii ina makundi makubwa yafuatayo:
  • Wakristo
  • Waislamu
  • Wapagani
Now let's assume baada ya kupitishwa sensa makanisani; mkapata kwamba mpo 61.4% na iliyobaki ni 38.6%. How did you know out of 38.6%; miongoni mwao 35.2% ni Waislamu?! Au Wapagani nao huwa wanafanya sensa ambayo baada ya kufanya subtraction ya %age ya Wakristo na Wapagani, hapo mkafahamu waliobaki ni Waislamu!!!

Halafu acha ujinga wa wenzako wengine... kama mmekaririshwa makanisani hizo nyimbo za madrasa zinawafanya muonekane totally dumb manake mnaoongea msichokijua! Kama una marafiki Waislamu anzia hapo hapo kuangalia among your fellow Muslims ni wangapi wanaifahamu Quran!! Ni wangapi walikuwa wanasoma madrasa wakati wapo sekondari! Na kama unaishia kwenye mji wenye Waislamu; tembelea madrasa yoyote kama hujakuta wamejazana watoto ambao nao huwa wanaacha madrasa kadri siku zinavyoenda...!! Majority ya Waislamu hata hiyo Quran yenyewe hawaijui... hata juzu moja hawajamaliza lakini utafikiri mmegeuka kasuku na hoja ya madrasa!! Hoja yenu ya madrasa ni hoja ya kijinga kama sio ya kipvmbavu manake mnaongea kitu msichokijua!

Hizi takwimu ni za kitaalamu na sio za makanisani. Source: CIA World fact book.
 
Rais asifanye uteuzi kwa kufuata imani ya mtu, lakini kwenye siasa kuna suala la ku-balance mambo. Siyo kila kitu kimenyooka.
 
Kuhusu ukanda hilo nalo inabidi muheshimiwa aliangalie kwa umakini maana hawa jamaa kutoka kanda ya ziwa wamepewa kipaumbele kikubwa sana.
 
mbona unawasahau waislamu wa udom mpaka ma nurse wa zahanati full ambrellla?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom