Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
acha udini mkuu,halafu bora uwe mdini lakini una roho ya kibinadamu,wewe inaonekana unachukia sana waislamu ,
lakini ujue hatuwezi wote tukawa walokole,japo wote ni binadamu,
hivi inakuwaje watafuna kiti moto mnakuwa na roho za korosho kiasi hicho?,

wewe unaona mgawanyo wa madaraka uko sawa kweli hii awamu,au unatetea kwa kuwa ni wa imani yako,unafaidika nini labda kwa mfano?
Roho mbaya ipi mkuu kama mtu akiiba akaitwa mwizi hiyo ni roho mbaya?au muislamu haibi?sasa kamati imeundwa na bunge kumchunguza nani syo dau?au nao wadini?
 
Ilo liko wazi kuna ka harufu ka udini na ukabila serikalini....

Hata kama Mimi ni Catholic lakini naona kwa mbali ......
Yani kuna watu naishi nao ni wa lake zone aisee wanamwona mkulu kama mjomba wao,na kwamba wao ndo wana haki naye kuliko watu wa ukanda mwingine.


"Mbeya nchi rais Sugu"
Ova
 
Usisahau na pale CRDB walivyojaa wana vigango na hasa kiukanda zaidi na mle Kigango cha Tanesco na ... na ...,

Kijana njoo taratibu utaumizwa na mengi, vyuo na shule zishafunguliwa.

Ndg Crdb sii Mali ya umma anaweza ajiri anavyotaka,TRA hata kabla ya kitilya wasomi wengi waliofanya kazi huko walotoka Kilimanjaro,Tanesco mkuu ukitaka kuujua vizuri nenda chuo kikuu engineering anza kuhesabu wakufunzi walio waislamu wangapi na wakristu wangapi,ukimaliza hesabu na wanafunzi nadhani jibu LA Tanesco utalipata
 
Tena waliokuwa vimbelembele kwa matamko kila siku ilikuwa ni baraza la maaskofu Tanzania lakini leo hii wanajifanya wamesahau. Tangu magufuli aingie madarakani baraza la maaskofu halijawahi kutoa tamko lolote.
Mungu anawaona lakini.

Mkuu tupe moja ya matamko ya maaskofu yaliyo base ktk udini wakati wa jk,Mkitaka ku balance muanzie shule za msingi,sekondari hadi vyuo,FANYENI tafiti muone ni wapi mlikokosea msahihishe
 
Huyu shekhe anahitaji kupewa ushauri nasaha kwa upole. Lakini, niseme tu kwamba, manung'uniko yake ni kama ya kina Hellen Kijo Bisimba kuhusu ubaguzi wa kijinsia katika teuzi za JPM. Kina Hellen wanataka nafasi za uteuzi zigawiwe pasu kwa pasu kati ya wanawake na wanaume. Sasa shekhe anataka nafasi zigawiwe kwa kuzingatia uwiano fulani kati ya makundi mbalimbali ya kidini na kikanda. Naona auanongelea Ukristo dhidi ya Uislam, Umashariki dhidi ya Umagharibi. Amesahau kuongelea ujana dhidi ya uzee, Ukulima dhidi ya Ufanyabiashara, Usomi dhidi ya Kutosoma, na migawanyiko kama hiyo.

Yeye pamoja na kina Bisimba ni watu wa kuelimishwa hivi: Vyeo havigawiwi kwa kuangalia vigezo vinavyohusiana na migawanyiko ambayo haina tija katika ofisi. Kwa mfano, mwalimu wa hesanu anaweza kuwa mwanamke au mwanamume, mkristo au muislamu, mmashariki au mmagharibu, kijana au mzee. Lakini hawezi kuwa mkulima wala mfanya biashara kama ambavyo hawezi kuwa asiye na kisomo. Vigezo vya ujuzi, ustadi, uzoefu na utayari vinahusika. Hivi hoja hii ni ngumu?

Kuna performance indicators in good governance wanatuletea hawa development partners kama vile gender equity, denominational equity, geographical equity, inter generational equity, n.k. Haya mambo tuyakatae kwa hoja kwa kuwa hayana tija. Tukikubali kila kitu tutakuwa kama madodoki.
MTOA MADA AKUMBUKE PIA MBONA NCHINI KUNA WAPAGANI/DINILESS MBONA HAJAWAORODHESHA HAPO? AU WAO HAWALALAMIKI?????
 
Mbona kaongea kwa facts? Nafikiri anayepinga naye alete data hapa..
Acha kuchochea udini wewe .....facts zenyewe zina matege. Ona kwenye wakuu wa Wilaya, ameeleza 71% wakristo, 21% waislam, hiyo 8% inayobaki ni ya wapagani au Wahindu?
 
Hiyo si kweli kwamba kuna ubaguzi wa kikanda na kidini. Rais alipotangaza kuwa Mfalme wa Morroco amekubali kuwajengea waislamu Msikiti mkubwa sana Dar. Si waislamu walifurahi sana? Na wakristo walishangazwa sana na wakanyamza?
Na kama ingekuwa ni wakristo wanajengewa Kanisa KUBWA si kelele ingekuwa kibao?

Sasa basi ni lazima tujue TAKWIMU za DINI hizi mbili zilivyo nchini mwetu:
WAKRISTO ni 61.4%
WAISLAMU 35.2%
Kati ya hawa WAISLAMU 35.2% Wengi walienda Madrassa zaidi kuliko masomo ya elimu ya kawaida kabla ya serikali kuhimiza umuhimu wa elimu!

Wazazi wa watoto wa Kiislamu waliojua UMUHIMU wa ELIMU waliwapeleka watoto wao shule za dini ya Kikristo wakasomehuko nao hawakuwa wengi walikuwa ni WACHACHE.
Hivyo basi kati ya WAKRISTO 61.4% wengi waliosoma ni wale waliotoka mahali WAMISIONARY WALIKUBALIKA na kuanza kujenga shule.Hivyo wengi WAKABAHATIKA kusoma zaidi.

Na Sehemu zilizokuwa hazikufikiwa na wamisionari zilibaki nyuma kimasomo bila KUJALI DINI ama UKANDA. Hivyo wengi HAWAKUSOMA!
Hiyo ndio hali halisi iliyoleyeleza UWIANO kuwa hivyo MPAKA LEO!

SIDHANI kama rais Magufuli ANABAGUA.Ila anaangalia Qualifications na si UDINI! ama UKANDA.
Watanzania wote wanapewa haki sawa.
Kusema kanda ya ziwa inapendelewa si kweli Ukanda wa KUSINI una MAWAZIRI wengi zaidi. Hii ikiwa ni pamoja na WAZIRI wetu MKUU Kassimu Majaliwa ambaye ni MWISLAMU na mke wake Mary ambaye ni Mkristo.
Hizi kelele za Sheikh Khalifa HAZINA msingi wowote!
Wakristo na hizo elimu zao wameifanyia nini nchi hii zaidi ya kuitia umasikini tu
 
Hiv ww unadhan mtoto kakua anajua mambo ya madrasa na quran atakuw na uwezo gn wa kufanya vyema drsan ilihali wazaz wak wamemwekea kaswida na quran ndo kipaumbele chake? Waislam wako nyuma kielim kubali ukatae jibu ni hlo,kikwete arijaribu kuwabebabeba lakin hawabebeki wanapwaya coz hamn kitu kichwan zero,fanya reseach kwanza ndo utokwe na hiyo mipovu yko mkuu
Yale yale mawazo ya hovyo ambayo ili mtu awe nayo kichwani ni lazima awe na kiwango kilichotokuka cha uhovyo hovyo!! Halafu sijui mmekakarishwa makanisani... manake wooooooooote mmekuwa kama kasuku; "madrasa... Quran!" Halafu bado mnajigamba usomi huku mkiongea mambo bila fact!!

Ngoja nikuulize! Wewe umeshawahi kuishi na jamiii za Kiislamu? Kama ndiyo; be honest at least to yourself! Ni wangapi unaowafahamu wewe walikuwa wanasoma madrasa wakati wapo secondary schools hadi uone madrasa ndo tatizo? Au angalau wakati wakiwa darasa la sita na kuendelea?

Nyinyi mnajifanya wasomi lakini kichwani ni ZERO! Mtu smart anafahamu madrasa zimejaa watoto wadogo kwahiyo ni ujinga uliotukuka kuhusisha madrasa na chochote kinachohusiana na mapungufu yoyote ya Waislamu! Majority ya wanaoenda madrasa wanaacha mapema kweli kweli tena hata kabla darasa la 7 hawajafika na ndio maana madrasa zimejaa watoto wa miaka 15 kuja chini! Hizo Quran mnazosema mnawapa Waislamu sifa wasizostahili manake, generally speaking, over 90% ya Waislamu hawajamaliza hata juzuu moja out of 30. Generally speaking, over 90% hawaifahamu Quran... kwahiyo endeleeni na nyimbo mlizokakaririshwa which means nothing but only make you look idiot!

Na kama kuna Waislamu unaowafahamu, uliza mmoja baada ya mwingine wamemaliza juzuu ngapi... si ajabu wote utakuta hawajamaliza hata juzuu moja kama angalau hiyo robo wamemaliza! Lakini kila siku utafikiri kasuku... MADRASA... MADRASA... kama mmekaririshwa makanisani huo wimbo; trust me, you sound dumb when singing kwa sababu mnaimba msichokijua!

That's one but second... ngoja tuamini huo ukasuku wenu kwamba madrasa na Quran! Quran ina juzuu 30, Sura 114 na aya zaidi ya 6000. Wahitimu wana uwezo wa kusoma yote yaliyo kwenye Quran bila kushika kitabu kwa sababu wanakuwa wamehifadhi!
Now tell me... ikiwa mtu amekuwa na uwezo wa kuhifadhi yote hayo atashindwa nini kukakariri elimu yetu ambayo haina jipya zaidi ya kukariri?

But all in all, hivi huu usomi mnaojigamba nyinyi kila siku ni usomi upi?! Ni usomi gani mlionao nyinyi mnaoshindwa hata kutafsiri hata mambo mepesi? Mlivyo maboya mnaonea ufahari matokeo ya shule kama Marian, St Francis and the like ambazo zinachukua less than 5% ya Christians huku mkisahau malaki ya Wakristo walio kwenye shule za hovyo hovyo ambao wote hawa wanatoka na Division IV pamoja na ZERO!!

By the way, huyo Kikwete unayesema kabeba Waislamu; unaweza kutaja hapa Waislamu ambao walipewa kazi na JK si kwa sababu wana uwezo bali kwa sababu ni Waislamu!

Last but not least, nchi hii Wakristo si ndo wasomi sio?! Miaka 55 ya uhuru imepita na nchi bado ni maskini wa kutupwa! Kwahiyo unataka kusema pamoja na kwamba nyinyi ni wasomi lakini kichwani bado ZERO na ndio maana mmeshindwa kutumia "elimu" yenu kutatua changamoto za nchi hii pamoja na utajiri wa asili tulionao?? At least jibu hilo ili u-prove you're not one of those dumbass!
 
Mohammed Said, naomba kukujuza tu kuwa nimeshasoma vitabu vyako kadhaa tokea january ya mwaka 2014 nilipokuomba unielekeze ntavipata wapi.

Umejitahidi sana kuelezea matukio hasa yaliyotokea miaka michache kabla ya uhuru, wakati wa uhuru na baada ya hapo.

Pia nakiri kuwa upo exposed kwa sehemu kubwa na dunia hii.

Pia uliwataja wahusika walioisaidia Tanganyika kupata uhuru wake na wale wa kipindi cha muungano ambao majority of us tusingewafahamu.

LAKINI pia kuna namna flani umeonesha kuwa Waislam waliplay role kubwa sana kuliko wakristo halafu hawakuthaminiwa.

Umeonesha kuwa Nyerere hakuwathamini waislam pindi tu baada ya uhuru.

SASA, Kila nikijaribu kujiuliza kuwa J.K Nyerere alipaswa kufanya nini kwa waislam kwa wakati ule nashindwa kujua.

SWALI: Hebu naomba leo katika uzi huu uweke wazi kuwa Je Nyerere alipaswa kufanya nini kwa waasisi wa TANU na viongozi wa Waislam wa kipindi kile?

Karibu Mzee.
Azarel,
Swali hilo uliloniuliza kila ninapofanyiwa mahojiano huwa linalijitokeza.

Mimi huwa nalijibu kwa kusema kuwa swali hilo usiniulize mimi swali
hilo wakaulizwe walio na dhamana ya historia ya chama cha TANU
ambacho kikaja kuwa CCM.

Huwa nawaambia waulizaji wangu kuwa kama mlivyonikaribisha mimi
hapa hebu wakaribisheni CCM muwaulize mbona hamuadhimishi historia
ya mashujaa wenu waliopigania uhuru wa Tanganyika pamoja na Mwalimu
Nyerere.


Imekuwaje hapo CCM Lumumba hatuoni hata picha ya walioijenga ofisi ya
African Association katika ya 1929 - 1933 ofisi ambayo TANU ilizaliwa 1954?

Mbona hatuoni picha ya Abdul Sykes, Ally Sykes, Mshume Kiyate, Sheikh
Suleiman Takadir, Hamza Mwapachu, John Rupia
kuwataja wachache.

Huwa nawaambia jibu la CCM huenda likatoa picha ya tatizo hili.

Azarel,
Ikiwa kama usemavyo kuwa umenisoma basi utakuwa unajua nini kilitokea baada
ya uhuru kupatikana.

Ndiyo sababu leo tuko hapa tunaandika historia ya uhuru baada ya nusu karne ya
uhuru na baadhi ya watu wanakasirishwa na historia ya kweli sababu tu kwa nini
imekuja kueleza mchango wa wazalendo waliofutwa.

Hivi kuna mwanachama wa CCM asiyetaka kujua historia ya ujenzi wa ofisi yao
kuanzia 1929 ilipojengwa nyumba ya udongo na chokaa hadi kufika jengo hilo hapo
chini?

tRcnO6tyyIBe5JQWgtNmVpbf01mlYYCEQ9Pnlar_fWFrtgV-UxRTkniamCClzf8FuosyJEsbNhEuTWuqnmFvSCmFZdekfd9OmTfjQy7JlrgDqzr_HDFLYBrK45Bj0CYVPv6IDIFt2uS0sIs33rkLAjwRBc1idnjj7HAs_2X5O6IKgOre8pAjHV898bGvMK2KB4a5kjWD5F1u63mpKC8UDNfd7usxIyOmOyw1QPBr1tRpRTecGN_QFqYzI0lNh7vOZ-064LHBkdoOcJgO5xc-eAJvkvPLT3QSdwryh7y074Jhhs-JTNMlSe5aF40v4W278_0RgDjWy5G_hfqmzT6aC_nwFQ_K4wnXj0q7LbdBZWVKDh8GqDH8WwGA0OS_lAnKhDYFyROIEot2Zyr1y9bkVJ5pRvcCXJ6ITs9f3DxjShAGPW3pH-b2oGJgOi-oq4BTOofPF5PEWyWbCUvJwhSib1IK1hmc3nfPmIPJkYZkqKZrub1ic7Eh6hbBuA4LD1LW45f2HhIZy_VXgCuVoygPuXFDA-Z9N-Sp6c01cMOXkXzBSFogSwQmxrMVUC8KbUhtL1rymiDzTiFTSHl-HMOxKXLN-1nknM609ZnG2U2xfrv_-vFE2g=w831-h623-no
 
Azarel,
Swali hilo uliloniuliza kila ninapofanyiwa mahojiano huwa linalijitokeza.

Mimi huwa nalijibu kwa kusema kuwa swali hilo usiniulize mimi swali
hilo wakaulizwe walio na dhamana ya historia ya chama cha TANU
ambacho kikaja kuwa CCM.

Huwa nawaambia waulizaji wangu kuwa kama mlivyonikaribisha mimi
hapa hebu wakaribisheni CCM muwaulize mbona hamuadhimishi historia
ya mashujaa wenu waliopigania uhuru wa Tanganyika pamoja na Mwalimu
Nyerere.


Imekuwaje hapo CCM Lumumba hatuoni hata picha ya walioijenga ofisi ya
African Association katika ya 1929 - 1933 ofisi ambayo TANU ilizaliwa 1954?

Mbona hatuoni picha ya Abdul Sykes, Ally Sykes, Mshume Kiyate, Sheikh
Suleiman Takadir, Hamza Mwapachu, John Rupia
kuwataja wachache.

Huwa nawaambia jibu la CCM huenda likatoa picha ya tatizo hili.

Azarel,
Ikiwa kama usemavyo kuwa umenisoma basi utakuwa unajua nini kilitokea baada
ya uhuru kupatikana.

Ndiyo sababu leo tuko hapa tunaandika historia ya uhuru baada ya nusu karne ya
uhuru na baadhi ya watu wanakasirishwa na historia ya kweli sababu tu kwa nini
imekuja kueleza mchango wa wazalendo waliofutwa.

tRcnO6tyyIBe5JQWgtNmVpbf01mlYYCEQ9Pnlar_fWFrtgV-UxRTkniamCClzf8FuosyJEsbNhEuTWuqnmFvSCmFZdekfd9OmTfjQy7JlrgDqzr_HDFLYBrK45Bj0CYVPv6IDIFt2uS0sIs33rkLAjwRBc1idnjj7HAs_2X5O6IKgOre8pAjHV898bGvMK2KB4a5kjWD5F1u63mpKC8UDNfd7usxIyOmOyw1QPBr1tRpRTecGN_QFqYzI0lNh7vOZ-064LHBkdoOcJgO5xc-eAJvkvPLT3QSdwryh7y074Jhhs-JTNMlSe5aF40v4W278_0RgDjWy5G_hfqmzT6aC_nwFQ_K4wnXj0q7LbdBZWVKDh8GqDH8WwGA0OS_lAnKhDYFyROIEot2Zyr1y9bkVJ5pRvcCXJ6ITs9f3DxjShAGPW3pH-b2oGJgOi-oq4BTOofPF5PEWyWbCUvJwhSib1IK1hmc3nfPmIPJkYZkqKZrub1ic7Eh6hbBuA4LD1LW45f2HhIZy_VXgCuVoygPuXFDA-Z9N-Sp6c01cMOXkXzBSFogSwQmxrMVUC8KbUhtL1rymiDzTiFTSHl-HMOxKXLN-1nknM609ZnG2U2xfrv_-vFE2g=w831-h623-no
Sawa Mzee,

Na ni kwanini hasa hawataki kufanya kumbukumbu ya fighters hao?

Mfano ningekuwepo Dsm kweli ningefanya utafiti hata kufika Lumumba.

Ila wewe unafikiri sababu ni nini hasa?
 
Sawa Mzee,

Na ni kwanini hasa hawataki kufanya kumbukumbu ya fighters hao?

Mfano ningekuwepo Dsm kweli ningefanya utafiti hata kufika Lumumba.

Ila wewe unafikiri sababu ni nini hasa?
Azarel,
Hofu ya kuwatukuza Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Unajua historia ya huyu mzee hapo chini?

Umepata hata siku moja kusikia jina lake linatajwa katika historia ya
TANU?

Huyu ndiye Mshume Kiyate.

zxAf7_K_1VAbmGLwCvvDm_6qCRZDnrDiQegSGW9dji1RryiZT6w0CcRYIlb9z0qV85PQ0Nua_uHAitmhIl23b89A8cnHYc1BNFV0zEQKyM4Vo5eW_P5HDRR9Vg9i-NGGRy2KoFVN0Hr37RwLGfa2eDShQ8Ke2rEksccEDvGHjDQ1gtDXdB0z8vokgVN_4SpmxoJnQ9aTj8YufbiDSwKMC-Fh6bGY0cQrB4Wmd1M_asUL-OKsNSQcm6vc27BwwYHGv5lFtLQp9eSoka2ufNF0RPmwP8F4pz1TNc24kJ1BhtTcUylBlbe6Y08vWZNM2wkX6mkIURWU4SbVdjZIWghT2_qEhe7qhLCxy9JUPdBxMDuU4cspweBJIJ2j3L6ebw4sVpLoZJs4xqjoOfVBmS2BA_7rpJ7yJZPBOoFVit2dzPTnrW4pdQ6Rjw_kMRH4jRzSDlKyik-mmR3haiBuPwPDmmCTwEQp8MoY0W-7TjTtckBPGGc2g3ZAcDujlvitN3uUHpnw7rifLJr9aOCLxR3Z33Fxm3yxwfX9sd7Rp5oJuIh3oe-qyRsLJZsO1yLh-LKeW1rJe13d0Av2j7JAgvOlhDHYKjjjXZzxOL_-ZeLpUzwii1XB=w360-h480-no
 
Azarel,
Hofu ya kuwatukuza Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nimekuwa interested zaidi kujua kwani baada ya kukusoma nilitamani sana hata kuonana nawewe live.

Unafikiri wanachohofia baada ya waislam kutukuzwa katika hayo ni nini hasa?

Wanachohofia hasaa ni kipi?

Nafikiri umenielewa Mzee Mohammed.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom