Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,033
takwimu hapo juu zinaongeaSipendagi ujinga Mimi, mambo ya dini na serikali wapi na wapi,siamini kama mh rais huwa anauliza dini kuwa kigezo
takwimu hapo juu zinaongeaSipendagi ujinga Mimi, mambo ya dini na serikali wapi na wapi,siamini kama mh rais huwa anauliza dini kuwa kigezo
Mbona kaongea kwa facts? Nafikiri anayepinga naye alete data hapa..
Vyeo havitolewi kwa ukabila au dini. Huyu shekh anakitu anakitaka.Kwa masiku kadhaa Sheikh Khalifa amekuwa akisikika na kauli yake ya kumtuhumu Rais Magufuli kuwajaza Wakristo wengi kwenye nafasi zake za uteuzi.
Aidha Sheikh huyo aliongezea kwa kusema kuwa licha ya uwepo wa suala hili la udini Rais Magufuli ameweka wazi upendeleo wake wa kikanda ambapo watu wa kanda ya Ziwa wameonekana kung’ara kwa kuteuliwa katika nafasi za uongozi kwa wingi zaidi kuliko watu wa kanda yoyote hapa nchini.
Akizungumzia suala hilo na waandishi wa gazeti la Mizani la November 11, 2016 Sheikh Khalifa Khamis alieleza kuwa katika nafasi 10 walizotumbuliwa Waislam ni nafasi 1 tu ndiyo aliyopewa Muislam.
Sheikh Khalifa alizidi kufafanua kuwa Wenyeviti wa bodi mbalimbali walioteuliwa na Rais Magufuli 18 ni Wakristo na 1 tu ndiyo Muislam.
Makatibu Tawala wa Wilaya Wakristo ni 81% huku Waislam wakiambulia 19% tu. Wakuu wa wilaya Wakristo ni 71% na Waislam ni 21%.
Makatibu Tawala wa mikoa 137 ni Wakristo na 16 tu ndiyo Waislam. Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya na majiji Wakristo ni 185 na Waislam ni 36 tu.
Kitu pekee anachopaswa kutambua Sheikh Khalifa Khamis ni kwamba Rais Magufuli hateui mtu kwa kuangalia dini bali anaangalia taaluma na uwezo wa kuongoza.
Kukiwa na kitengo kinachohitaji uwakilishi wa dini hapo ndo tunapaswa kuangalia usawa wa uwakilishi wa kidini. Pia anapaswa kutambua kuwa Tanzania haina Wakristo na Waislam tu, kuna watu wa dini tofauti tofauti na wasio na dini pia, je hao amewaweka kwenye kipengele gani?
Hizi ni njama tu za kutaka kumrudisha nyuma Rais wetu kipenzi cha Watanzania wengi. Watanzania tunahitaji MAENDELEO na AMANI tu, mambo ya dini tunayaacha kwenye nyumba za ibada. Tunapofika kwenye sekta za umma hatusemi tena mambo ya dini zetu, bali kauli yetu huwa ni moja tu nayo ni HAPA KAZI TU.
Ni jambo la kusikitisha sana kuona kiongozi mkubwa wa dini akitoa tuhuma za uongo na uzushi kwa Kiongozi Mkuu wa wa nchi yetu.
Sheikh Khalifa anakiuka misingi ya imara ya taifa letu iliyowekwa na baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere ya kupiga vita udini na ukabila.
Udini na ukabila ni mbegu mbaya sana ambayo siyo tu haifai kupandwa kwenye ardhi yetu bali haipaswi hata kutunzwa majumbani mwetu, isije mea hata kwa bahati mbaya.
Mataifa mengi yameshuhudia machafuko na mauaji ya kutisha kwa udini na ukabila. Hakuna hata Mtanzania mmoja anayetamani kuona mfano wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda au vita ya Biafra Nigeria ikitokea hapa kwetu.
Kwa elimu ipi mliyo nayo? Mbona nchi inazidi kudidimia. Hiyo elimu yenu inawasaidia nini? Kula kiti moto na ufisadi tuu?Mnasoma elimu ya kueneza dini tu, kama kuweka posti hii ya kidini na kuitetea mwenyewe kwa ID 7 tofauti, ili uonekane una watu wanaokusapoti
Huwezi kusoma madrasa udai we msomi!
Pamoja na makofi uliyompigia, jiulize toka tupate uhuru wenye sifa za kuteuliwa ni wa dini moja tuu?Nashindwa nikupongezaje kwa fact ulizoshusha apa, mwenye macho na uelewa kamili ataelewa. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Watafanya nini kwa mfano?Ni lugha ya udanganyifu mnoyojidanganya na kudhani kuwa waislamu wa sasa watadanganyika
Hivi Rais aliyepita alikuwa dini gani?Kwa elimu ipi mliyo nayo? Mbona nchi inazidi kudidimia. Hiyo elimu yenu inawasaidia nini? Kula kiti moto na ufisadi tuu?
Ukweli wakristo mmesoma ila hamjaelimika.
Kushindwa kutofautisha 'kusoma' na 'kuelimika' ni dalili ya wazi kuwa hamjaelimika
Yale yale mawazo ya hovyo ambayo ili mtu awe nayo kichwani ni lazima awe na kiwango kilichotokuka cha uhovyo hovyo!! Halafu sijui mmekakarishwa makanisani... manake wooooooooote mmekuwa kama kasuku; "madrasa... Quran!" Halafu bado mnajigamba usomi huku mkiongea mambo bila fact!!
Ngoja nikuulize! Wewe umeshawahi kuishi na jamiii za Kiislamu? Kama ndiyo; be honest at least to yourself! Ni wangapi unaowafahamu wewe walikuwa wanasoma madrasa wakati wapo secondary schools hadi uone madrasa ndo tatizo? Au angalau wakati wakiwa darasa la sita na kuendelea?
Nyinyi mnajifanya wasomi lakini kichwani ni ZERO! Mtu smart anafahamu madrasa zimejaa watoto wadogo kwahiyo ni ujinga uliotukuka kuhusisha madrasa na chochote kinachohusiana na mapungufu yoyote ya Waislamu! Majority ya wanaoenda madrasa wanaacha mapema kweli kweli tena hata kabla darasa la 7 hawajafika na ndio maana madrasa zimejaa watoto wa miaka 15 kuja chini! Hizo Quran mnazosema mnawapa Waislamu sifa wasizostahili manake, generally speaking, over 90% ya Waislamu hawajamaliza hata juzuu moja out of 30. Generally speaking, over 90% hawaifahamu Quran... kwahiyo endeleeni na nyimbo mlizokakaririshwa which means nothing but only make you look idiot!
Na kama kuna Waislamu unaowafahamu, uliza mmoja baada ya mwingine wamemaliza juzuu ngapi... si ajabu wote utakuta hawajamaliza hata juzuu moja kama angalau hiyo robo wamemaliza! Lakini kila siku utafikiri kasuku... MADRASA... MADRASA... kama mmekaririshwa makanisani huo wimbo; trust me, you sound dumb when singing kwa sababu mnaimba msichokijua!
That's one but second... ngoja tuamini huo ukasuku wenu kwamba madrasa na Quran! Quran ina juzuu 30, Sura 114 na aya zaidi ya 6000. Wahitimu wana uwezo wa kusoma yote yaliyo kwenye Quran bila kushika kitabu kwa sababu wanakuwa wamehifadhi!
Now tell me... ikiwa mtu amekuwa na uwezo wa kuhifadhi yote hayo atashindwa nini kukakariri elimu yetu ambayo haina jipya zaidi ya kukariri?
But all in all, hivi huu usomi mnaojigamba nyinyi kila siku ni usomi upi?! Ni usomi gani mlionao nyinyi mnaoshindwa hata kutafsiri hata mambo mepesi? Mlivyo maboya mnaonea ufahari matokeo ya shule kama Marian, St Francis and the like ambazo zinachukua less than 5% ya Christians huku mkisahau malaki ya Wakristo walio kwenye shule za hovyo hovyo ambao wote hawa wanatoka na Division IV pamoja na ZERO!!
By the way, huyo Kikwete unayesema kabeba Waislamu; unaweza kutaja hapa Waislamu ambao walipewa kazi na JK si kwa sababu wana uwezo bali kwa sababu ni Waislamu!
Last but not least, nchi hii Wakristo si ndo wasomi sio?! Miaka 55 ya uhuru imepita na nchi bado ni maskini wa kutupwa! Kwahiyo unataka kusema pamoja na kwamba nyinyi ni wasomi lakini kichwani bado ZERO na ndio maana mmeshindwa kutumia "elimu" yenu kutatua changamoto za nchi hii pamoja na utajiri wa asili tulionao?? At least jibu hilo ili u-prove you're not one of those dumbass!
Hata wakisomeshwa vipi watafelishwa kwa makusudi,lengo ni kuudhoofisha uislam,ni mpango malum.Kwa kweli mbali ya kua muislam, kuna haja ya waislam kuwasomesha watoto wao madrasa na pia shuleni wakasome elimu ya kawaida. La sivyo tutaishia kulalama na kuibua hoja zczo na mantiki. Unakuta watto wanaenda kusoma Qur'an kila siku badili ya kutenga mda wao pia kusoma elimu dunia. Sasa ukimuliza huyo sheikh mtto wake kasoma mpk wapi atakwambia kahifadhi juzuu.
zuu
Huyu shekhe anahitaji kupewa ushauri nasaha kwa upole. Lakini, niseme tu kwamba, manung'uniko yake ni kama ya kina Hellen Kijo Bisimba kuhusu ubaguzi wa kijinsia katika teuzi za JPM. Kina Hellen wanataka nafasi za uteuzi zigawiwe pasu kwa pasu kati ya wanawake na wanaume. Sasa shekhe anataka nafasi zigawiwe kwa kuzingatia uwiano fulani kati ya makundi mbalimbali ya kidini na kikanda. Naona auanongelea Ukristo dhidi ya Uislam, Umashariki dhidi ya Umagharibi. Amesahau kuongelea ujana dhidi ya uzee, Ukulima dhidi ya Ufanyabiashara, Usomi dhidi ya Kutosoma, na migawanyiko kama hiyo.
Yeye pamoja na kina Bisimba ni watu wa kuelimishwa hivi: Vyeo havigawiwi kwa kuangalia vigezo vinavyohusiana na migawanyiko ambayo haina tija katika ofisi. Kwa mfano, mwalimu wa hesanu anaweza kuwa mwanamke au mwanamume, mkristo au muislamu, mmashariki au mmagharibu, kijana au mzee. Lakini hawezi kuwa mkulima wala mfanya biashara kama ambavyo hawezi kuwa asiye na kisomo. Vigezo vya ujuzi, ustadi, uzoefu na utayari vinahusika. Hivi hoja hii ni ngumu?
Kuna performance indicators in good governance wanatuletea hawa development partners kama vile gender equity, denominational equity, geographical equity, inter generational equity, n.k. Haya mambo tuyakatae kwa hoja kwa kuwa hayana tija. Tukikubali kila kitu tutakuwa kama madodoki.
Well and good. Sasa hao wanaosambaza chuki za kidini humu waje watuambie % ya wakiristu kwenye safu za uongozi. Kuanzia rais hadi balozi wa nyumba 10
Ninyi ndio hamridhiki. Toka awamu ya kwanza mmekuwa mkipendelewa kwenye kila kitu.Kumbuka pia mlipewa bure chuo cha Tanesco pale Morogoro. Watu hamridhiki.
Kusoma wamesoma ila hawajaelimikaSi ndio maana nchi inarudi nyuma, eti wamesoma mhh,
Kwa masiku kadhaa Sheikh Khalifa amekuwa akisikika na kauli yake ya kumtuhumu Rais Magufuli kuwajaza Wakristo wengi kwenye nafasi zake za uteuzi.
Aidha Sheikh huyo aliongezea kwa kusema kuwa licha ya uwepo wa suala hili la udini Rais Magufuli ameweka wazi upendeleo wake wa kikanda ambapo watu wa kanda ya Ziwa wameonekana kung’ara kwa kuteuliwa katika nafasi za uongozi kwa wingi zaidi kuliko watu wa kanda yoyote hapa nchini.
Akizungumzia suala hilo na waandishi wa gazeti la Mizani la November 11, 2016 Sheikh Khalifa Khamis alieleza kuwa katika nafasi 10 walizotumbuliwa Waislam ni nafasi 1 tu ndiyo aliyopewa Muislam.
Sheikh Khalifa alizidi kufafanua kuwa Wenyeviti wa bodi mbalimbali walioteuliwa na Rais Magufuli 18 ni Wakristo na 1 tu ndiyo Muislam.
Makatibu Tawala wa Wilaya Wakristo ni 81% huku Waislam wakiambulia 19% tu. Wakuu wa wilaya Wakristo ni 71% na Waislam ni 21%.
Makatibu Tawala wa mikoa 137 ni Wakristo na 16 tu ndiyo Waislam. Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya na majiji Wakristo ni 185 na Waislam ni 36 tu.
Kitu pekee anachopaswa kutambua Sheikh Khalifa Khamis ni kwamba Rais Magufuli hateui mtu kwa kuangalia dini bali anaangalia taaluma na uwezo wa kuongoza.
Kukiwa na kitengo kinachohitaji uwakilishi wa dini hapo ndo tunapaswa kuangalia usawa wa uwakilishi wa kidini. Pia anapaswa kutambua kuwa Tanzania haina Wakristo na Waislam tu, kuna watu wa dini tofauti tofauti na wasio na dini pia, je hao amewaweka kwenye kipengele gani?
Hizi ni njama tu za kutaka kumrudisha nyuma Rais wetu kipenzi cha Watanzania wengi. Watanzania tunahitaji MAENDELEO na AMANI tu, mambo ya dini tunayaacha kwenye nyumba za ibada. Tunapofika kwenye sekta za umma hatusemi tena mambo ya dini zetu, bali kauli yetu huwa ni moja tu nayo ni HAPA KAZI TU.
Ni jambo la kusikitisha sana kuona kiongozi mkubwa wa dini akitoa tuhuma za uongo na uzushi kwa Kiongozi Mkuu wa wa nchi yetu.
Sheikh Khalifa anakiuka misingi ya imara ya taifa letu iliyowekwa na baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere ya kupiga vita udini na ukabila.
Udini na ukabila ni mbegu mbaya sana ambayo siyo tu haifai kupandwa kwenye ardhi yetu bali haipaswi hata kutunzwa majumbani mwetu, isije mea hata kwa bahati mbaya.
Mataifa mengi yameshuhudia machafuko na mauaji ya kutisha kwa udini na ukabila. Hakuna hata Mtanzania mmoja anayetamani kuona mfano wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda au vita ya Biafra Nigeria ikitokea hapa kwetu.
Acha dauuwa iwangie maalim!peleka watoto shule shekh,kila mwaka mnalalamikia mambo haya haya hata alipokuepo Jk,nyie ni mfumo mfumo! Shule kwanza kakaNinyi ndio hamridhiki. Toka awamu ya kwanza mmekuwa mkipendelewa kwenye kila kitu.
1. Vijiji vya ujamaa vilianzishwa ili kuwapa nafasi ya kueneza dini yenu. Tena kwa nguvu na gharama za serekali.
2. Azimio la Arusha. Lilianzishwa kuwatengenezea uwanja mzuri wa kuwabatiza waislamu
3. Waislamu walipojitahidi kuanzisha mashule yao,serekali ikaja na mkakati wa kutaifisha mashule na kueneza ubaguzi kwenye shule zake ili waislamu wasipate elimu
4. Mabilioni ya shilingi yanayotolewa kwenye mahospitali zenu huku hospitali za serekali zikikosa panadol
5. Nafasi za upendeleo mnazopewa kwenye vyuo vya serekali vya ualimu kwa makubaliano ya mkataba wa kidhalimu uliosainiwa na lowasa wa MoU
6. Upendeleo mnaopewa kiasi cha kuona ni haki yenu pekee kwenye teuzi ili mkafanye ufisadi na si kuhudumia watu
Yapo mengi ila jua ipo siku tutaheshimiana