Sheikh aliyesema Waislam wasile chakula cha Wakristo pia awashauri wasitumie Kalenda ya Wakristo

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
11,798
Reaction score
18,037
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.

Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa ajili ya sherehe za Christmas kiwe haramu?
Screenshot_20251227-121551~2.png

Screenshot_20251227-121455~2.png
 
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.

Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa ajili ya sherehe za Christmas kiwe haramu?
Kachanganyikiwa
 
waumde Mabasi yao kutoka Iran yasiwe na kiti chochote kilichotengenezwa na makafiri, wapite batabara zao,madaktari wao, waalimu wao, vyuo vyao, madereva wao, nyumba zao, serikali yao, mashamba yao, ndege zao mpaka bunduki zao na AI zao!
 
CCM walivyokuwa wajinga wameanza kuwagonganisha vichwa Kati ya bakwata na akina sheikh ponda....Kwa jinsi wenzetu walivyokuwa vilaza wameanza kushambuliana wao Kwa wao juu ya kesi dhidi ya bakwata
 
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.

Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa ajili ya sherehe za Christmas kiwe haramu?
Kalenda sio ibada
 
Pia waache kusoma shule za wakristo!
 
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.

Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa ajili ya sherehe za Christmas kiwe haramu?
View attachment 3521344

View attachment 3521345
Huyu anastahili kuuwawa, ili tupunguze kero hapa mjini.
 
Huyo sheikh ni mshenzi, anarudisha nyuma waislam, dunia inasonga mbele ipo mwaka 2025 kalenda ya kiislam ipo nyuma ikisoma mwaka 1414 ....!
 
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.

Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa ajili ya sherehe za Christmas kiwe haramu?
View attachment 3521344

View attachment 3521345
Eti nisione mwislam anasherekea Krismas na Mwaka Mpya!!! Kwamba waislam wote ni wa nyumbani kwake au wote ni watoto wake kiasi kwamba anawaamuru anavyotaka!!??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom