Shati kama la Echolima1 naweza kupata wapi ?

Shati kama la Echolima1 naweza kupata wapi ?

Mara ya kwanza nilidhani eli cohen na castle lite wanatania ila hata mimi nimekuja kugundua kajamaa kadriz ni kajanja sana😁
adriz ni mjanja sana. Anabadilika kama kinyonga, kwa mfano anaweza kuwa mwislamu kwa ID Moja, huku kwa ID nyingine yeye ni mkristo, anaweza kuwa shabiki wa Simba na kuwa shabiki wa yanga kwa ID nyingine nk 😂.
 
Back
Top Bottom