Shangwe laibuka mazishi ya bibi mwenye miaka 132 Moshi

Shangwe laibuka mazishi ya bibi mwenye miaka 132 Moshi

Unavyozikatikia Sina hakika Mkuu bubwahaahhhhhhaaaa....
Uchunguzi wa wanasayansi katika chuo kimojawapo huko ughaibuni walidai wanaofanya ngono Sana basi wanauwezekani wa kuishi muda mrefu basi na Mimi niliipata wasaa wa kukaa na mkuu mmoja wa nchi ,(Allah ampunguzie adhabu ya kaburi)Nikawa namueleza haya huku namtania ukizingatia na umri wake kipindi hicho ,alicheka Sana akasema hadhani kama ni kweli maana wakati wa nguvu zake ni kweli alikuwa hot Sana hivyo hajui kama unaweza kuwa sababu .
Hivyo tulia uone natangazwa mzee wa miaka mingi nchini Tanzania na duniani kote
 
Mkuu,

Si lazima vyeti.

Marehemu Alex Haley, muandishi maarufu wa Marekani (mweusi) aliyeandika kitabu cha maisha ya Malcolm X, aliandika kitabu cha "Roots" chenye historia ya kuunganisha familia yake ya Marekani na ile iliyokuwa Gambia, akawaunganisha ndugu waliopotezana kwa mamia ya miaka, kwa kufuatikia "oral tradition".

Babu wa babu wa babu wa babu yake wa vizazi vingi Kunta Kinte, alivyokuja Marekani, alikuwa kashikikia baadhi ya maneno ya kwao kama vike "Kambi Bolongo" (River Gambia) na "Juffure" kijijini kwao. Akawarithisha watoto wake historia ya kwao, wakarithishana miaka na miaka, mpaka Alex Haley akaja ku trace ike historia kwao Gambia, ambako alikutana na hostoria nyingine ya ma Griot wa Gambia iliyorekodi Kunta Kinte alivyotoweka Gambia.

Watu walijuwa na oral tradition iliyorekodi matukio, kwa hiyo hata kama vyeti havipo, kuna any documented oral tradition ikiyo credible?

Kuondokana na utata wa oral tradition kuweza kupotoshwa, pia, umri wa ntu unaweza kukadiriwa kwa vipimo vya kisayansi kama DNA tests, dental scan, wrist scan, clavicle ossification, incremental lines of dental root cementum.

Huyo bibi alihakikiwa kwa njia yoyote kati ya hizi?
Carbon 14 pia inaweza kutumika kukadiria umri
 
Hujaelewa swali.

Sijasema kuwa haiwezekani kuhakikisha. Naukiza wamehakikishaje?

Wewe unaona swali si la msingi kwa sababu unaona kama nabishia uwezekano wa uhakiki, mimi sijabishia uwezekano wa uhakiki, nahakiki uhakiki kama umefanyika na kama umefanyika umefanyikaje.

Nimeuliza wamehakikishaje, kama kanisa Katoliki walihakiki, ukitakiwa kusema Kanisa Katoliki walihakiki.

Hujasema hivyo, unaweka conjecture tu.

Kanisa Katoliki walihakiki?
Ndio nilikuwa na maanisha kanisa Katoliki limehakiki ndio maana nimelitaja

Parokia ya Uru ina taarifa zake.
 
Ndio nilikuwa na maanisha kanisa Katoliki limehakiki ndio maana nimelitaja

Parokia ya Uru ina taarifa zake.
Hizi habari za Kanisa la Katoliki kuhakiki ziko wapi?

Hizi habari zikihakikiwa hii itakuwa ni rekodi ya dunia, mtu aliyeishi umri mrefu zaidi kwa rekodi za sasa aliishi miaka 122.


"Jeanne Calment
Jeanne Louise Calment, the world's longest living person (who died at the age of 122) was born in Arles, France on February 21, 1875 and died on August 4, 1997 in a nursing home in Arles."
 
Hizi habari za Kanisa la Katoliki kuhakiki ziko wapi?
Nilisikia mjukuu wake akihojiwa kwenye na Paroko
wa Parokia ya Uru kwenye (Catholic online TV) alizungumza kwa namna anavyo mjua bibi huyo kwa karibu.

Na shaka yako nini ni kama alikuwa ni muumini bora wa Parokia
hiyo. Natambua mazishi huwa yana ratibiwa kwa karibu familia na Parokia husika.
 
Hizi habari za Kanisa la Katoliki kuhakiki ziko wapi?

Hizi habari zikihakikiwa hii itakuwa ni rekodi ya dunia, mtu aliyeishi umri mrefu zaidi kwa rekodi za sasa aliishi miaka 122.


"Jeanne Calment
Jeanne Louise Calment, the world's longest living person (who died at the age of 122) was born in Arles, France on February 21, 1875 and died on August 4, 1997 in a nursing home in Arles."
Huyu ni mzungu ndio maana taarifa inaenda ila Afrika wapo

walioshi umri mkubwa zaidi ya huo ni kwa sababu tu hatuna mfumo
wakuwatambua rasmi hasa serikali.
 
Apumzike kwa amani...

Ila nipo curious kujua kumbukumbu ya umri wake wamewezaje kuihakikia...

Miaka 132 si mchezo aisee....
 
Huyu ni mzungu ndio maana taarifa inaenda ila Afrika wapo

walioshi umri mkubwa zaidi ya huo ni kwa sababu tu hatuna mfumo
wakuwatambua rasmi hasa serikali.
Sawa, hata kama wapo, tunahakiki vipi huyu kaishi miaka 132 na huyu ni hadithi ya uongo?
 
Nenda Parokia ya Uru watakupa ushahidi wewe si ndio unataka uhakiki. Wao wameeleza
Hapana.

Mtu anayetoa claim ndiye anatoa ushahidi.

Hiyo ni kanuni ya burden of proof. The one who claims has the burden of proof.

Sasa, wanao claim wametoa hiyo proof?
 
Sioni kama ni swali la msingi hili. Kwani dunia imeanza lini?

Kanisa Katoliki wapo vizuri kwenye kutunza kumbukumbu kuanzia ubatizo na kuendelea

Kanisa Katoliki lipo Kilimanjaro tangu 1890 likibatiza watu, kutoa elimu, afya na kueneza imani Katoliki kwa ujumla
Ingependeza wangetaja na umri wa hao watoto wake hasa mtoto wake wa kwanza kamzaa mwaka gani ili tupate uhalisia wa hii story isije kuwa ni makisio/makadirio tu. Hata hivyo Mungu ashukuriwe kwa kumjalia bibi yetu umri mrefu wenye afya.
 
Hapana.

Mtu anayetoa claim ndiye anatoa ushahidi.

Hiyo ni kanuni ya burden of proof. The one who claims has the burden of proof.

Sasa, wanao claim wametoa hiyo proof?
Kwa Imani kuishi muda mrefu au hata uhai ni fadhila toka kwa Mungu

Sio jambo la kujivunia kwa sababu anayetoa uhai ni Mungu mwenyewe kwa hiyo
hilo si jambo la kanisa kuhitaji kutoa sijui ushahidi au nini ila ukienda kuwatembelea
watakupa evidence.

Na hata hiyo famiia haihitaji approval ya mtu wao wana sheherekea maisha ya bibi yao
kwani ni mashindano mpaka uhitaji ushahidi?
 
Back
Top Bottom