Shangwe laibuka mazishi ya bibi mwenye miaka 132 Moshi

Shangwe laibuka mazishi ya bibi mwenye miaka 132 Moshi

Ubishi wako ni wa hovyo. Na kwa ubishi huu bila shaka wewe si Mkatoliki. Wengine pia si Wakatoliki lakini wamejielimisha na kufahamu ukweli kuhusu utunzaji wa kumbukumbu kwa Wakatoliki.
Yaani mwaka 1892 yeye anadhani kulikua na proper vyeti vya kuzaliwa hospitali?

Ana kichaa

Mwafrika upewe Birth Certificate 1892 kwenye Deutch Ostafrica?Mwafrika mweusi?

Jamhuri yenyewe imepata uhuru 1961,maana Birth Certificates zimeanza kutoka post 1961

The only reliable birth dates records zipo makanisa ya katoliki na Lutheran tu,otherwise no records anywhere.

Nyerere mwenyewe records zake za kuzaliwa 1922 zilikua kanisa lao katoliki parokia ya kwao huko.

Nani mweusi alikua anajua kusoma 1892?No one!
 
Sina hakika na huo umri. Atakuwa amevunja record. Angalia hapa

1726068309340.png
 
Sioni kama ni swali la msingi hili. Kwani dunia imeanza lini?

Kanisa Katoliki wapo vizuri kwenye kutunza kumbukumbu kuanzia ubatizo na kuendelea

Kanisa Katoliki lipo Kilimanjaro tangu 1890 likibatiza watu, kutoa elimu, afya na kueneza imani Katoliki kwa ujumla

Hujaelewa swali.

Sijasema kuwa haiwezekani kuhakikisha. Naukiza wamehakikishaje?

Wewe unaona swali si la msingi kwa sababu unaona kama nabishia uwezekano wa uhakiki, mimi sijabishia uwezekano wa uhakiki, nahakiki uhakiki kama umefanyika na kama umefanyika umefanyikaje.

Nimeuliza wamehakikishaje, kama kanisa Katoliki walihakiki, ukitakiwa kusema Kanisa Katoliki walihakiki.

Hujasema hivyo, unaweka conjecture tu.

Kanisa Katoliki walihakiki?
 
Yaani mwaka 1892 yeye anadhani kulikua na proper vyeti vya kuzaliwa hospitali?

Ana kichaa

Mwafrika upewe Birth Certificate 1892 kwenye Deutch Ostafrica?Mwafrika mweusi?

Jamhuri yenyewe imepata uhuru 1961,maana Birth Certificates zimeanza kutoka post 1961

The only reliable birth dates records zipo makanisa ya katoliki na Lutheran tu,otherwise no records anywhere.

Nyerere mwenyewe records zake za kuzaliwa 1922 zilikua kanisa lao katoliki parokia ya kwao huko.

Nani mweusi alikua anajua kusoma 1892?No one!

Mbona record za Nyerere kuzaliwa ambazo zipo kwenye parokia yake unazikubali ila za bibi hutaki kuamini kama zipo kwenye hilo kanisa lao.
 
Yaani mwaka 1892 yeye anadhani kulikua na proper vyeti vya kuzaliwa hospitali?

Ana kichaa

Mwafrika upewe Birth Certificate 1892 kwenye Deutch Ostafrica?Mwafrika mweusi?

Jamhuri yenyewe imepata uhuru 1961,maana Birth Certificates zimeanza kutoka post 1961

The only reliable birth dates records zipo makanisa ya katoliki na Lutheran tu,otherwise no records anywhere.

Nyerere mwenyewe records zake za kuzaliwa 1922 zilikua kanisa lao katoliki parokia ya kwao huko.

Nani mweusi alikua anajua kusoma 1892?No one!
Mkuu,

Si lazima vyeti.

Marehemu Alex Haley, muandishi maarufu wa Marekani (mweusi) aliyeandika kitabu cha maisha ya Malcolm X, aliandika kitabu cha "Roots" chenye historia ya kuunganisha familia yake ya Marekani na ile iliyokuwa Gambia, akawaunganisha ndugu waliopotezana kwa mamia ya miaka, kwa kufuatikia "oral tradition".

Babu wa babu wa babu wa babu yake wa vizazi vingi Kunta Kinte, alivyokuja Marekani, alikuwa kashikikia baadhi ya maneno ya kwao kama vike "Kambi Bolongo" (River Gambia) na "Juffure" kijijini kwao. Akawarithisha watoto wake historia ya kwao, wakarithishana miaka na miaka, mpaka Alex Haley akaja ku trace ike historia kwao Gambia, ambako alikutana na hostoria nyingine ya ma Griot wa Gambia iliyorekodi Kunta Kinte alivyotoweka Gambia.

Watu walijuwa na oral tradition iliyorekodi matukio, kwa hiyo hata kama vyeti havipo, kuna any documented oral tradition ikiyo credible?

Kuondokana na utata wa oral tradition kuweza kupotoshwa, pia, umri wa ntu unaweza kukadiriwa kwa vipimo vya kisayansi kama DNA tests, dental scan, wrist scan, clavicle ossification, incremental lines of dental root cementum.

Huyo bibi alihakikiwa kwa njia yoyote kati ya hizi?
 
Angalau Kilimanjaro walipata exposure mapema sana tofauti na maeneo mengine. Shule kule zimefika miaka mingi sana na wasomi kuanzia akina mangi Marealle ni wazee wa zamani sana.
Hili jibu halijajibu swali la msingi la wamehakikishaje kwamba kazaliwa 1892.

Unanieleza tu kuwa afadhali Kilimanjaro kuna mazingira ya kuwezekana kuhakiki.
 
Bibi mmoja aliyefahamika kwa jina la Anna amefariki dunia Septemba 3, 2024 akiwa na miaka 132 ambapo mamia ya watu wamekusanyika kumuaga katika Kijiji cha Huruma eneo la Uru Kaskazini – Moshi mkoani Kilimanjaro.

Bibi Anna ameweka rekodi ya kuishi umri mrefu zaidi katika kijiji hicho na vijiji jirani, Kufuatia kuishi katika umri huo, mamia ya waombolezaji hawakuwa na sababu ya kulia na kuhuzunika badala yake ilikuwa ni furaha, shangwe ya kucheza matarumbeta na vigelegele kama vyote huku wakimsifu na kumshukuru Mungu kwa kumpa bibi yao umri huo mrefu zaidi wa kuishi.

Bibi Anna alizaliwa Septemba 4, 1892 na kufariki dunia Septemba 3, 2024 akiwa na umri huo wa miaka 132, ibada ya kumuaka Bibi Anna imefanyika katika Kanisa Katoliki Jimbo la Huru Kaskazini Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu.

Bibi Anna alijaliwa watoto tisa; nane wakiwa ni wanawake na mmoja wa kiume ambaye ameshatangulia mbele za haki, Bibi Anna alijaliwa wajukuu 45, vitukuu 132, virembwe 68 na virembwekize 8.
Pumzika kwa Amani Bibi Anna Chuwa.

Hizi ni generations 6??
 
Itakuwa ni story za Jaba tu hizi...
Yani mkuu huyo bibi alifikisha miaka 100 mwaka 1992 halafu ndiyo anafariki sasa?

Africa vijijini?

Yani kaishi miaka 8 kwenye karne ya 19, kisha kaimiliki karne ya 20 yote, halafu kamaliza karibu robo ya karne ya 21.

Kwa viwango gani vya afya tulivyo navyo?

Yani huyu bibi ambaye kwa miaka yake hiyo utotoni mnatuambia inawezekana alikutana na Karl Peters ndiyo anakuja kufariki sasa, mnaelewa umbali wa hii miaka?
 
Back
Top Bottom