Shangwe laibuka mazishi ya bibi mwenye miaka 132 Moshi

Shangwe laibuka mazishi ya bibi mwenye miaka 132 Moshi

Cheti cha kuzaliwa Mzee sio Cheti cha ubatizo kubatizwa hata Bibi wa miaka 90 wanambatiza kwa hio huo utetezi sio makini tafuta mwingine, Cheti cha kuzaliwa tunataka sio cha ubatizo
Naona umeamua kuwa mbishi tu. Tambua miaka hiyo waliokuwa wanapewa vyeti vya kuzaliwa ni Wahindi, Waarabu, Wasomali, Wazungu na watu wa jamii zinazofanana na hizo. Kwa hiyo kwa umri huo na bila shaka itakuwa alibatizwa akiwa mchanga/mtoto. Hivyo taarifa zake za kuzaliwa zitakuwa kwenye Parokia yake
 
Kataa ndoa 😹
Bora ningekuwa kataa ndoa ,ni karma tu inafanywa nakataliwa ila kiukweli napenda kuoa yaani ,natamani ile mpo katikati ya kundi la watu wengi alafu mke wangu ametangulia mbele namuita mke wangu eeeee ,mke wangu eeeee 🤣🤣

Basi natamani iwe hivyo huku tuvulana na tuwanaume twingine lazima tunikodelee macho alafu Mimi sijali .

Ni ndoto sister ,nilitamani ya hivyo ila vibuti ndivyo navyopigwa navyo ,nahisi ni karma ya kumtongoza mke wa mwenyekiti wa Kijiji
 
Nikodishe weekend tuwe tunaongozana mtaa kwa mtaa unaniita mke wanguuuu
 
Bibi mmoja aliyefahamika kwa jina la Anna amefariki dunia Septemba 3, 2024 akiwa na miaka 132 ambapo mamia ya watu wamekusanyika kumuaga katika Kijiji cha Huruma eneo la Uru Kaskazini – Moshi mkoani Kilimanjaro.

Bibi Anna ameweka rekodi ya kuishi umri mrefu zaidi katika kijiji hicho na vijiji jirani, Kufuatia kuishi katika umri huo, mamia ya waombolezaji hawakuwa na sababu ya kulia na kuhuzunika badala yake ilikuwa ni furaha, shangwe ya kucheza matarumbeta na vigelegele kama vyote huku wakimsifu na kumshukuru Mungu kwa kumpa bibi yao umri huo mrefu zaidi wa kuishi.

Bibi Anna alizaliwa Septemba 4, 1892 na kufariki dunia Septemba 3, 2024 akiwa na umri huo wa miaka 132, ibada ya kumuaka Bibi Anna imefanyika katika Kanisa Katoliki Jimbo la Huru Kaskazini Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu.

Bibi Anna alijaliwa watoto tisa; nane wakiwa ni wanawake na mmoja wa kiume ambaye ameshatangulia mbele za haki, Bibi Anna alijaliwa wajukuu 45, vitukuu 132, virembwe 68 na virembwekize 8.

Miaka ya kutunga tunga. Chukuwa umri wa mtoto wake ongeza 20 ndiyo umri wake! Hakuna mtu ana miaka 132 ni uongo
 
Sasa umri wote huo si utakuwa unawatesa wanaokuuguza?

Utawapa tabu ya kukuanika na kukuanua kila siku asubuhi na jioni...

Walioishi na watu wenye umri mkubwa wanajua tabu yake
Kwani ulipokuwa mtoto wewe ulikuwa ukinya nani anakuosha? F...you.na kama mtu ameishi mwendo mrefu ni rehma za Mungu Huyo mtu hajataka yy. Kwahivo ajiue?...wewe una uwezo wa kuua.
 
Back
Top Bottom