Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,740
- 82,104
Angalau Kilimanjaro walipata exposure mapema sana tofauti na maeneo mengine. Shule kule zimefika miaka mingi sana na wasomi kuanzia akina mangi Marealle ni wazee wa zamani sana.RIP.
Wamehakikishaje kazaliwa 1892?