Shamba la heka 12 linauzwa Mvuha Morogoro

DENLSON

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
944
1,253
Shamba linauzwa
Mahali: Mvuha, Morogoro
Ukubwa: Heka 12
Bei: 600,000 kwa heka
Shamba linafaa kwa kilimo cha migomba, miti, mahindi, mpunga, miwa, ufuta na mazao ya mbegu kama mbaazi
Shamba liko jirani na halmashauri ya Manispaa ya Morogoro vijijini Mvuha

Pia pamoja na shamba kuna kiwanja chenye ukubwa wa 35*70 kinauzwa bei ni million 1.5
 
Kiongozi ata picha za shamba huna?

Ni shamba pori nini?

Hiko kiwanja kime pimwa?

Kipo ktk shamba Au kipo kijiji kingine?

Mkuu hakuna maelezo na picha kushadihisha uliyo yaandika?
 
Manispaa ya moro vijijini, sijawa kusikia huyo itakuwa halmashauri ya wilaya ya moro sio manispaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom