Shakira alianza kushtuka Pique alikuwa anamcheat sababu ya Jam kwenye fridge

Wanawake ni wapelelezi sana na kila jambo ulifanya kwa hisia, nilipigiwa simu mara 4 usiku sikupokea mtoto wa watu kawasha gari yake saa 11 kasoro alfajiri toka Mbweni mpaka Kibada kapaki gari nje ili aje kufumania tu ile nafungua geti naona mtu kanuna ananiangalia usoni wa macho makali. mapenzi haya!!!
Ahahahaa....kabla sijaoa lazima nitafute wakili,na mkataba juu kuwa kwamba ntaongeza mwengine uko mbeleni
 
Wanawake ni wapelelezi sana na kila jambo ulifanya kwa hisia, nilipigiwa simu mara 4 usiku sikupokea mtoto wa watu kawasha gari yake saa 11 kasoro alfajiri toka Mbweni mpaka Kibada kapaki gari nje ili aje kufumania tu ile nafungua geti naona mtu kanuna ananiangalia usoni wa macho makali. mapenzi haya!!!
Eh
 
Ila wazungu bana, Yaani strawberry tu ikavunja ndoa ya watu kudadekii 🤔

Huko nasikia mpenzi wako akiota tu unamcheat anaweza akakuacha mazima, hawafanyagi masikhara kbsa hao watu 😂
 
Nitahakikisha nacheat kistaraab
Huku nikiendelea kuheshim baba chanja
Kwa ushauri wa bure, usijaribu kabisa. Ninyi ni tofauti na sisi kabisa.
Sisi hatuendi kwa hisia yaani wangi huji laumu sana baada ya kuchepuka lkn nyege zikishika kasi tena huchepuka tena hujilaumu.
Lkn nyie mnaenda akiri na miguu hususani atakae kukuna vzr
 
Pique kidume Shakira kamwimba, mwamba kakaa kimya,hajajibu wala kufanya intvw yoyote. Japo ukimya wa mwanaume huwaga unaonyesha yy anamakosa,ila hatuwezi fahamu yaliyo kifuani mwa Pique,wanawake wanapenda sana kuonewa huruma,mbele za watu.
Hakuna kitu Wanawake wanaumia kama ukimkalia kimya kama vile humuoni. Sababu wanapenda ATTENTION.

Iwe kwa heri au kwa Shari mwanamke anapenda ATTENTION wakati wote Sasa ukimlia buyu Ina m-pain maradufu.

Kama Hana simile anaweza hata jiua.

Nina uzeofu na hii ishu aisee.

The day unampa ATTENTION tu anakuja mwingi kwa heri au Shari.
 
Shakira bado anampenda jamaa ila ndio hivyo, kilichonisikitisha ni hilo la Pique kutotaka kuwaona watoto wake, inahitaji roho ya kikatili sana kufanya hivi, kama una mtoto mtoto/ watoto utanielewa.
Msimlaumu pique.

Kuna wakati STIMU zinamkata mtu hatamani hata kukuona mahali popote.

Usikute alimkera sana pamoja kwamba mwana ndie aliecheat.

Ila Ile reaction ya Shakira pengine maneno mbofu mbofu na baadhi ya vitendo.

Wanawake wanapaswa jua mwanamme hawezi settle na mwammke mmoja lazima atakuwa anakula nje.

Sometimes kuwa mpole kama anakujali wewe na familia Yako unataka Nini zaidi.

The day ukijifanya unalipuka ndio unaachwa mazima na uzee wako
 
Kwa ushauri wa bure, usijaribu kabisa. Ninyi ni tofauti na sisi kabisa.
Sisi hatuendi kwa hisia yaani wangi huji laumu sana baada ya kuchepuka lkn nyege zikishika kasi tena huchepuka tena hujilaumu.
Lkn nyie mnaenda akiri na miguu hususani atakae kukuna vzr
Ila wanaume muache kujustify uzinzi wenu
Hakuna marefu yasio naa ncha
Muda ukifikka unatapoteza familia kwa ajili ya kuchepuka
 
Aloooo.....mbweni hii nayoijua Mimi na kibada!!!!
Mbweni hiyo hiyo ya washua from there to Kibada alfajiri kuja kufumania. Wanawake ni wapelelezi sana na mwanamke akihisi jambo basi kuna ukweli kwa %70+.
Ila mwanamke unaweza kuwa nae ukahisi kama hakufatilii nyendo zako kumbe weee jichanganye...akiondoka akakuachia nyumba au akiwa anakuja kwako mara kwa mara na kulala, anajua mpangilio wote wa ndani, alining'iniza G-strings toilet ya chumbani sasa nikazihamishia kabatini baada ya kuona zimeshakauka, ulikuwa ugomvi mkubwa aliporudi hakuzikuta alipoziacha kule toilet ya chumbani kwa juu, why nilizitoa.
ila wanawake....
 
Back
Top Bottom