Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,475
- 607
Watanzani wamekuelewaShaka : TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa hili itatoka wapi? | CCM haitakubali watanzania walioko maeneo ya hifadhi kuishi Kama wakimbizi kwenye nchi yao,
|Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua tusimamie sheria bila kuleta mateso|manyanyaso na hata udhalilishaji uliopitiliza|
|Chama Cha Mapinduzi kitamuelekeza Waziri Wa Maliasili na Utali Dk Ndumbaro juu ya kadhia hii, Vijana wake wakishawamaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa hili itatoka wapi? Nyakati zote Rais Samia amekuwa akisimama na Wananchi wake kamwe hatuwezi kufumbia macho uchonganishi huu kwa kisingizio eti kuvunja sheria|
|CCM haitakubali kuona wananchi kwenye maeneo ya hifadhi ya misitu wakiishi kama wakimbizi katika kwenye nchi yao. TFS acheni uonevu na unyanyasaji wa wananchi wanaopakana na misitu hususan hapa Jimbo la Ushetu| alisema Shaka
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Kahama Kampeni CCM.
View attachment 1968067
View attachment 1968068
View attachment 1968070
View attachment 1968071
View attachment 1968072
View attachment 1968074