Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,768
- 20,158
😂😂😂Huyo uliyemtaja mwenyewe ni mbambika kesi no 1

Shaka ni kiongozi muungwana sanaShaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili |
"Chagueni Mhe Cherehani akamsaidie Rais Samia Suluhu"
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi na hata mauaji kwa vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitia doa jeshi letu la Polisi, hili halikubaliki"
"Kibaya zaidi wanapowafikisha watuhumiwa polisi, hawawapeleki hata mahakamani badala yake wanatozwa faini ambazo hazina hata stakabadhi yeyote, niwakikishie wananchi Serikali ya CCM inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haitavumilia jambo hili tunasimama upande wenu, kuweni na amani endeleni kutiii sheria bila shurti"
"Chama Cha Mapinduzi tutazungumza na IGP leo hii jicho lake liangalie wilaya ya Kahama haiwezekani wananchi wako kwenye nchi huru leo hii wakafanywa wanaishi kama wakimbizi kwa vitu vya kusingiziana na kubambikiziana kesi kubwa na nzito"
"Jumamosi tarehe 9 Oktoba, 2021 ili akashirikiane na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo Wanaushetu mchaguenu Ndg Emmanuel Cherehani anatosha na amekidhi vigezo na viwango vya kuwa mbunge wenu wa 2021-2025"
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
#Ushetu-Kahama Kampeni CCM
View attachment 1968218
View attachment 1968219
View attachment 1968220
View attachment 1968223
View attachment 1968233
NdioRais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,
miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000
Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Haaha nchi ngumu sana hiiMbambika kesi anapopelekewa kesi ya kubambika kesi 😁😁.
Hiiiiii bagosha!
KAZIIENDELEEShaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili |
"Chagueni Mhe Cherehani akamsaidie Rais Samia Suluhu"
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi na hata mauaji kwa vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitia doa jeshi letu la Polisi, hili halikubaliki"
"Kibaya zaidi wanapowafikisha watuhumiwa polisi, hawawapeleki hata mahakamani badala yake wanatozwa faini ambazo hazina hata stakabadhi yeyote, niwakikishie wananchi Serikali ya CCM inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haitavumilia jambo hili tunasimama upande wenu, kuweni na amani endeleni kutiii sheria bila shurti"
"Chama Cha Mapinduzi tutazungumza na IGP leo hii jicho lake liangalie wilaya ya Kahama haiwezekani wananchi wako kwenye nchi huru leo hii wakafanywa wanaishi kama wakimbizi kwa vitu vya kusingiziana na kubambikiziana kesi kubwa na nzito"
"Jumamosi tarehe 9 Oktoba, 2021 ili akashirikiane na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo Wanaushetu mchaguenu Ndg Emmanuel Cherehani anatosha na amekidhi vigezo na viwango vya kuwa mbunge wenu wa 2021-2025"
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
#Ushetu-Kahama Kampeni CCM
View attachment 1968218
View attachment 1968219
View attachment 1968220
View attachment 1968223
View attachment 1968233
ShakaShaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili |
"Chagueni Mhe Cherehani akamsaidie Rais Samia Suluhu"
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi na hata mauaji kwa vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitia doa jeshi letu la Polisi, hili halikubaliki"
"Kibaya zaidi wanapowafikisha watuhumiwa polisi, hawawapeleki hata mahakamani badala yake wanatozwa faini ambazo hazina hata stakabadhi yeyote, niwakikishie wananchi Serikali ya CCM inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haitavumilia jambo hili tunasimama upande wenu, kuweni na amani endeleni kutiii sheria bila shurti"
"Chama Cha Mapinduzi tutazungumza na IGP leo hii jicho lake liangalie wilaya ya Kahama haiwezekani wananchi wako kwenye nchi huru leo hii wakafanywa wanaishi kama wakimbizi kwa vitu vya kusingiziana na kubambikiziana kesi kubwa na nzito"
"Jumamosi tarehe 9 Oktoba, 2021 ili akashirikiane na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo Wanaushetu mchaguenu Ndg Emmanuel Cherehani anatosha na amekidhi vigezo na viwango vya kuwa mbunge wenu wa 2021-2025"
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
#Ushetu-Kahama Kampeni CCM
View attachment 1968218
View attachment 1968219
View attachment 1968220
View attachment 1968223
View attachment 1968233
Naisikia sauti ya Mbowe ikisema kwa ushupavu, nanukuu " Polisi wanatutendea yasiyo mema kwa sababu tu ni chama cha upinzani, nawakikishieni wakimaliza na sisi wataanza na ninyi" mwisho wa kunukuu!! #Mbowesiogaidi"Chama Cha Mapinduzi tutazungumza na IGP leo hii jicho lake liangalie wilaya ya Kahama haiwezekani wananchi wako kwenye nchi huru leo hii wakafanywa wanaishi kama wakimbizi
Chuma kama chumaKwa hiyo wenye kuvaa mavazi ya kijani pekee ndio hawastahili kubambikiwa kesi na polisi chini ya huyo muheshimiwa sana sio, vipi wale wanaotamani wayapate hayo mavazi ya kijani lakini tozo zime wanyonga, pamoja na na ukosefu wa haki zao za msingi kutokana na Hawa wanaowabambikia, hawa kwa umoja wetu tujiweke katika kundi lipi, au sisi mmetutenga rasmi, tunaomba majibu ili tufahamu.
nimechekaaaMbambika kesi anapopelekewa kesi ya kubambika kesi 😁😁.
Hiiiiii bagosha!
Bodi ilithibitisha mjombaNani kathibitisha ngonjera hizi??
Kazi iendeleeShaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili |
"Chagueni Mhe Cherehani akamsaidie Rais Samia Suluhu"
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi na hata mauaji kwa vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitia doa jeshi letu la Polisi, hili halikubaliki"
"Kibaya zaidi wanapowafikisha watuhumiwa polisi, hawawapeleki hata mahakamani badala yake wanatozwa faini ambazo hazina hata stakabadhi yeyote, niwakikishie wananchi Serikali ya CCM inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haitavumilia jambo hili tunasimama upande wenu, kuweni na amani endeleni kutiii sheria bila shurti"
"Chama Cha Mapinduzi tutazungumza na IGP leo hii jicho lake liangalie wilaya ya Kahama haiwezekani wananchi wako kwenye nchi huru leo hii wakafanywa wanaishi kama wakimbizi kwa vitu vya kusingiziana na kubambikiziana kesi kubwa na nzito"
"Jumamosi tarehe 9 Oktoba, 2021 ili akashirikiane na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo Wanaushetu mchaguenu Ndg Emmanuel Cherehani anatosha na amekidhi vigezo na viwango vya kuwa mbunge wenu wa 2021-2025"
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
#Ushetu-Kahama Kampeni CCM
View attachment 1968218
View attachment 1968219
View attachment 1968220
View attachment 1968223
View attachment 1968233
Shaka ni mtu na nusu,Shaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili |
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi na hata mauaji kwa vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitia doa jeshi letu la Polisi, hili halikubaliki"
"Kibaya zaidi wanapowafikisha watuhumiwa polisi, hawawapeleki hata mahakamani badala yake wanatozwa faini ambazo hazina hata stakabadhi yeyote, niwakikishie wananchi Serikali ya CCM inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haitavumilia jambo hili tunasimama upande wenu, kuweni na amani endeleni kutiii sheria bila shurti"
"Chama Cha Mapinduzi tutazungumza na IGP leo hii jicho lake liangalie wilaya ya Kahama haiwezekani wananchi wako kwenye nchi huru leo hii wakafanywa wanaishi kama wakimbizi kwa vitu vya kusingiziana na kubambikiziana kesi kubwa na nzito"
"Jumamosi tarehe 9 Oktoba, 2021 ili akashirikiane na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo Wanaushetu mchaguenu Ndg Emmanuel Cherehani anatosha na amekidhi vigezo na viwango vya kuwa mbunge wenu wa 2021-2025"
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
#Ushetu-Kahama Kampeni CCM
View attachment 1968218
View attachment 1968220
View attachment 1968223
Aseme sasa Mbowe sio gaidiShaka ni mtu na nusu,
Mbowe kwaniw kweli sio gaidiAseme sasa Mbowe sio gaidi
Kazi ya mahakama hiyoAseme sasa Mbowe sio gaidi
Wewe umebambikwa kesi gani?Kwa hiyo wenye kuvaa mavazi ya kijani pekee ndio hawastahili kubambikiwa kesi na polisi chini ya huyo muheshimiwa sana sio, vipi wale wanaotamani wayapate hayo mavazi ya kijani lakini tozo zime wanyonga, pamoja na na ukosefu wa haki zao za msingi kutokana na Hawa wanaowabambikia, hawa kwa umoja wetu tujiweke katika kundi lipi, au sisi mmetutenga rasmi, tunaomba majibu ili tufahamu.
VuGu vugu/yamotomotoWewe umebambikwa kesi gani?
CCM wanakiri polisi kubambika kesi watu hadharani? kumbe issue ya Mbowe ni kweliShaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili |