Shahidi wa nane kesi ya Sabaya: Mume wangu hakupigwa wala kunyang'anywa simu

Una haki zote za kuandika hapa jukwaani, ila hukuwa na ulazima wa kujiunga hapa jukwaani mwezi uliopita ili uje uandike huu utoto humu. Huu utoto ungeweza kuufanyia huko huko kwenye shule yenu ya msingi.
Unaweza kuwa mtoto lakini akili za wakubwa. Wewe ni mzee usiye na akili. Kifupi wewe huna akili.

Ungekuwa na busara, ungelihoji uhalali wa uzi wenyewe. Ila kwa kuwa unapenda kusikia kile kinachokupendeza, basi huna tofauti na nguruwe. Akiwazacho yeye chakula tu.
 
Kheri yangu niliyetotolewa baada ya kupitia hatua zote muhimu kuliko wewe ambaye umezaliwa kabla ya wakati na akili imeenda kushoto.
nasema hiviii.... wewe ni hovyoooo pamoja na anaewashikia akili zenu
 
Soma ushahidi wake wa msingi (Examination in Chief) na usome huo uliouweka (cross examination) ndio uone uhalisia.

 
1.Kwa sababu hakumshuhudia akipigwa haina maana hakupigwa wakati hayupo.
2. Aliposhuka kwenye gari hakuwa amefungwa pingu miguuni. Hakusema kama alifungwa mikononi. Hawezi kujua kama pingu zilitolewa kabla ya kushuka.
3. Alimpigia simu kuwa ametekwa kwa hiyo alikuwa na access na simu.
4. Alizitoa simu alizokuwa amezificha. Hizi ndizo alizitumia kupiga na hakunyang'anywa kwa sababu alizificha.

Amandla...
 
Ahahahahahahahahhahahahahahhahahahahahahah nimecheka sana yaani! Dah! Jf kiboko...

Umekutana na Zwangendaba mzee
 
Hii kes nyuma lazim kuwe na wafanyabiahara wakubwa wanasukuma hii kes lakin siku ya siku ukweli utajulikana
 
Aliesema kapigwa ndiye anaejua wewe shaidi uwezikataa.labda usema akuwepo Siku ya tukio na tiketi hii hapa
 
Una haki zote za kuandika hapa jukwaani, ila hukuwa na ulazima wa kujiunga hapa jukwaani mwezi uliopita ili uje uandike huu utoto humu. Huu utoto ungeweza kuufanyia huko huko kwenye shule yenu ya msingi.
Gai, aise wewe ni jinga jinga, hakuwa na ulazima? wtf. Mnaona udikteta wenu lakini, unaona au huoni, toeni maboriti yenu kwa macho ndio kidogo mtaweza shawishi watu.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sabaya ana mimba ya mapacha,kapigwa na Nyampara pale Kisongo,Msangi alipigwa kule dukani ambako Mkewe haluwepo,sasa mlitaka Mke aseme alimuona mmewe anapigwa wakati kule dukani hakuwepo??mbona ni simple logic tu kufikiri hili
 
Mke anasema hakushuhudia mumewe akipigwa.

Hii haimaanishi kua mumewe hajapigwa.

Kwakua kama angekua ameshuhudia ilibidi mke awepo eneo la tukio.

Kwa mujibu wa maelezo eneo la tukio lilikua ni ndani ya duka la mlalamikaji mwingine.

Hivyo ni sahihi mke kusema hakushuhudia kwakua mke hakuwepo dukani.

Mke alisema mumewe alipoingia kwenye gari akazitoa simu sehemu za siri na kumkabidhi.

Kama simu alikua nazo na akakabidhi ni sahihi kwa mke kusema kwamba Sabaya hakumnyang'anya simu mume wa mtoa ushahidi.

Hivyo kauli alizotoa zinacomplement alichoongea mwanzo. Hazichanganyi.
 
Na iko very clear, shahidi kakwepa mtego mkubwa sana sana
 
Huna 'mandate' yeyote ya kunipangia cha kuandika as long as sivunji sheria za JF.

Nitaendelea kuandika chochote nitakachojisikia.
Nenda kajiandae na mitihani ya darasa LA Saba, hapo Lumumba primary...HUKU HAPAKUFAI
 
Watu hawajui mitego ya kutoa ushahidi.
Kwenye ushahidi hutakiwi kujiongeza kusema kitu ambacho hujakiona,unaeleza tu kile ulichokiona kisha majaji ndio wataunganisha maelezo na kuupata ukweli
Sasa naona Mataga wanashangilia weeeee ndio ujue hawa Jamaa akili zao huwa wanaziacha chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…