Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 3,242
- 16,959
- Thread starter
- #21
Unaweza kuwa mtoto lakini akili za wakubwa. Wewe ni mzee usiye na akili. Kifupi wewe huna akili.Una haki zote za kuandika hapa jukwaani, ila hukuwa na ulazima wa kujiunga hapa jukwaani mwezi uliopita ili uje uandike huu utoto humu. Huu utoto ungeweza kuufanyia huko huko kwenye shule yenu ya msingi.
Ungekuwa na busara, ungelihoji uhalali wa uzi wenyewe. Ila kwa kuwa unapenda kusikia kile kinachokupendeza, basi huna tofauti na nguruwe. Akiwazacho yeye chakula tu.