Certainly, most alkaeda members wanavaa hijabu nk, at the same time siyo wavaa hijabu wote ni alkaeda, so sioni tatizo lolote hapa.
Mkuu wangu kaa kweli kuna shahidi kasimama na kusema maneno haya, hakuna kosa kabisa la kunukuu maelezo ya shahidi ktk kesi inayoendelea. Na pale Lema atakapojibu ndipo tunaweza kufuta Ushahidi huu kwa sababu zilizoelezwa. Na achilia mbali ushahidi na hukumu ya mahakama, Chadema wenyewe wanatakiwa kufanya uchunguzi wao wenyewe kuhusiana na maneno haya. Anaweza kutetewa mahakamani lakini ndani ya Chadema wanajua fika kwamba maneno haya aliyasema, hivyo wanamtetea kuondoa hukumu ya kuvuliwa ubunge.Kama ningekuwa mod, ningefuta hii thread mara moja.
Yaani mtu anachukua nukuu kwenye gazeti na kuiweka hapa bila hata kusoma gazeti lenyewe. Na kama kalisoma basi hajashirikisha ubongo wake ipasavyo!
Tangu lini maneno ya shahidi yakachukuliwa kuwa ni maneno ya mtuhumiwa kabla kesi haijaisha??
Tusipoangalia vizuri tunaweza kushindwa kuisaidia mahakama itoe fair judgement...
Huu ni upotoshaji mkubwa na ikiwezekana hii thread ifungwe mara moja
Naomba kila mtu anayetumia akili atoe report ya abuse kwa mods!!
Babu DC!!
Mkuu wangu kaa kweli kuna shahidi kasimama na kusema maneno haya, hakuna kosa kabisa la kunukuu maelezo ya shahidi ktk kesi inayoendelea. Na pale Lema atakapojibu ndipo tunaweza kufuta Ushahidi huu kwa sababu zilizoelezwa. Na achilia mbali ushahidi na hukumu ya mahakama, Chadema wenyewe wanatakiwa kufanya uchunguzi wao wenyewe kuhusiana na maneno haya. Anaweza kutetewa mahakamani lakini ndani ya Chadema wanajua fika kwamba maneno haya aliyasema, hivyo wanamtetea kuondoa hukumu ya kuvuliwa ubunge.
Kitu kimoja tu, tazameni picha hii halafu mnipe jibu..View attachment 47376
Ondoa upumbavu wako hapa. Unachangia mada ambayo hujaielewa halafu unajiita Great Thinker! ama kweli wewe ni zaidi ya makalio.Na sasa Al-Qaeeda wameshaungana na Al-Shabaab na kauli mbiu yao inasema: "Ugomvi kwetu sherehe!". Sijui itakuaje kwa wale watu wenye Ugonjwa mbaya sana unaojuilikana kama; Islamaphobia! Au ndio huyu Mh. Lema anaanza kuweweseka hata mambo hayajapamba moto!!!
Mkuu wangu iwe siamini au naamini lakini ndani ya mahakama upande wa kutetezi huwa na nafasi ya kumhoji shahidi (Cross-examination) kuhusiana na ushahidi alotoa mhusika, sasa kama mnayo majibu yanayopingana na ushahidi huo muuweke hapa tuusome. Kinyume cha hapo ikiwa shahidi amepita bila kupingwa na ushahidi huo umechukuliwa, mimi nitamtetea vipi Lema..Kwani kesi nzima inahusu maneno haya tu au?Hivi mkuu wewe unajiaminisha ni maneno ya Lema?
Na kama tunaweza kumpa benefit of doubt at least for now kwamba si yake, tuna haraka gani kuyaweka hapa na katika hali ambayo inaonesha kuwa beyond reasonable doubt ni yake??
Bado naamini hii thread ni upotoshaji wa hali ya juu sana!!
Mods please hebu ondoa hii kitu, kwa nini mnawaacha watu kama hawa wanaotukana humu? Piga burn huyu tafadhali
Wewe, ushahidi na vielelezo vyote vinavyokusudiwa kutolewa huorodheshwa kabla ya kesi kuanza, sasa wewe utapelekaje kitepu chako kama hakikuorodheshwa? wacha ujinga!Musa Mkangaa ni shahidi wa kwanza tu bado kuna wengine as long as electronic evidence is admissible ningekuwa na muda nigepeleka tape recorder manake kuna makubwa zaidi ya Alqueda aliyoyasema Mhe. Mbunge dhidi ya yule mama hasa akiwa kwenye Mkutano wa hadhara pale Sanawari, Dara 2, Kaloleni na Kimandolu Lema ana maneno makali sana nyie acheni tu yeye badala ya kujenga dhidi ya CCM aliamua kumvua yule mama nguo moja kwa moja tena yule mwanamke alikuwa jasiri sana manake hata kama ni mwanasiasa ila yale maneno yalikuwa makali mno!
ni kweli anapigania haki lakini kwa hili aliteleza