Shahidi: Lema alimkashifu Dk. Buriani jukwaani

Mkuu hili swala si kukurupuka tu!pata undani wake ndo uje humu.C kuchangia +ve yametendeka With no data!msikitin ulienda mara ya mwisho mwezi ramadhani?
 
Mnaotumia makalio kufikili msituchonganishe sie waislam na chadema pia ndg lema, mna mambo ya kitoto sana, mnatuona si waislam hamnazo eh?? Mkifil tu kupata political power kirahisi rahisi mnatuhusisha waislam, mwadhan sie ni cheap eh, matokoi yenu, think beyond mipua yenu.. Mtuache waislam, endeleeni na mafisadi wenu waislam mtuache
 
Sijui kama yuko sawa.... alishawahi kukesha akifanya ibada ya ufufuo kwa marehemu mke wa Mwenyekiti wa CCM Arusha akaishia patupu... hawa ndiyo CHADEMA wanaotaka kuongoza nchi na sera za ubaguzi wa kidini...

Duh, kweli mkuu?! alikuwa mjani, au?!
 
Wewe, ushahidi na vielelezo vyote vinavyokusudiwa kutolewa huorodheshwa kabla ya kesi kuanza, sasa wewe utapelekaje kitepu chako kama hakikuorodheshwa? wacha ujinga!

Nikupe pole bwana GWALISHENZI manake kama unatmia miwani basi leo utakuwa umesahau kuvaa na kama hutumii basi nina shaka na uwezo wako wa kusoma na kupambanua sentensi na siku zijazo read btn the lines ndo ujaribu kujibu na uwe na uwelewa mzuri wa NYAKATI; wakati uliopo, ujao, uliopita n.k! Cant blaim you anyway.........
 
CCM-Magamba ndio mnaudini,na hayo maneno usimlishe Mh Lema hayo maneno yalisemwa na Juma Ikangaa na sasa mahaka inatafuta kuthibisha madai hayo,ila kwa sasa tulie nauhakika kuwa nani kasema ni Ikangaa ndio watu wamemsikia mahakamani,na hata hivyo udini huu muasisi ni JK kipindi cha uchaguzi na hii ni kutokana na kuelemewa hivyo akaamua kuwagawa watu kwa udini akaupigia upatu sana,lakini leo hii wana CCM hao hao ambao ndio magamba wenyewe wanabanana makanisani na kwenye maulid hapo mnazi mmoja,kila mtu ni shahidi jinsi hawa wana magamba-CCM wanavyobanana kwenye nyumba za ibada huku wakijaribu kutafuta support ya kwenda Ikulu,leo mnavyosema udini ni sera ya CDM ni ya kweli hayo?
Na kwakuwa mna hamu sana na jimbo la Arusha najua mnajaribu sana kupindisha sheria na tayari kuna tetesi kuwa EL anasimamia jimbo hilo lirudi ili mmweze kujenga ngome kwa ajili ya 2015.yetu macho na juhudi zetu hazitokoma,pamoja tutashinda CDM
 
Alkaeda wote ni waislam lakini waislam wote si Alkaeda, bado sijaona mtu mwenye kunieleza how this should be an issue, naona ni mwendelezo tu wa vijembe badala ya kujibu hoja kwa hoja.
 
Mkuu umenena. UDINI ni sumu mbaya sana inayopandikizwa na CCM kama silaha ya kisiasa dhidi ya wengine. Yaani hii ni hatari sana kwa taifa letu. Huwezi kunishawishi Lema na CHADEMA kwa ujumla ni wendawazimu kiasi hicho hadi watamke ****** kama huo. CCM mnakera na mnatupeleka siko kwa siasa zenu za maji taka. Naamini kabisa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani vinaandaa mikakati madhubuti ya kukabiliana na ujinga huu wa CCM.
 
Mkuu hili swala si kukurupuka tu!pata undani wake ndo uje humu.C kuchangia +ve yametendeka With no data!msikitin ulienda mara ya mwisho mwezi ramadhani?
 
Nikupe pole bwana GWALISHENZI manake kama unatmia miwani basi leo utakuwa umesahau kuvaa na kama hutumii basi nina shaka na uwezo wako wa kusoma na kupambanua sentensi na siku zijazo read btn the lines ndo ujaribu kujibu na uwe na uwelewa mzuri wa NYAKATI; wakati uliopo, ujao, uliopita n.k! Cant blaim you anyway.........

Mkuu ID yako noma
 
Alkaeda wote ni waislam lakini waislam wote si Alkaeda, bado sijaona mtu mwenye kunieleza how this should be an issue, naona ni mwendelezo tu wa vijembe badala ya kujibu hoja kwa hoja.

Hapo kwenye red kwa asilimia kubwa ni kweli. Lakini hoja ya kipuuzi inayotaka kujengwa hapa (kwenye hiyo kesi la Lema), kwanza ni kutaka kumwekea Lema maneno mdomoni aonekane aliyatamka hayo kwa faida za kisiasa za washindani wake.

Lakini wakati huo huo kuna wanaoi-support Al-Qaeda (hata humu JF wamo) ila leo kwa unafiki wanataka Al-Qaeda ionekane mbaya kwa faida za kisiasa dhidi ya Lema. Kesho likitokea tukio jingine dhidi ya Al-Qaeda watasimama upande wa Al-Qaeda. Huu ni unafiki uliopitiliza. Hizi ndio siasa za majitaka na tukifanya mchezo hazitaiacha nchi yetu salama.
 
Ushahidi huu hauna nguvu ya kumtia hatiani Lema, unless kama atakiri mwenyewe kuwa alitenda kosa tajwa
 
Mkuu umenena. UDINI ni sumu mbaya sana inayopandikizwa na CCM kama silaha ya kisiasa dhidi ya wengine. Yaani hii ni hatari sana kwa taifa letu. Huwezi kunishawishi Lema na CHADEMA kwa ujumla ni wendawazimu kiasi hicho hadi watamke ****** kama huo. CCM mnakera na mnatupeleka siko kwa siasa zenu za maji taka. Naamini kabisa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani vinaandaa mikakati madhubuti ya kukabiliana na ujinga huu wa CCM.

Wewe mwenyewe MDINI unawalaumu CCM bure, punguza udini kwanza wewe maana maradhi uliyonayo umeshafikia pabaya sasa..
 
Taarifa toka zilizozagaa sombetini na jijini arusha zinathibitisha kuwa kumbe hasira za shahidi wa kwanza Musa Mkanga zinatokana na diwani huyo wa zamani kutamani mtoto wa dada yake aolewe na kamanda lema bila mafanikio na hatimaye lema kuoa jirani sana na Mkanga msichana aitwae Neema,hivyo hasira zake ni kuapa kumvurugia mafanikio yake.je hii ni sababu na chuki binafsi ya Diwani huyo mjiuzulu kuchezea kodi za watanzania na kumpotezea muda mbunge kipenzi chetu Godbless Lema?
 
Si muda mrefu mambo yataiva na tutawataarifu rasmi hapa mjengoni, lakini kwanza tunafanya kazi ya kutambulishana! Lakini fahamu hadi Askari wa kimarekani na ambao wameshawahi kushiriki vita kule Iraq, Afaghanistan na kwengineko sasa wanasilimu na kujiunga na haya makundi; jee wewe bado kwanza!

Wenzako kila siku wanakana eti haya makundi hayatetei uislamu bali ni magaidi na wahuni tu!! Wewe sasa wafumbue wenzio hao macho waambiie huo ndiyo uislamu wenyewe!
 
Ushahidi huu hauna nguvu ya kumtia hatiani Lema, unless kama atakiri mwenyewe kuwa alitenda kosa tajwa

Mkuu siasa uchwara tu hizo. Wanasiasa walioishiwa hoja hukimbilia DINI. Hivi mahakama ikithibitisha kwamba Lema hakutamka hayo maneno inakuwaje hapo? Just wait and see soon itathibitishwa sio Lema bali washindani wake (Batilda, et al) ndio wadini kwa kujaribu kupeleka ushahidi wa uongo wenye mwelekeo wa kidini mahakamani.
 
Ikithibitishwa kuwa Lema alitamka hayo utakubali kwamba yeye (Lema) MDINI? au utatoa maelezo mengine???
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom