Shahidi: Lema alimkashifu Dk. Buriani jukwaani

Ulitakiwa kuandika hivi:
source: shahidi mahakamani na SIO source: mwananchi la leo
 
Lema anatisha magamba wanamuogopa sana na siasa zake za kutomuogopa mtu nionavyo mimi kwa hapa arusha wanafanya juu chini kumuondoa na kutompa nafasi ya kugombea tena .ila kwa arusha hata likisimamishwa jiwe na magamba jiwe litashinda tu .Tuache siasa za chuki .lema ni mtanzania tu ana haki ya kuongoza kama mtanzania mwingine .Tuache mahakama iamue halafu ndio tujadili .
 
Duuh..!!!:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:... Aliyemwambia kwamba aal-qaeda wanavaa hijabu ni nani???

Huyu anaishi dunia gani?
 
Kama ningekuwa mod, ningefuta hii thread mara moja.

Yaani mtu anachukua nukuu kwenye gazeti na kuiweka hapa bila hata kusoma gazeti lenyewe. Na kama kalisoma basi hajashirikisha ubongo wake ipasavyo!

Tangu lini maneno ya shahidi yakachukuliwa kuwa ni maneno ya mtuhumiwa kabla kesi haijaisha??

Tusipoangalia vizuri tunaweza kushindwa kuisaidia mahakama itoe fair judgement...

Huu ni upotoshaji mkubwa na ikiwezekana hii thread ifungwe mara moja

Naomba kila mtu anayetumia akili atoe report ya abuse kwa mods!!

Babu DC!!
 
Mkuu wangu kaa kweli kuna shahidi kasimama na kusema maneno haya, hakuna kosa kabisa la kunukuu maelezo ya shahidi ktk kesi inayoendelea. Na pale Lema atakapojibu ndipo tunaweza kufuta Ushahidi huu kwa sababu zilizoelezwa. Na achilia mbali ushahidi na hukumu ya mahakama, Chadema wenyewe wanatakiwa kufanya uchunguzi wao wenyewe kuhusiana na maneno haya. Anaweza kutetewa mahakamani lakini ndani ya Chadema wanajua fika kwamba maneno haya aliyasema, hivyo wanamtetea kuondoa hukumu ya kuvuliwa ubunge.

Kitu kimoja tu, tazameni picha hii halafu mnipe jibu.. Contraversial of Hijab.jpg
 
hebu balehe kimawazo wewe!
hizo ni tuhuma za mahakamani na kesi bado haijatolewa hukumu; hukumu ndio itabainisha ukweli na uwongo!
 
Mods hizi ni allegations ambazo zimetolewa kama ushahidi kwenye kesi ambayo inaendelea mahakamani. Kwa sababu hiyo hatuwezi kulijadili hapa kana kwamba ruling ya mahakama imetolewa na kuthibitisha Mh. Lema kutamka maneno hayo. Kwa kuzingatia hilo tunaomba hii thread ifutwe kwa kuwa haina tija kwa mshikamano wa kitaifa zaidi ya kupandikiza udini.
 
Mkuu wangu kaa kweli kuna shahidi kasimama na kusema maneno haya, hakuna kosa kabisa la kunukuu maelezo ya shahidi ktk kesi inayoendelea. Na pale Lema atakapojibu ndipo tunaweza kufuta Ushahidi huu kwa sababu zilizoelezwa. Na achilia mbali ushahidi na hukumu ya mahakama, Chadema wenyewe wanatakiwa kufanya uchunguzi wao wenyewe kuhusiana na maneno haya. Anaweza kutetewa mahakamani lakini ndani ya Chadema wanajua fika kwamba maneno haya aliyasema, hivyo wanamtetea kuondoa hukumu ya kuvuliwa ubunge.

Kitu kimoja tu, tazameni picha hii halafu mnipe jibu..View attachment 47376

Hivi mkuu wewe unajiaminisha ni maneno ya Lema?

Na kama tunaweza kumpa benefit of doubt at least for now kwamba si yake, tuna haraka gani kuyaweka hapa na katika hali ambayo inaonesha kuwa beyond reasonable doubt ni yake??

Bado naamini hii thread ni upotoshaji wa hali ya juu sana!!
 
Na sasa Al-Qaeeda wameshaungana na Al-Shabaab na kauli mbiu yao inasema: "Ugomvi kwetu sherehe!". Sijui itakuaje kwa wale watu wenye Ugonjwa mbaya sana unaojuilikana kama; Islamaphobia! Au ndio huyu Mh. Lema anaanza kuweweseka hata mambo hayajapamba moto!!!
Ondoa upumbavu wako hapa. Unachangia mada ambayo hujaielewa halafu unajiita Great Thinker! ama kweli wewe ni zaidi ya makalio.
 
Hivi mkuu wewe unajiaminisha ni maneno ya Lema?

Na kama tunaweza kumpa benefit of doubt at least for now kwamba si yake, tuna haraka gani kuyaweka hapa na katika hali ambayo inaonesha kuwa beyond reasonable doubt ni yake??

Bado naamini hii thread ni upotoshaji wa hali ya juu sana!!
Mkuu wangu iwe siamini au naamini lakini ndani ya mahakama upande wa kutetezi huwa na nafasi ya kumhoji shahidi (Cross-examination) kuhusiana na ushahidi alotoa mhusika, sasa kama mnayo majibu yanayopingana na ushahidi huo muuweke hapa tuusome. Kinyume cha hapo ikiwa shahidi amepita bila kupingwa na ushahidi huo umechukuliwa, mimi nitamtetea vipi Lema..Kwani kesi nzima inahusu maneno haya tu au?
 
Musa Mkangaa ni shahidi wa kwanza tu bado kuna wengine as long as electronic evidence is admissible ningekuwa na muda nigepeleka tape recorder manake kuna makubwa zaidi ya Alqueda aliyoyasema Mhe. Mbunge dhidi ya yule mama hasa akiwa kwenye Mkutano wa hadhara pale Sanawari, Dara 2, Kaloleni na Kimandolu Lema ana maneno makali sana nyie acheni tu yeye badala ya kujenga dhidi ya CCM aliamua kumvua yule mama nguo moja kwa moja tena yule mwanamke alikuwa jasiri sana manake hata kama ni mwanasiasa ila yale maneno yalikuwa makali mno!
Wewe, ushahidi na vielelezo vyote vinavyokusudiwa kutolewa huorodheshwa kabla ya kesi kuanza, sasa wewe utapelekaje kitepu chako kama hakikuorodheshwa? wacha ujinga!
 
Mkishashindwa siasa mnaanza kulishana maneno. Yote haya yanabomoa na tujue yatagharimu maisha ya watanzania maskini. Tusifanyie mzaha maswala yenye sura ya udini.
 
Tangu hii awamu ya pili ya J M Kikwete nimeshuhudia uchochezi wa hali ya JUU ya UDINI kuliko wakati wowote wa Uongozi wa marais wote waliopita na simsikii hata mara moja rais akionya hilo ila anachochea na yeye, imagine a akihotubia BUNGENI mapema baada ya uchaguzi alisema uchaguzi uliopita uligubikwa na UDINI sana.

Huyu kweli is a president who is supposed to have GREAT VISION and STATURE for his country? na kwa nn useme kulikuwa na udini kwenye uchaguzi BAADA ya uchaguzi, kama aliuona mapema kwa nn HAKUKEMEA MAPEMA? Nitaeleza kwa nn alilisema hilo late, ni kwa sababu baada ya Uchaguzi alishangaa ali lost election, bila kujua alikosea kuanzia kwenye kampeni baada ya kuwaweka ndugu zake/familia kupiga kampeni.

Katika hekaheka za kutangaza matokeo akalifahamu wazi amepoteza saaaaana, ila nec ikawa upande wake, sasa ile kuwafanya wapinzani WANYAMAZE ni kusema kuna udini ili in any case akina Slaa wakiendelea kudai kura zao ionekane ni wadini na kumbuka hata baada ya uchaguzi hali ilivyokuwa.

Na hata STORI yote ya KIKOMBE CHA BABU YOTE hayo ni KUWASAHAULISHA WANANCHI na KU NEUTRALISE mambo yasiharibike zaidi.
Sasa mambo ya udini yanaendelea yuko kimya ameshindwa ku pave the way kwa kitu alicho kiasisi remarkable, aseme nini?

Lakini all in all ni CCM tu wamelost every where iwe socially, politikally, economikally, morally, etc sasa wanaongoza nchi kisanii tu na ili mradi waendelee kuwepo madarakani,
wanatoa matamushii hata ya kuhatarisha nchi ili mradi tu its OK for them. Kumbuka walivyo wakatisha CUF kuchukua nchi 95 na 2000 do you remember Omry Mahitta? sasa leo inawawia vigumu sana kuwaaminisha watz kuwa CDM ni wadini, wanawezaga in some places (mikoa michache) why bcoz wananchi walio wengi wanaeliwa hizi ni siasa zao ccm.

I will cont..........................nex tyme............
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom