Shahidi: Lema alimkashifu Dk. Buriani jukwaani

siko hapa kumtetea Lema kama kweli alifanya makosa hayo anastahili adhabu ya mahakama. Nangoja uthibitisho wa mahakama ndipo nitachangia zaidi mada hii.
 
Chadema bana .. kwa kauli za viongozi wenu kama hizi ... mkiambiwa ni chama cha kanisa ... mnasema propaganda ... inaelekea mkiingia madarakani mtatuletea mambo ya ufaransa kuwazuia dada zetu kuvaa stara..
Ofcourse...Ni wachache sana wanaweza kushindwa ubunge wakasema wameshindwa kwa sababu wananchi hawakuwa kubali hasusani kama unatakiwa kuandika ripoti kwa nini umeshindwa ubunge.Tumeona Mbatia aliposhindwa alikuja na claims lukuki lakini kaishia kufuta kesi, wanachofanya ni "SOP" kama Matilda angeeleza ukweli; ameshindwa kwa sababu wanaichi hawamtaki asingepewa ubalozi.Kama Lema alisema hayo wanayodai kwa nini hawakumrecord ili waweze kumkaanga vizuri kuanzia hapa ukumbini.

Kama kweli Matilda amefungua hii kesi kwa kuamini hata shinda kwa hizo claims za kina Agnes na wala sio "SOP" ni Bad loser!
 
Musa Ikangaa aliulizwa!

Al Kaid ni nini?

Akajb ni mtu yeyote anayefunga kitambaa kichwani!
Akaulizwa!
Hata masista ni Al Akaida?
Akajibu NDIYO.

Naweza kusema ya kwmb haya nimambo ya kuchafuana kisiasa tu!

Hapo hakuna lolote ila ni mafisadi wanajaribu kuwagongesha wanainchi kupitia mambo ya UDINI na ni mbaya sana tena narudia kusema ni mbaya sana.
Yule shaidi nambari moja kwenye kesi ile anatakiwa ahukumiwe kwa kosa la kukubali kvwa mtumwa wa mafisadi!
 
Sijui kama yuko sawa.... alishawahi kukesha akifanya ibada ya ufufuo kwa marehemu mke wa Mwenyekiti wa CCM Arusha akaishia patupu... hawa ndiyo CHADEMA wanaotaka kuongoza nchi na sera za ubaguzi wa kidini...

Huyu jamaa atakuwa na matatizo kukichwa si bure mmmh!
 
M.a.gamba kwa siasa zu kupandikiza chuki kwa wananchi ndo wenyewe.
Kipindi kile, ukifika muda wa uchaguzi, IGP Mahita alikuwa anajitokeza mara kwa mara kwenye vyombo vya habari, akiwa ameshika MAVISU makubwa, akidai wameyakamata kutoka CUF, lkn hatukuwai kusikia kesi hata siku 1.
Nyie ccm mtakuwa mnawashwa tu, hamna jipya tena. Kipindi hiki ni tofauti na 1995-2005.
 
Atakuwa amepatikana na hatia ya udini kama mahakama itamkuta na kosa. lakini kwenye siasa tunahitaji subira ya mahakama kutupa ukweli baada ya uchunguzi
thread kama hizi ndipo utawajua wenye kupenda siasa za udini, badala ya kuona tuhuma hizi ni za Lema na kama atapatikana na kosa atawajibika kwa ubaguzi wake wao watalikuza na kulifanya ni kosa la dini moja kuishambulia dini nyingine.
Aliyetoa ushahidi dhidi ya Godbless Lema ni Agnes Mollel wote ni wakristo. Hapa hakuna udini ni uzalendo kwa wakristo kupambana mahakamani kutetea haki ya mwislamu Batilda Buriani.

Ndio kusema wadini msikuze jambo hili halijakaa kidini.
Kesi haijafikia mwisho tuwe na subira hakuna haja ya kushambuliana kwa imani zetu.
siko hapa kumtetea Lema kama kweli alifanya makosa hayo anastahili adhabu ya mahakama. Nangoja uthibitisho wa mahakama ndipo nitachangia zaidi mada hii.
Mkuu wala usipoteze muda wako kusubiri mahakama wataamua nini, hata kama mahakama watatengua matokeo base kwenye hizi claims za kina Musa na Agnes watakuwa wajikaanga kwa sababu kuna kesi nyingi zimetupiliwa mbali miaka ya nyuma kutokan na claims kama hizi.

Tokea enzi ya chama kimoja kila baada ya uchaguzi tumekuwa tunasikia mambo kama haya na cha kushangaza hakuna aliyejifunza jipya; kununua ki recorder hata cha mchina ili kiweze kumkaanga kwenye court of public opinion.

Haya madai ni kama mengine yaliyoshatolewa na yatatupiliwa mbali na Matilda anajua hilo
 
Musa Mkangaa ni shahidi wa kwanza tu bado kuna wengine as long as electronic evidence is admissible ningekuwa na muda nigepeleka tape recorder manake kuna makubwa zaidi ya Alqueda aliyoyasema Mhe. Mbunge dhidi ya yule mama hasa akiwa kwenye Mkutano wa hadhara pale Sanawari, Dara 2, Kaloleni na Kimandolu Lema ana maneno makali sana nyie acheni tu yeye badala ya kujenga dhidi ya CCM aliamua kumvua yule mama nguo moja kwa moja tena yule mwanamke alikuwa jasiri sana manake hata kama ni mwanasiasa ila yale maneno yalikuwa makali mno!
 
Certainly, most alkaeda members wanavaa hijabu nk, at the same time siyo wavaa hijabu wote ni alkaeda, so sioni tatizo lolote hapa.
 
Musa Mkangaa ni shahidi wa kwanza tu bado kuna wengine as long as electronic evidence is admissible ningekuwa na muda nigepeleka tape recorder manake kuna makubwa zaidi ya Alqueda aliyoyasema Mhe. Mbunge dhidi ya yule mama hasa akiwa kwenye Mkutano wa hadhara pale Sanawari, Dara 2, Kaloleni na Kimandolu Lema ana maneno makali sana nyie acheni tu yeye badala ya kujenga dhidi ya CCM aliamua kumvua yule mama nguo moja kwa moja tena yule mwanamke alikuwa jasiri sana manake hata kama ni mwanasiasa ila yale maneno yalikuwa makali mno!

wapi wewe,mlizidiwa kila idara afu useme mama kavuliwa nguo,wewe zee kizazi chenu kilishindwa hebu mtuache.ulivyochangia angalia mtoa mada hata jina lake tu ana chuki binafsi
 
Duh!Kama kweli Lema alisema haya kwa moyo msafi ajiuzulu,ndiyo siasa makini na demokrasia ya uwazi inavyotaka!
Elimu kwa kweli inaongeza upeo kwa kiasi kikubwa sana,kama ni kweli alifanya jambo hilo basi elimu yake huenda ikawa ni tatizo.Maana kwenye nchi yakisecular mtu mwenye elimu ya kawaida tu hawezi kutoa kauli ya muundo huo!!
 
na huyo Musa Ikanga ni nani na ana mahusiano gani na Lema wakati wa kampeni au baada ya kampeni

Huyu Musa Mkanga ni kada wa CCM - alishawahi kuwa Diwani kata ya Sombetini - Arusha akapata kashfa ya kuuza kiwanja cha Kilombero Sokoni kwa waarabu fulani yeye pamoja na wenzake wa CCM. Hiyo kashfa ilipelekea kufukuzwa CCM. Baadae nilisikia alirudishwa kundini. He is very ambitious on money. Yeye ni shaihidi kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Mh. Lema.
 
Aliyetoa ushahidi dhidi ya Godbless Lema ni Agnes Mollel wote ni wakristo. Hapa hakuna udini ni uzalendo kwa wakristo kupambana mahakamani kutetea haki ya mwislamu Batilda Buriani.

Ndio kusema wadini msikuze jambo hili halijakaa kidini.

Kaka, nimekusoma kwenye thread yako unamjibu Mkandara, kuhusu Dk Slaa, unasema kuna Mkiristu mwingine anaweza kuwa mdini kumshambulia mkiristu mwenzake, saizi tena unasema mkiristu kwa mkiristu hapo hakuna udini, wewe jamaa mnafiki sana, Paw huyu nae vipi kataja dini
 
Nimetambua kumbe wenzangu humu vihiyo,mtu amepeleka ushahidi kortini wa umbea eti great thinkers mnaujadili.hata mleta hii mada yaonekana amelewa buku mbili za chatanda

Mi nadhani wewe ungeanza kuwa kihiyo ndo uendelee kutuhumu wengine manake umeanza kuingilia kazi ya Mahakama the court of law is the one vested with power of
either determining the credibility of witness and the
admissibilty of the evidence adduced.

You should therefore put aside your hostility behavour while discussing this matter pamoja na ushabiki wewe huwezi kuwaita watu humu wambea ili hali huna locus ya kuwaita hivyo wote tunachanganya mawazo humu hakuna wa kupima yupi mkweli ama yupi mwongo humu jamvini tena hasa katika hili ambalo liko mahakamani.

Halafu nadhani hata siasa zenyewe bado mweupe manake unasema eti watu wamepewa 200 na Chatanda na Chatanda huyu huyu vijana wa Ccm walikuwa wanampinga wakimtuhumu kusababisha Dr. Batilda aanguke manake hakuwa upande wake sasa leo Chatanda anatoa mia 200 kwa minajili ipi???

Na mwisho si kila alipaye bili ya maji anatumia maji bali wengine hulipa kama malipo ya kawaida ya mita......... Take a note and try to act wisely
 
Duh!Kama kweli Lema alisema haya kwa moyo msafi ajiuzulu,ndiyo siasa makini na demokrasia ya uwazi inavyotaka!
Elimu kwa kweli inaongeza upeo kwa kiasi kikubwa sana,kama ni kweli alifanya jambo hilo basi elimu yake huenda ikawa ni tatizo.Maana kwenye nchi yakisecular mtu mwenye elimu ya kawaida tu hawezi kutoa kauli ya muundo huo!!

ITEGAMATWI ndugu yangu hakuna haja ya kumsingizia mtu kwa jambo lolote na binafsi japo najua Mahakama ndiyo yenye jukumu la kuamua juu ya hili ila nisingependa watengue Ubunge wa huyo bwana si kwa sababu ya kuogopwa bali najua ni gharama kwa Taifa hili kwa uchaguzi mdogo ila ukweli Lema anaufahamu na wakaazi wa Arusha wanajua vyema maneno aliyoyatamka Lema ilifikia mahali yule mama alipokuwa Philips alisema hivi namnukuu "wapo wanaosema nina mimba ya Lowassa ila Mwenyezi Mungu awasamehe manake japo najua kubeba mimba si dhambi ila mimba yenyewe sina na siitazamii lakini pili watu hao watakuwa hawamtendei haki Lowassa watu wajenge hoja na si kuchafua wenzio, ila najua ni utoto na kutokukomaa kisiasa" mwisho wa kunukuu kwa hiyo bana hakuna anayesingiziwa ila ukweli uwekwe wazi na usipotoshwe hivi hivi tu'
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom