Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,504
- 91,095
Anasafiri na kiporo?Mtu unakula 15k ukishuka tu pale kwenye gari.
Hiyo hela si unaweza kununua kuku wako, ndizi mzuzu, chipsi, viazi au hata mihogo. Juice yako ya matunda umeihifadhi kwa chupa itunzayo baridi.
Njiani unakula saaafi kabisa.
Nakumbuka ant yangu alikua anasoma Mwanza, enzi hizo tupo kusini huko. Ilikua kama kesho ana safari basi leo bibi ataanza kumpikia kuku, chipsi, maandazi(vile vidogo vitamu kweli)
Safarini anajinoma tu, sanasana yeye ni kununua juice/soda.
