Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

Duuh bora ununue biskuti na soda yako..dar sio mbali mpk ule mi wali au michips mchemsho
Tuna ushamba wa safari.
Kila kiuzwacho tunataka tule.
Apple, korosho, machungwa, karanga, zabibu na tukifika hotelini tunataka chips-kuku, tukifika Chalinze korosho yani mtu anafika ugenini aki-ingia chooni nyumba nzima inanuka, air freshener haifanyi kazi!
 
kama safari ndefu mimi huwa nabeba msosi,mazaa anakaanga mihogo na nyama natoboa.kama safari fupi navumilia ni maji tu.
hebu imagine, mabasi yanasimama pale morogoro msamvu sio chini ya 10 kwa wakati mmoja hadi watu huwa wanachanganya mabasi, yakiondoka mengine yamefika asubuhi hadi jioni, pako overcrowded mno, na pamebanana na vyoo hapohapo, vyakula havipo mbali na choo, nnzi akitoka chooni hata hahangaiki kwenda mbali kugusa msosi. afu mtu chakula cha buku mia tano anakuuzia 8000. soda pale ni 2000 na sidhani kama wanatoa kodi, manake huwa hawatoi risiti ya EFD unakula tu kwa coupon yao ile, kweli mtu aniuzie soda ya 1000 kwa 2000 na asinipe risidi ya efd? serikali ichunguze pale ama la na TRA nao wana mgao wao pale pamoja na madereva. TRA Mpo wapi? hela kiasi gani inaingizwa pale kichafuchafu tu au na yule mmemkadiria kama ni mama ntilie? analipa kodi? anatoa risiti manake ile biashara yake sio ndogo, ile inaingiza si chini ya 400m kwa mwaka anastahili atoe risiti kama kwenye migahawa mikubwa tu.

kuna siku nilienda Dodoma pale kati kuna mgahawa wa Chef Asil na Mwambao, pana jaa na pasafi sana, wanakuletea risiti ya EFD kabisa tena kwa chakula hata kama ni cha 6000 au 7000. hapo morogoro tunatozwa 8000 hadi 10,000 na hakuna EFD receipt.
 
Hapo mwambao ni noma kwa misosi yake aisee...panajaa mnooo...ni kweli risiti ni efd...
 
hawatoi, unalipa kwa coupon yao tu inayokutambulisha aina ya chakula, wali nyama pale unapigwa 7000 au 8000 na hakuna risiti, wakati nikienda migahawa bora mjini chakula cha bei hiyo unapata risiti ya efd. TRA mnajulikana mkitaka kumkadiria mtu mnaangalia kama kwa mwaka ataingiza si chini ya 100m au 400 m kama sikosei, lazima atumie efd. sasa tuambieni, huyo mwizi wa pesa hapo mgahawa wa morogoro kwa siku wanaingiza shs. ngapi, hasa huyo mwenye bufee, wanauza tangu asubuhi hadi jioni, utakuta wamekadiriwa kuwa ni machinga, ila kwa siku hapo wanaingiza milioninyingi tu, kwa wiki, kwa mwezi, kwa mwaka hawafikishi 100m hao? watoe risiti za efd, pia waamrishwe kupaweka mazingira rafiki na masafi ama la pafungwe.
 
Back
Top Bottom