Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
mm nakulaga KoroshoSili njian hata iweje. Ni mahind tu na karanga
Nikifika ndio naingia sehem nakula
mm nakulaga KoroshoSili njian hata iweje. Ni mahind tu na karanga
Nikifika ndio naingia sehem nakula
Hapana, ni komandoo wa JWTZ Jesho Bora kabisa Afrika.Mme wako ni huyo mwamba hapo kwenye dp?
Avata ya Komando wa JWTZ hiyo, huangaliagi hata maonyesho ya siku ya uhuru?




Acha kabisa, ubwabwa kambale?Padle your own canoe, beba donut zako 2 weka kwa mfuko. Nunua soda/juice njiani huko ule inatosha.
Tatizo Watz, mnaendekeza wali, ugali, ndizi nyama........yaani mbongo bila kula ubwabwa hajala bado.
Mbona huyo kitambo anajulikana kuwa ni "ke"!!?duh, kwahiyo na wewe jaji mfawidhi tena mwenya picha ya kuiume una mume. aisee jf imeingiliwa mno mno.
Kuna siku niko kwenye dar express tukapelekwa pale mombo. Binafsi safarini nakula vyakula vikavu tu (nyama choma, chips au ndizi za kukaanga) nje ya hapo ni bites tu.Duuh bora ununue biskuti na soda yako..dar sio mbali mpk ule mi wali au michips mchemsho
Nafikir ni wakati muafaka wakae pembeni na kuachia watoto waendeshe biashara kama mabvyo Azim Dewji kamuachia Mohamed Dewji
Eti ubishooAcha tabia za kula hovyo, Dar Dodoma eti unakula njiani mwanaume mzima! Ubidhoo unakusumbua ndiyo maana mnalishwa vibudu visivyoivishwa vizuri, nunua ndizimbivu mbili au ndizi choma na soda au juisi, usiguse mishikaki hata ukipewa bure.


, kweli this is JfSasa Dom to Dar unakula njiani?Dom-Dar mkuu
Haya, tuma salamu kwa watu watatuAcha uroho hakuna kuku hapo zaidi ya vibudu.
Huu ni ushuzi mzito kabisa. Yani anakuchinjia kuku kwa buku kisha anabaki na mazaga?mimi wale huwa nawafananisha na wachinja kuku wa sokoni, anakulipisha 1000 anakuchinjia na kunyonyoa manyoya, ila kichwa na miguu hakupi, ukifanya mchezo hata filigisi anaweza kuchukua, jioni vimejaa vindoo anauza kwa mamantilie kwa pesa ndefu tu, vya kukaangia na pilipili then wanauza kwa wanywa chibuku na mnazi huko uswahilini.
Kilimanjaro ana hotel yake mbona haina maaju yoyote zaidi ya bei kubwa na msosi uliolala, pili kuhusu mabasi ya klm itakuwa ulipanda zamani weweHawezi kusimama kwa mshindani wake wa Biashara.
Ila waluguru na Wagogo sasa muiteni Mzee Mremi au Sawaya wa Kilimanjaro truck hiyo barabara atawawekea hoteli na mabasi ya kistaarabu.
Of Course , way back 2009 ndio mara ya mwisho kupanda public transport.Kilimanjaro ana hotel yake mbona haina maaju yoyote zaidi ya bei kubwa na msosi uliolala, pili kuhusu mabasi ya klm itakuwa ulipanda zamani wewe
Sawa TajiriTafuta hela fukara wewe
AiseeeBinafsi namwambia mume wangu kila siku aheshimu sana madaktari.
Intake gani pale 92?Hapana, ni komandoo wa JWTZ Jesho Bora kabisa Afrika.
Ulishawahi kupanda ABC upper class?Mnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Unawezaje kushauri kitu ambacho hujatumia more than 10yrs?Of Course , way back 2009 ndio mara ya mwisho kupanda public transport.