Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

kuna mgahawa mmoja wa ajabu upo pale morogoro msamvu aisee, chakula kichafu, wanauza chakula cha 1500 kwa shs.8000, hata chakula cha mamantilie ni kuzuri afu wana customer care mbovu, ajabu sana. bora hata pale pa zamani.
Pale ni pahovyo sana, wali wa 2000 pale wanauza 7,000 mpaka 8,000 na wale kuku wao warefu kama twiga.
 
kuna mgahawa mmoja wa ajabu upo pale morogoro msamvu aisee, chakula kichafu, wanauza chakula cha 1500 kwa shs.8000, hata chakula cha mamantilie ni kuzuri afu wana customer care mbovu, ajabu sana. bora hata pale pa zamani.
Nakazia.. nimeshakula pale last year niliumwa tumbo ambalo sijawahi kuumwa hata lile la uchungu wa leba sio vile mweeeh... dereva na konda wake wakataka kunishushia chalinze ili niangalie hali yangu kwa kwenda hopitali nikawaambia nitajikaza tu ila mambo yalizidi kuwa Mabaya zaidi badala ya kufika na Gari Shekilango nilimtafuta rafiki yangu pale kiluvya nikaenda kwake ili wanipeleke hospitali...chaaah kale kamgahawa pale nakaheshimu sana Kampuni kubwa inakula sehemu ya ajabu mnoo bora hata wapeleke abiria pale Cate htl
 
Dodoma - Dar unakula chakula? Kilometres 450!!

Huko ni kuendekeza ulaji tu, ndiyo maana Shabiby anawapeleka anapotaka
Dodoma umeondoka saa sita, muda wa chakula cha mchana unafika upo morogoro, mbona rahisi tu? halafu, kama wewe huli, usifikiri na wenzako hawali, maisha yako sio ya wengine, unaposafiri sio kwamba unatakiwa ujiteseee, usileeee ili uonekane umesafiri, unaweza kuinjoy mambo mbalimbali kama vile misosi misafi pia. nyie watu mmekuja mjini juzi ninyi mnasumbua sana.
 
𝑯𝒂𝒑𝒐 𝑪𝒂𝒕𝒆 𝒉𝒐𝒕𝒆𝒍 𝒏 𝒎𝒐𝒓𝒐𝒈𝒐𝒓𝒐 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒉𝒖𝒅𝒖𝒎𝒂 𝒏𝒛𝒖𝒓𝒊 𝒛𝒊𝒏𝒂𝒛𝒐𝒆𝒏𝒅𝒂𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒃𝒆𝒊
𝑪𝒉𝒐𝒐 𝒌𝒊𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂 𝒏𝒂 𝒌𝒊𝒔𝒂𝒇𝒊, 𝑴𝒂𝒃𝒂𝒔 𝒚𝒂 𝑨𝑩𝑪 𝒎𝒂𝒓𝒂 𝒏𝒚𝒊𝒏𝒈𝒊 𝒉𝒖𝒔𝒊𝒎𝒂𝒎𝒂 𝒉𝒂𝒑𝒐 𝒌𝒘𝒂 𝒎𝒖𝒅𝒂 𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒕𝒐𝒔𝒉𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒖𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒎𝒂𝒍𝒊𝒛𝒂 𝒂𝒌𝒊𝒘𝒂 𝒂𝒌𝒊𝒘𝒂 𝒂𝒎𝒆𝒋𝒊𝒂𝒄𝒉𝒊𝒂
 
Mtu unakula 15k ukishuka tu pale kwenye gari.

Hiyo hela si unaweza kununua kuku wako, ndizi mzuzu, chipsi, viazi au hata mihogo. Juice yako ya matunda umeihifadhi kwa chupa itunzayo baridi.
Njiani unakula saaafi kabisa.

Nakumbuka ant yangu alikua anasoma Mwanza, enzi hizo tupo kusini huko. Ilikua kama kesho ana safari basi leo bibi ataanza kumpikia kuku, chipsi, maandazi(vile vidogo vitamu kweli)

Safarini anajinoma tu, sanasana yeye ni kununua juice/soda.
 
kuna mgahawa mmoja wa ajabu upo pale morogoro msamvu aisee, chakula kichafu, wanauza chakula cha 1500 kwa shs.8000, hata chakula cha mamantilie ni kuzuri afu wana customer care mbovu, ajabu sana. bora hata pale pa zamani.
Walishawahi nidhulumu buku 5 yangu pale kwa kuniuzia wali na maharage yaliyochacha, nilipowarudishia wakakataa kurudisha hela na hapo dereva anapiga piga resi basi liondoke.. nikalazimika kuondoka huku sina msosi na buku 5 yangu kaing'ang'ania yule demu nusu mwarabu.. nilitamani sana ningekua na private car ile day, wali ningeuweka kwenye maharage
 
janabi si alidakwa anapiga chapati mbili na soda yule, huyo ni kichekesho kama walivyo kina chalamila n.k, akisema kitu jua ni liTiss fulani limetumwa kuvuruga akili za watu mpoteze muda kumjadili wakati maccm wanafyonza pesa zenu.
Na kipindi cha Krismasa akagawia wafanyakazi wa MNH sukari na Ngano.

Utapeli mtupu
 
Dodoma - Dar unakula chakula? Kilometres 450!!

Huko ni kuendekeza ulaji tu, ndiyo maana Shabiby anawapeleka anapotaka
Km450 bus linatumia muda gani? Labda mtu kaamka saa 10 asubuhi ili awahi bus la saa 12 na hajanywa chai. Dar-Moro tu bus litachukua masaa 5-6, mpaka ufike Dom si chini ya masaa 9. Muhimu tu wawe makini na aina ya chakula.
 
Back
Top Bottom