Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

Ni afadhali wapaki sehemu ya bei ya juu ila huduma ziwe zinaendana na wanachotoa. Utatumia hela nyingi ila utakula vizuri. Ila pia mabarabarani tunaposafiri chakula ni kati ya Sh. 5,000 hadi 10,000 sasa haya ndio mambo ya kulalamika kwamba bei ni juu kweli???

Naona bundles zimekuwa bei rahisi sana hadi vijana wa shule wanatulalamikia kwa mada potoshi. Tulalamikie huduma mbovu ila sio kuogopa kupelekwa sehemu za bei kubwa! Sasa mnataka kutuua kwa kipindupindu kwa mama ntulie kwa ugali na wali wa elfu mbili??? Yaani kabisa magari yakapaki kwa vibanda vya kuuza chakula cha elfu mbili na elfu tatu!!? Tutafuteni hela ndugu zangu.
Jaribu kuficha upumbavu wako kidogo mkuu, eti vijana wa shule. Anyways, it will be a disgrace to my honour kuanza kuargue na member mwenye miaka mitatu hapa Jf. Ungeteneza hoja yako sio kuleta kebehi
 
Pesa yako, kununua ni hiari yako.
Kwenye hizi safari, kuwa na maji ya kunywa na paketi moja ya biscuti... basi.

Vyakula vya kununua, vinavyo andaliwa kwa ajili ya watu wengi si salama.
 
Jaribu kuficha upumbavu wako kidogo mkuu, eti vijana wa shule. Anyways, it will be a disgrace to my honour kuanza kuargue na member mwenye miaka mitatu hapa Jf. Ungeteneza hoja yako sio kuleta kebehi
Sehemu wanapopark sio bei kubwa bali ni sehemu ambayo ina mazingira machafu and thereisnt value for money. Sasa unaposema ni sehemu za ghali ni wapi? Be specific.

Mimi ninamshauri Mzee Shabiby atengeneze migahawa yake. Sasa mkuu wewe unaweza kula migahawa ya kwenye airports kweli wewe? Unasafiri huna buku ten ya kula?
 
Jaribu kuficha upumbavu wako kidogo mkuu, eti vijana wa shule. Anyways, it will be a disgrace to my honour kuanza kuargue na member mwenye miaka mitatu hapa Jf. Ungeteneza hoja yako sio kuleta kebehi
Una hoja kwamba wanaegesha maeneo yenye kuuza vyakula vya hovyo visivyoendana na bei pamoja na mazingira machafu.

Ila huna hoja, kuhusu vyakula kuwa ghali 5,000 hadi 10,000 ni ghali? Unataka ule kwa 2000 au 3000???
 
Sehemu wanapopark sio bei kubwa bali ni sehemu ambayo ina mazingira machafu and thereisnt value for money. Sasa unaposema ni sehemu za ghali ni wapi? Be specific.

Mimi ninamshauri Mzee Shabiby atengeneze migahawa yake. Sasa mkuu wewe unaweza kula migahawa ya kwenye airports kweli wewe? Unasafiri huna buku ten ya kula?
sijakuelewa unaposema sehemu wanapopaki sio bei kubwa, hadhi ya ubwabwa au pilau ya 1500 unapouziwa 7000 au 8000 hiyo sio bei kubwa? binafsi nilinunua pale, wamejaza mamichuzi ya ajabu, nyama vipande viwili sikula kabisa kwanza niliogopa kuumwa. uchafu hapo sawa, rundo la watu wanapiga katikati ya vyakula wanaenda chooni, chooni kuchafu, choo kidogo watu rundo wanarudi na mimaji ya choo wanakanyaga karibu na chakula, mainzi yapo, pachafu sana pale tuwe wakweli. na ni padogo hata watu kwa watu kuambukizana magonjwa ni rahisi sana hata magonjwa ya hewa, mabasi ya mikoa kadhaa kukutana watu mrundikano kama ule lazima magonjwa yasambae mikoani haraka sana. ila watu wa morogoro kawaida yao usafi sio hadhi yao. shabibi atupeleke hata kwenye ule mgahawa wa mikese au pale sijui wanaita wapi wanachoma sana nyama. mbona pazuri tu. au atafute pengine, ila pale ni pachafu.
 
Kwanza nikila njiani huwa najisikia ovyo..mimi ni bites na kinywaji tu safari inakua burudani
 
Hatimaye sehemu ya abiria kula chakula ilokuwa pembeni ya barabara ya kuelekea Iringa kutokea Msavu imefungwa kwa muda.
Changamoto bado - sehemu za kula zipo kwenye vituo vya mafuta, sehemu ni finyu.

Mheshimiwa - ikikupendeza tafta eneo maalumu ukodi/ujenge kwa ajili ya abiria wanaosafiri kwa magari ya Shabiby na washirika wengine wa usafirishaji
 
Back
Top Bottom