Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,557
- 44,328
Kwani humo njiani huwa mnakula fresh, si ni viporo vile, vingine vina hadi siku 3.Anasafiri na kiporo?
Kwani humo njiani huwa mnakula fresh, si ni viporo vile, vingine vina hadi siku 3.Anasafiri na kiporo?
Mimi nanunua crips tu na soda ya mirinda nimemaliza.Sili njian hata iweje. Ni mahind tu na karanga
Nikifika ndio naingia sehem nakula
Mnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?


Acha kumuambudu mwanadamu mwenzako
Janabi anaweza zuiai mtu asipate type 1 diabetic?
Meza au tema, mimi nimekupa tu.
Ukizidiwa kula mshikaki na ndizi za kuchoma,vyakula vingine utaendesha njia nzima.Duuh bora ununue biskuti na soda yako..dar sio mbali mpk ule mi wali au michips mchemsho
Ni akili yako ina matope haiwezi ku decode properlysasa mbona bado mshamba aisee na umekaa mjini, tukusaidieje sasa?
Mnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Je mtu akiwa na mtoto, hasa mwanaume, unamshaurije?Safari ni ya masaa mangapi mkuu?
Unaweza ukajibebea biskuti na soda au juisi kidogo kwa safari za ndani...
Je mtu akiwa na mtoto, hasa mwanaume, unamshaurije?
Upo sahihi alichoandika mleta mada ni tofauti na uhalisia.kuna mgahawa mmoja wa ajabu upo pale morogoro msamvu aisee, chakula kichafu, wanauza chakula cha 1500 kwa shs.8000, hata chakula cha mamantilie ni kuzuri afu wana customer care mbovu, ajabu sana. bora hata pale pa zamani.


kaka ukiwa na hela huwezi kuchaguliwa cha kutumia na watu kama wewe, ila kama ndio hivyo tena ndio utakuwa unawaza ukae njaa hata kama inauma.Safari ni ya masaa mangapi mkuu?
Unaweza ukajibebea biskuti na soda au juisi kidogo kwa safari za ndani...
Upo sahihi alichoandika mleta mada ni tofauti na uhalisia.
Shabiby ni gari yenye standard fulani hivi ya juu ila pale wanaposimama Morogoro karibu na Midland Hotel ni pa kichovu sana. Sina uhakika kama Management ya Shabiby huwa wanasimamia kila kitu ninahisi hili wamewaachia madereva na mautingo ambao wao hawawezi kujali sana.
Pale vyoo ni vibovu, vichafu na vinanuka. Chakula ni kibaya na bei ya ghali! Hao wanaouza ukiwasemesha mara mbili hawakujibu na wanabetua midomo na wengi wao ni mabinti ambao hawajui a wala b. Sasa njoo kwenye bei ya huo ubwabwa wa kiporo unaouziwa na uliopoa![]()