Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

I think ndio wametuleta hapa Leo. Kwa nje si kuna kina mama kibao wanauza ndizi na machungwa? Imebidi ninunue tu ndizi kisukari za buku mbili na maji ya kunywa. Imagine ka robo kuku elfu sita, kuku mwenyewe si kuku sijui njiwa
pale ndo wanapaita stendi ya dodoma nahis ndo hapo mabas meng ya dodom yanalisha hapo
 
Kwa lugha yoyote itakayosemwa, pale Msamvu anapoingia Shabiby ili abiria wale msosi ni pachafu sana sana !!

Lakini uzuri wa mabasi yao hawayapaki pafyumu feki za kichina china za buku 2 tofauti na mabasi mengine.

Ukisafiri na mabasi mengine lazima ukanywe dawa ukifika kwa headache na kizunguzungu kwa hiyo mipafyumu uchwara na feki.

Kwa hili la marashi uchwara ndani ya mabasi, SHABIBY HONGERENI KWA KUTOKUFUATA MKUMBO.
 
Hivi kwani kisukari lazima mashine ilale?
Lazma, sasa damu itapandaje maana mashine inasimama kutokana na mishipa kujaa damu.
Unafkir kwanini watu wa kisukari miguu ama vidole vinaoza na kukatwa, si kwasababu damu haizunguki kufika huko?
Kuwa makini , msidharau ushauri wa daktari.
Binafsi namwambia mume wangu kila siku aheshimu sana madaktari.
 
duh, kwahiyo na wewe jaji mfawidhi tena mwenya picha ya kuiume una mume. aisee jf imeingiliwa mno mno.
 
Prof Janabi akiona mnalalamika kukaa masaa 8 bila kula anafyonza tuu huko...
Ila watu wana tabia ya kula kula hovyo. Mimi hukaa dukani kuanzia asubuhi mpaka saa 8 sijala kitu na wala sioni. Mwanzo mwanzo nilipofungua hapa wauza vyakula walikua hawanielewi, leo nimekula kesho sili wanahisi umeagiza kwingine. Au nikila asubuhi mchana sili, sasa wamenizoea. Wanajua wanikipa chakula asubuhi hawaji kunisumbua mchana. Na atakayekuja mchana nikaagiza, basi kesho haji maana anajua sitakula. Ratiba ya chakula haieleweki kabisa mi naona poa tu na wala sihangaiki.
Sasa Dar-Dom hapo ndio mnashindwa kuvumilia?
 
Lazma, sasa damu itapandaje maana mashine inasimama kutokana na mishipa kujaa damu.
Unafkir kwanini watu wa kisukari miguu ama vidole vinaoza na kukatwa, si kwasababu damu haizunguki kufika huko?
Kuwa makini , msidharau ushauri wa daktari.
Binafsi namwambia mume wangu kila siku aheshimu sana madaktari.
Sio lazima hyo condition impate mgonjwa wa kisukari...hasa hyo ya miguu kuoza hyo condition humfikia mgonjwa ambaye sukari yake imeshindwa kuwa tolerance..yani pale mgonjwa dawa zimeshindwa kucontrol sukari yake..usiwatishe wenye sukari ambao bado wana afya zao cha msingi wazingatie lishe nzuri na mazoezi.....
Na ushauri wa madaktari ni muhimu sana wauzingatie...
 
Ila watu wana tabia ya kula kula hovyo. Mimi hukaa dukani kuanzia asubuhi mpaka saa 8 sijala kitu na wala sioni. Mwanzo mwanzo nilipofungua hapa wauza vyakula walikua hawanielewi, leo nimekula kesho sili wanahisi umeagiza kwingine. Au nikila asubuhi mchana sili, sasa wamenizoea. Wanajua wanikipa chakula asubuhi hawaji kunisumbua mchana. Na atakayekuja mchana nikaagiza, basi kesho haji maana anajua sitakula. Ratiba ya chakula haieleweki kabisa mi naona poa tu na wala sihangaiki.
Sasa Dar-Dom hapo ndio mnashindwa kuvumilia?
Yani basi akishindwa sana kuna vitu vikavu mfano karanga,,korosho,,au biskuti ni nzuri kwenye safari kuliko vya kupikwa pikwa ...
 
Sio lazima hyo condition impate mgonjwa wa kisukari...hasa hyo ya miguu kuoza hyo condition humfikia mgonjwa ambaye sukari yake imeshindwa kuwa tolerance..yani pale mgonjwa dawa zimeshindwa kucontrol sukari yake..usiwatishe wenye sukari ambao bado wana afya zao cha msingi wazingatie lishe nzuri na mazoezi.....
Na ushauri wa madaktari ni muhimu sana wauzingatie...
stage za awali inalegea , na hawezi kuingiza bila usaidizi, ikipita mwaka miaka 2 ngoma inalala.
Subiri madaktari waje hapa.
 
Yani basi akishindwa sana kuna vitu vikavu mfano karanga,,korosho,,au biskuti ni nzuri kwenye safari kuliko vya kupikwa pikwa ...
Padle your own canoe, beba donut zako 2 weka kwa mfuko. Nunua soda/juice njiani huko ule inatosha.
Tatizo Watz, mnaendekeza wali, ugali, ndizi nyama........yaani mbongo bila kula ubwabwa hajala bado.
 
stage za awali inalegea , na hawezi kuingiza bila usaidizi, ikipita mwaka miaka 2 ngoma inalala.
Subiri madaktari waje hapa.
Huyo anakua hivyo ameshindwa kukontrol sukari yake..na huwapata wazee ambao hawana mazoezi ya kutosha wale wanene kupita kiasi..wenye magonjwa mengine ya muda mrefu...
Any way kikubwa watu wacontrol ulaji wao..
 
Nakunywa chai home, menu inayofuata ni gari ikisimama. Nakula chakula, sio chips kuku/nyama. Then maji yangu hadi nifike safari yangu.

Kuna pipo zikisafiri ni kula tu njia nzima, ni kama wameweka fungu la siku ya safari.
 
You are brilliant.
 
Back
Top Bottom