Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

Waione hii comment
Niko safrin nafungua Uzi

Huo msozi shilingi elf 9k

Dar. .. Arusha

Bus la mwiguluView attachment 2911079View attachment 2911078View attachment 2911080View attachment 2911081View attachment 2911082View attachment 2911083
IMG_20230908_123121_1.jpg
 
Mremi hamna kitu tena. Washindani wamemdhoofisha sana. Hata hoteli yake ya Korogwe imechoka na supermarket yake pale Himo imechoka. Mabasi yanatoka Dar kwenda kaskazini yakiwa yamejaa robo tu. Hadi huruma. Esther wamepeleka ushindani mmoja wa kufa mtu kule. Hata KLM kichwa kinamuuma.
Hawezi kusimama kwa mshindani wake wa Biashara.
Ila waluguru na Wagogo sasa muiteni Mzee Mremi au Sawaya wa Kilimanjaro truck hiyo barabara atawawekea hoteli na mabasi ya kistaarabu.
 
Mnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Acha tabia za kula hovyo, Dar Dodoma eti unakula njiani mwanaume mzima! Ubidhoo unakusumbua ndiyo maana mnalishwa vibudu visivyoivishwa vizuri, nunua ndizimbivu mbili au ndizi choma na soda au juisi, usiguse mishikaki hata ukipewa bure.
 
Mremi hamna kitu tena. Washindani wamemdhoofisha sana. Hata hoteli yake ya Korogwe imechoka na supermarket yake pale Himo imechoka. Mabasi yanatoka Dar kwenda kaskazini yakiwa yamejaa robo tu. Hadi huruma. Esther wamepeleka ushindani mmoja wa kufa mtu kule. Hata KLM kichwa kinamuuma.
Nafikir ni wakati muafaka wakae pembeni na kuachia watoto waendeshe biashara kama mabvyo Azim Dewji kamuachia Mohamed Dewji
 
I think ndio wametuleta hapa Leo. Kwa nje si kuna kina mama kibao wanauza ndizi na machungwa? Imebidi ninunue tu ndizi kisukari za buku mbili na maji ya kunywa. Imagine ka robo kuku elfu sita, kuku mwenyewe si kuku sijui njiwa
Acha uroho hakuna kuku hapo zaidi ya vibudu.
 
Mnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Kwa taarifa yako ndiyo zama salama zaidi kuliko hizi za sasa, nilisafiri na Masister watatu wa RC walikuwa na brown breads zao na juice na youghat zao wakasema vyakula vya kwenye restaurent za wasafiri haviko salama kabisa, walijifunza kuna wenzao yaliwakuta yasiyosimulika
 
Lazma, sasa damu itapandaje maana mashine inasimama kutokana na mishipa kujaa damu.
Unafkir kwanini watu wa kisukari miguu ama vidole vinaoza na kukatwa, si kwasababu damu haizunguki kufika huko?
Kuwa makini , msidharau ushauri wa daktari.
Binafsi namwambia mume wangu kila siku aheshimu sana madaktari.
Mme wako ni huyo mwamba hapo kwenye dp?
 
Sio lazima hyo condition impate mgonjwa wa kisukari...hasa hyo ya miguu kuoza hyo condition humfikia mgonjwa ambaye sukari yake imeshindwa kuwa tolerance..yani pale mgonjwa dawa zimeshindwa kucontrol sukari yake..usiwatishe wenye sukari ambao bado wana afya zao cha msingi wazingatie lishe nzuri na mazoezi.....
Na ushauri wa madaktari ni muhimu sana wauzingatie...
 
Back
Top Bottom