Ni treni ya majaribio ya mkandarasi mkuu imeanguka!kwani hiyo ndio treni ya umeme tunayotarajia ipite kwenye SGR.
View attachment 1092120
Nilijua mzigo utakuwa hivi.
Ni treni ya majaribio ya mkandarasi mkuu imeanguka!kwani hiyo ndio treni ya umeme tunayotarajia ipite kwenye SGR.
View attachment 1092120
Nilijua mzigo utakuwa hivi.
Soma vizuri kimeandikwa jina la mkandarasi yepi merkezUsipotoshe
Acha Kilivyo Chenyewe Kinajieleza
![]()
Na ndivyo utakuwa, hicho sio kati ya vinavyoagizwa na serikali ni cha mjenzi/mkandarasi kwa ajili ya majaribio.kwani hiyo ndio treni ya umeme tunayotarajia ipite kwenye SGR.
View attachment 1092120
Nilijua mzigo utakuwa hivi.
Kumbe kweli kimeanguka, kuna mtu jana alisema kimeanguka maeneo ya gongo la mboto watu wakabisha. Basi itakuwa ni laana.
![]()
SGR, Tuliahidi - Tunatekeleza, hii ndiyo Tanzania mpya.
1. WALITULIAHIDI HIVI 2. LAKINI WANATEKELEZA HIKI 3. MATARAJIO YA WENGI YALIKUWA KUONA HIVI UPDATES: imetokea jana 7/5/2019 Maendeleo hayana chama.www.jamiiforums.com




Mnahangaika na hawa mbung'o mtakesha macho mekundu.Na ndivyo utakuwa, hicho sio kati ya vinavyoagizwa na serikali ni cha mjenzi/mkandarasi kwa ajili ya majaribio.
Watu wanapenda sana kupotosha na hili jambo linakera sana
Nyumbu zote ni mashetaniNdoto zenu hazitazaa matunda. Hicho ni kitendea kazi cha yepi merkez na wala siyo treni. Kinaweza kuwa kimeanguka wakati kinashushwa kwenye lori. Kilikuwa bandarini mda mrefu. Mnachukia na kuombea mabaya Nchi yenu wenyewe! Nyie ni mashetani.
Mnhh...
Huyu jamaa aliyejiselfie anaweza tekwa apotee kabisa ktk uso wa dunia...


Ni kweli aisee su hata kupoteza kibarua chake kuna watu vilaza au ubongo ushaingia ganzi na matendo ya utekaji?Kichwa kibaya kama ile mikate ya zamani
Kuna mmoja juzi alisema nitaendeleza alikoishia Mengi. Haa, nilimchekiii, Mungu aepushe mbali nisiseme neno baya. Kama hujazaliwa kiongozi, usilazimishe.HAJAWAHI KUFANIKIWA KILA ABAPOGUSA. AJITAFAKARI KAMA ANAFAA
POLE KWA WATAKAOTUMBULIWA
wanafaham ni chamajaribio swali ni: 1 je pale walikua wajaribu nini. 2: hv kilishushwa porini sioUnajua nimeaza kuamini sasa tatizo sio nyerere, mwinyi, mkapa, jk, wala jpm.ila ni akili za watz.
Huyu jamaa amepiga picha akiwa ni fundi anayejua kila kitu lakini sijui anachukua ukumbusho wa kitu gani!!!!
Watz nao wameona picha tayari wana maelezo yao kichwani, mashine haina hata tyre mtu anakwambia imepinduka, na anasema ni kichwa cha treni kimeanza kazi!!!
Ukikutana na mtz kitaa, unaweza sema ni mtu wa maana sana, kumbe kichwani mweupee,na anajua kuongea balaa.