SGR: What really happened here?

SGR: What really happened here?

Jiongezeni
tapatalk_1557340499859.jpeg
 
Naomba kujua wadau inasemekana kile kichwa cha treni ambacho kimeletwa nchini kwa majiribio kimepiga chini kama unavyoona kwenye picha hii siyo edet hii? View attachment 1092372
au hii picha siyo Tanzania?
Wallah huyu jamaa aliyeselfie na hii ajali na kurusha mitandaoni akibaki kazini amshukuru Mungu. Ataondoka tu.
 
Hicho kichwa kilichoshushwa na kilichoanguka ni cha mkandarasi Yepi
 
!
!
Huyu Wa Selfie Kwa Kweli Rest In Peace I Advance.
Kuna Sheria Itakuwa Hivi Karibuni Kwamba Ni Marufuku Kupiga Picha Mali Ya Selikali Bila Kibali Cha Katibu Mkuu. Tusubiri Tu
 
Waaaah! hii Nchi ina vituko walah😂
 
Zamani tulikuwa tunasikitika, na kuchukizwa tukiona mali ya umma ikiwa imeharibika, cha ajabu siku hizi watu wanashangilia bila ya kujua kwamba waliongia hasara ni wao. Wana saikolojia hebu tufahamisheni sababu za mabadilko haya ya tabia!!

Sababu ya ardhi kulowa damu,soma kuhusu madhara ya kafala za watu Kwa taifa utayapata majibu yote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom