HAJAWAHI KUFANIKIWA KILA ABAPOGUSA. AJITAFAKARI KAMA ANAFAATayali tena
Huu utauona kwenye television, ndio maana tumewaletea ving'amuzi sio kila maendeleo uyaishi mengine unatakiwa uyaone tu!!kwani hiyo ndio treni ya umeme tunayotarajia ipite kwenye SGR.
View attachment 1092120
Nilijua mzigo utakuwa hivi.
😁😁😁 mkuu sina nyongeza, naunga mkonyo hoja.Huu utauona kwenye television, ndio maana tumewaletea ving'amuzi sio kila maendeleo uyaishi mengine unatakiwa uyaone tu!!
Nimekukubali mkuuHuu utauona kwenye television, ndio maana tumewaletea ving'amuzi sio kila maendeleo uyaishi mengine unatakiwa uyaone tu!!
Eeenheenh, nyie watu mna akili kweli! Hivi vichekesho vitaua watu, pamoja na kwamba ni jambo la kusikitikia nchi yetu.watasema ni crush test..........