mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Unataka nikijubuje mkuu, walikuwa wanajaribu nguo!!!wanafaham ni chamajaribio swali ni: 1 je pale walikua wajaribu nini. 2: hv kilishushwa porini sio
Unataka nikijubuje mkuu, walikuwa wanajaribu nguo!!!wanafaham ni chamajaribio swali ni: 1 je pale walikua wajaribu nini. 2: hv kilishushwa porini sio
Kwani hajatekwa hadi muda huu ?
Me too!kwani hiyo ndio treni ya umeme tunayotarajia ipite kwenye SGR.
View attachment 1092120
Nilijua mzigo utakuwa hivi.
Huyu jamaa kwa hii selfie lazma atajuta tuNaomba kujua wadau inasemekana kile kichwa cha treni ambacho kimeletwa nchini kwa majiribio kimepiga chini kama unavyoona kwenye picha hii siyo edet hii? View attachment 1092372
au hii picha siyo Tanzania?




KabisaMnhh...
Huyu jamaa aliyejiselfie anaweza tekwa apotee kabisa ktk uso wa dunia...
Kumbe kweli kimeanguka, kuna mtu jana alisema kimeanguka maeneo ya gongo la mboto watu wakabisha. Basi itakuwa ni laana.
![]()
SGR, Tuliahidi - Tunatekeleza, hii ndiyo Tanzania mpya.
1. WALITULIAHIDI HIVI 2. LAKINI WANATEKELEZA HIKI 3. MATARAJIO YA WENGI YALIKUWA KUONA HIVI UPDATES: imetokea jana 7/5/2019 Maendeleo hayana chama.www.jamiiforums.com
Umeongea ukweli kwa tanzania huyo jamaa atapata tabu kwanini kapiga picha eneo la ajali...Ni kweli treni imeanguka ila yeye sio msemaji wa shirika, kwanini apige picha eneo la tukio? Jamaa watalala naye mbele...Yaani hiyo selfie inaweza mpeleka mtu matatani.
Mnhh...
😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu jamaa aliyejiselfie anaweza tekwa apotee kabisa ktk uso wa dunia...
Huyu aliepiga hii picha akichukuliwa hatarudi atuambie mdude anaendeleaje popote alipo....huu ni uhujumu uchumi...