Kwani hajatekwa hadi muda huu ?Mnhh...
😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu jamaa aliyejiselfie anaweza tekwa apotee kabisa ktk uso wa dunia...



Ndoto zenu hazitazaa matunda. Hicho ni kitendea kazi cha yepi merkez na wala siyo treni. Kinaweza kuwa kimeanguka wakati kinashushwa kwenye lori. Kilikuwa bandarini mda mrefu. Mnachukia na kuombea mabaya Nchi yenu wenyewe! Nyie ni mashetani.HAJAWAHI KUFANIKIWA KILA ABAPOGUSA. AJITAFAKARI KAMA ANAFAA
POLE KWA WATAKAOTUMBULIWA
Mkuu, inasikitisha sana.Ndoto zenu hazitazaa matunda. Hicho ni kitendea kazi cha yepi merkez na wala siyo treni. Kinaweza kuwa kimeanguka wakati kinashushwa kwenye lori. Kilikuwa bandarini mda mrefu. Mnachukia na kuombea mabaya Nchi yenu wenyewe! Nyie ni mashetani.
Well said....waambie mkuu.Ndoto zenu hazitazaa matunda. Hicho ni kitendea kazi cha yepi merkez na wala siyo treni. Kinaweza kuwa kimeanguka wakati kinashushwa kwenye lori. Kilikuwa bandarini mda mrefu. Mnachukia na kuombea mabaya Nchi yenu wenyewe! Nyie ni mashetani.
Ndoto zenu hazitazaa matunda. Hicho ni kitendea kazi cha yepi merkez na wala siyo treni. Kinaweza kuwa kimeanguka wakati kinashushwa kwenye lori. Kilikuwa bandarini mda mrefu. Mnachukia na kuombea mabaya Nchi yenu wenyewe! Nyie ni mashetani.
Tatizo ni hiyo rangi ya njano!






Icho ni kiberenge kazi yake kubwa kinakagua njia au kupeleka vifaa vidogovidogo vya ukarabati wa leli ni kama bajaji na uwa inatokea vika acha njia.
UsipotosheIcho ni kiberenge kazi yake kubwa kinakagua njia au kupeleka vifaa vidogovidogo vya ukarabati wa leli ni kama bajaji na uwa inatokea vika acha njia.
Ndiyo UkweliHicho ni kichwa cha majaribio na ni cha mkandarasi .... na hicho kimeletwa kwa majaribio tuuu..