Sexless: Nifanyeje nihongwe magari na majumba?

Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Weka picha yako
 
Paka nywele zako ile rangi ya njano, nyeupe, halafu subiri, wa kwanza atakuhonga V8.
 
Kuna wadada wana kismati bwana wee!! Hee! usiombe, ukichovya tu kumani million zinaingia tena ukiwa hapohapo kwenye kinena acha kabisa!

Sometimes uko juu ya kinena Unaitwa na boss cmu. ngriiii "bwanae uko wapi ? kuna semina ya mwezi Covid-London nataka uende mimi sipo ofisini!! Unaitaka?

Acha hilo kuna kupanda cheo ghafla ofisini.kupata kazi mpya nyingi. Safari zenye hela. Mara Magu anakuita ikulu wee!!!

Kutajirika ghafla yaani utadhani huyo dada amefungua maisha yako!
Kifupi maisha yanabadilika Sasa kwanini nisi muhonge nyumba ya ghorofa?

Utasikia bibi ako anakwambia mke ni huyu! Muache uone cha mtema kuni. Lkn yeye dem hajui kuwa mtu wake yamemnyookea.

Lkn kuna wengine unagonga week na muhonga unarudi home mwenye nyumba hakutaki tu!
hupati tena hela umesoma lkn unakuwa km chokoraaa! Unanuka kikwapa!
Gari unauza. Cheo hupandi, wafanyakazi hawakupendi boss nae! sasa hapo kweli mleta mada ntarudi kwako?

Kwanza nauri sina.
Sina pa kulala.nimefukuzwa

Kazini ni matatizo tupu mara Umekula rushw wewe! Mara hivi!!

Hata hela yakukupa tena sina.
Lkn kule niliko pata million na safari nyingi lazima nimkatie mkwanja mreeefu ndo maana machangu doa hupata wateja wenye nazo!

Wana maisha wale hee! Wasikiega tu!! ndo maana wanaume ni onja onja. Wanatafuta papuchi zenye kismati,
umewahi ona Ma-Cd wamekaukiwa wanaume?
Tena wabunge hatari. km Malima.

Nb narudisha nyota zilizoibiwa lkn uwe na hela. Mashangaxi ni htr sana kwa kuiba nyota
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Toa kwa mpalange
 
Duuh! Mkuu umefunguka mpk raha
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
wewesi unajifanya dume? Hivi huoni aibu
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Toa zawadi ya kisamvu
 
Nichek DM
 
Hata hivyo hayo mambo ilikuwaga zamani , Kwani siku hizi bado yanafanyika?

Usawa huu?!
 
Yani Mwanaume kufika mahala pa kuhonga gari au nyumba ni ulimbukeni wa mapenzi au kurogwa au kitu gani?

Halafu wakijakufulia wanaanza kulaumu watoto wao au ndugu hawawahudumii [emoji87][emoji87]

Halafu wengine badae wanakuja kusumbuliwa na maradhi ya kuwataka kunywa dawa kila siku na lishe maalum hayo yote yanataka fedha ,

Hivi kama ukijua jamaa kama huyo alitapanya mali na fedha utajitoa kumsaidia kwa kiasi gani kwa mfano?

Tafakarini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom