Sexless: Nifanyeje nihongwe magari na majumba?

Sexless: Nifanyeje nihongwe magari na majumba?

Jibrand kwanza...ingia Bongo Movie au Music apo utakua umejiongezea Value kwenye mwili wako...baada ya hapo toa kwa watakaofika dau...
 
naona siku hizi jinsia yako imekuwa ya kike kabisa haibadilikibadiliki.
 
Cccc mange kimambi wa bongoo utasubiri sana labda uongozi ubadilike uwe sweet country
 
Uzi kama huu wa kujisifia wewe mzuri bila kapicha,ni sawa na kumtindua amber ruty bila condom kisha ukajisifia kwa wenye akili ,hakika lazima wakuone una uboya kiwango cha lami
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Simple. We badilika tu from SEXLESS to KE
 
fanya kazi mwaya na jitume utapata tu vyakwako vya bila masimango.
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Fanya hivi... Angalia porn video za wapigwaji maharufu wa hizo kazi, ujue wanavofanya na wanavojiamin.
Kisha nenda kwa baby boy ambae humuogopi kabisa ukafanye practical,
Ukisha kubuu...sasa ndo nenda kamuonjeshe na tajir

Nakwambia utahongwa hata nyumba.

But duuu ni dhambi hayo yote.
Kumbuka kutubu.

Mimi mtumishi mtumishi mwenzio
Nakushahur usisahau kumrudia Mungu wako.
 
Jiweke smart na tumia bajeti kubwa kujiweka levo ya kitajiri,Jifunze kuchezea mashine ili wasikukinai,tembelea migahawa/hotel/sehemu za starehe wanazotembelea matajiri au wenye fedha zao huko utapata unachokitaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom