Sexless: Nifanyeje nihongwe magari na majumba?

Eeh Mungu endelea kunisaidia nisioe nchi hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Wasiliana na kina Wema Sepetu, Hamisa Mobetto, Lulu Diva, na machangu wengine wa hapa mjini watakupa ushauri mzuri tu ila kumbuka ukiachwa utanyang'anywa kila kitu. So be prepared kuchekwa na hao hao watakaokupa ushauri wa kudanga hapa mjini.
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Nimetamani kukutukana lakini nimeona ngoja nikuache tu na ujinga wako
 
Limbwata. ... Katika akili ya kawaida (akili hai) hakuna mwanaume anayeweza kuhonga nyumba au gari & likes kwa mchepuko , lazima Bagamoyo ihusike.

Tafadhali sexless, usiingie kwenye hayo maagano ( selling your soul to devil willingly ) utapata tabu sana ku- maintain hayo maagano,

There's no record of happy endings on such kind of relationship.

Nb...huu ni mtazamo wangu binafsi si lazima uwe universal.
Nakuunga mkono mkuu, this is true ila inaonekana huyu dada kakata tamaa na maisha kutokana na kuelemewa na majukumu ya kimaisha huko kijijini kwao. Wazazi wake wanataka hela ya kulima kwa trekta, watoto wa dada zake wanahitaji hela ya ada ili warudi shule huu mwezi wa kwanza, pia yeye mwenyewe anataka ada ya mwaka mzima kwa nyumba anayopanga na ndiyo maana anahaha mpaka analilia na kufilwa kabisa ili tu akithi mahitaji yake. Hivi mwanamme gani mwenye akili timamu anayehonga demu gari na nyumba akijuwa fika kuwa si wake? Wadada wa kibongo jitumeni, mtaishia kuwa wachawi na kuteketezwa tu na wanaume....wanaume tunapenda wanawake wanaojitambua na si mizigo tu.
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.

Ulifanikisha suala hili?
 
Njoo ntakupa nyenzo ufanyikishe anzma yako ila utanihakikishia hutovunja ndoa ya mwanake mwenzako?
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Kwa kweli wewe ni boya lisilo na tiba....Mwaka 2021 bado unawaza kupata mwanamme wa kumroga ili akuhonge gari na nyumba tu? Unashindwa nini kujituma kufanya kazi au kama hauna elimu wakati wenzako walikuwa wanasoma wewe ulikuwa unafanya nini shuleni? Wacha kuroga wanaume wa wenzio, hauna kazi mjni rudi kijijini kalime utatoboa tu.
 
Ni dawa za mivuto ,mapipi utamu na miksi ndo zinazohusika apo .
Nmejiulizaga kama wewe lakin ayo ndo majbu niliyoyapata
 
Wengine hayo magari ya kuhongwa yamewatokea puani!

Wengine wa bongomuvi wamekuwa wakihongwa magari kumbe ni wa wizi na magumashi kibao!

Baada ya muda mfupi gari inakamatwa na Interpol na kwenda kuozea Warehouses!

Tamaa huwa zinaponza !
 
Wala hata msimseme vibaya mwanamke hata awe tajiri vipi lakin kuhongwa huqa ni furaha yake! Jitahid kutafuta mbinu mwaya utahongwa tu...
 
Limbwata. ... Katika akili ya kawaida (akili hai) hakuna mwanaume anayeweza kuhonga nyumba au gari & likes kwa mchepuko , lazima Bagamoyo ihusike.

Tafadhali sexless, usiingie kwenye hayo maagano ( selling your soul to devil willingly ) utapata tabu sana ku- maintain hayo maagano,

There's no record of happy endings on such kind of relationship.

Nb...huu ni mtazamo wangu binafsi si lazima uwe universal.
acha kuwa serious kwenye stori za kuchangamsha kijiwe
 
Hili danga na shepu yake kama ya soda ya fata take away
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom