Sexless: Nifanyeje nihongwe magari na majumba?

Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Kikubwa usiwe sex less
 
Jiweke smart na tumia bajeti kubwa kujiweka levo ya kitajiri,Jifunze kuchezea mashine ili wasikukinai,tembelea migahawa/hotel/sehemu za starehe wanazotembelea matajiri au wenye fedha zao huko utapata unachokitaka.
Ushauri kuntu huu. Naufanyia kazi.
 
Cha kwanza kabisa wewe apo uwe na pesa binafsi
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Jibu lipo kwenye ID yako.
Au labda una bwawa
 
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
Shemeless woman, ndio maana wakati mwingine wanawake tunadharaulika, badala ya kuwaza njia mbadala ya kujiingizia kipato unawaza kuuza mwili, jiheshimu, fanya kazi kwa bidii, weka malengo kwa kila unachokipata mwisho utajikuta umenunua magari na umejenga majumba na kubwa zaidi hata wanaume watakuheshimu na kukuthamini, utampata mume bora mtajenga maisha na mtakua na kila kitu
 
Shoga tatzo sio uzuri tatizo kila mbuzi anakula urfu wa kamba yake inategemea mazingira yako unayoishi, kazi, mizunguko yako
 
Ukiona mtu kamba ake fupi ila kabahatika ujue ni zali la mentali
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?

Nipeni maujanja nijiweke vipi? Nikae wapi? Niende wapi? Nivae vipi? Iii nimpate mtu mwenye pesa zake zisizo na mawazo
.
.
GBWA-20181004000735.jpeg
 
Kamuulize Amber rutty
 
Labda hao unaowapata hawana uwezo wa kukujengea nyumba! Wanauwezo wa hizo 20 na 50!
Hata ivo shkuru Mungu
 
Subiri jiwe atoke madarakani ndipo ulete uzi wako huu hakika utahongwa hadi dunia
 
Mtafute mzee kuanzia miaka 56 na kuendelea hao ndiyo wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom