Kwani wadanga wengi wanakaa wapiSinza nako kuna makazi yq kumfaa mtu kama mm?
Wakati wewe unaona JF ni kijiwe " wengine tunaona ni shule .....mitazamo inatofautiana.acha kuwa serious kwenye stori za kuchangamsha kijiwe
Dah kwanza sikuwahi kuhisi atakuwa mtoto wa kike kwa alivo na mikwara kwenye majukwaa ya siasa😀.BUSH BIN LADEN njoo umshauri dada yako wa dumu la petrol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kwanza sikuwahi kuhisi atakuwa mtoto wa kike kwa alivo na mikwara kwenye majukwaa ya siasa[emoji3].
Cha kumshauri tu aendelee kumpamba na kumsifu "ni yeye" huenda akapewa gari