sex before marrige

sex before marrige

Acha jazba mkuu. Dhambi ni kwa wote, ila unadhani kama wanawake wakibana hao wanaume watawatoa wapi wa kwenda kuwagegeda??!!

Unafikiri ni kwa nini zamani watoto wa kike ndio waliokuwa wanalindwa zaidi? Jibu ni rahisi ukimlinda msichana, mvulana imekula kwake. Halafu kingine ni kuwa wasichana ndio wanawashawishi wanaume kwa kiasi kikubwa. Humu JF kuna nyuzi kibao zimejadili udhaifu wa mwanaume kwa mwanamke. Kwa hiyo utaona kuwa kama wanawake wakibana, wanaume itabidi waoe tu, maana kutakuwa hakuna namna.

Leo hii watu hawaoni haja ya kuoa kiviiile kwa kuwa wakitaka ngono, inapatikana kirahisi sana.

Tafakari, chukua hatua.

anatetea zinaa
 
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages

Sjakuelewa nieleweshe mtoto atakurithi vip?????? Afu mwanaume kukuacha si shida!!! Kama hukuwa na performance lazima akuache ..na hata ukiolewa mumeo akiona performance hamna mpango wa kando utakukumba ...cha muhimu ni kumpata mke mwema
 
asilimia 76 ya akili ya mtoto anarithi kwa mama yake kama mama anatabia za ajabu ajabu ujue na watoto wake watakua hivyo hivyo
 
yan kujaribu lazima kama hailiki liwe zigo langu na ndoa za kikristu zilivyo mbaya mke mmoja na mme mmoja kwa aisha ya wawili sasa mpaka afe mmoja lini na kama bovu nivumilie tu yan bora kujaribu mapema
 
hizi fikra potofu. Unajuaje kama ni mbovu?
 
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages

hii point ya "watarithi tabia" ume google wapi?
Mbona haina mantiki.
 
kisa cha kukuta bamia na nyanya chungu???????????? me lazima nitest nione yalimo yamo................
uwiiiiiii ndo nyie mkiingia kwenye ndoa eti bwana hakufikishi,,,,,,,, sisikii utamu!!!!!!!!!
ndo maana sapu zipo eeeeenh!!!!! ukifeli mtihani shurti urudie.
Babe wangu uko wapi tuka tukafanye yetu sie tutangaze ndoa!!!!!!!!!!!!!!!

Upo sawa habari za kusema mi sikujua sizitaki kabisa,lazima ujue kila kitu bwana
 
Bila sex, hunipati. hata kwa bure. Sex ina maana yake katika mahusiano sio kuangaliana tu.
 
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages
1-Nilipobold ndo penye ukweli tuu.
2-Bila factory tests nani atakubali kuoa/kuolewa?Je ukikuta hiyo kitu haipo au kwenu kina dada mnausemi ah kitu chenyewe kama kipele yaani kidogoo hata hakinifikishi.Mimi nisingekubali kumuoa mama yao bila kupumua juu yake, tena mara kibao hebu mpigie umuulize kama ni nasema rongo.
3-Hao watoto watajuaje kwamba wazazi wao walikulana kabla ya ndoa?Na hao watoto kwanini wachague kufuata huo mfano mbaya badala ya kufuata yaliyo mema?
4-Kwa vile siyo rahisi mtu yeyote mkamilifu kudumu muda mrefu bila sexual intercourse unamaanisha bi-dada asikulane na anayemtegemea ktk ndoa bali kwingine aliwe tu?
 
Mazoezi hakufanya,uwanjani namba akapata ndo maana katufungisha. Rfrence(SNURA.).
 
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages

Wadanganye wenzako halafu siku ya ndoa ikifika wakutane na "usikohoenisijetoka"
 
Back
Top Bottom