Acha jazba mkuu. Dhambi ni kwa wote, ila unadhani kama wanawake wakibana hao wanaume watawatoa wapi wa kwenda kuwagegeda??!!Acha upuuz wako ww kama umekosa vya kuandika kakojoe ulale, kwhy n dhambi kwa kina dada tu co watu wote??? Na hao watoto wanaozaliwa wanaridhi mabaya ya mama zao tu alafu mabaya ya baba zao anaridhi nani?? Kuzini n dhambi kwa binadamu wote co wanawake acha ubaguz na upuuz wako peleka facebook
Wewe tulia, usimsemee kila mwanaume wa mjini. Kuna wengine wako tofauti na wewe..........Hakuna mwanafunzi anayefanya mtihani wa taifa kabla ya kukutana na testi shuleni. Vile vile, ndege haliwi bila ya kunyonyolewa manyoya kwanza.
Kama unataka atayekuoa akukute na Bikra katafute wanaume wa kijijini kwenu huko Mbwinde.
Kufahamiana ni lazima mzini?!! Na huo uzinzi hajauita yeye ni dini uliyonayo na hata ukiondoa dini za hapo mashariki ya kati, tamaduni zetu zinakataa uzinzi kabla ya ndoa. Ndio maana bikra ni tunu.Ndoa ni process ndefu sio maigizo wala maonyesho!!!!!!!!!!!!!!!! Inatakiwa mpate mda wa kufahamiana vizuri na mwenza wako.......... mojawapo ni huo uzinzi unaouita wewe!!!!!!!!!!!!
Duhhhhh kwa hili motoni tutaenda wengi .
Habari yako mkuu??? Mambo yanaenda??
Mambo yanaenda salama tu . Nashukuru .
We unaendeleaje ? Naona tunapewa lecture kuhusu
Sex kdbla ya ndoa dahhhh . Hii ngumu ku meza .
Sio kweli wewe usijumlishe watu wote kwa sababu ya tabia zako bwana. Mtu ukiamua kukaa bila ngono inawezekana kabisa ni uamuzi tu.Haya waliyaweza wazazi wetu mkuu... Hapa kitakachotokea ni cheating tu... Mwanamke atasema no sex until marriage mwanaume atasema sure... Ila mwanaume ataendelea kufanya yake huko pembeni mpaka siku ya ndoa... Watu hawajajua.. Sex kwa mtu mzima ni kama maji kwa binadamu yeyote
Yani mboga iende mezani bila kuonja kama chumvi imekolea!!!
it seems you have forgotten the saying which goes " curiosity........"
Na wewe unadhani Mungu alikuwa hatumi Mitume ili watufundishe adabu? Sa kama unadhani Mungu anafanya utani basi we ngojea tu MOTO, tena moto wakule unapo waka ujuwe umewaka ni lazima iwakusanye wengi sanaaaaa.Duhhhhh kwa hili motoni tutaenda wengi .