tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
hivi wewe tinna cute hujui kuwa ndoa ni kuvumiliana na kufundishana kwenye mapungufu!!!!!
:A S 39:
Mengine hayavumiliki ni bora ujue kabisa kama unaweza au la.
hivi wewe tinna cute hujui kuwa ndoa ni kuvumiliana na kufundishana kwenye mapungufu!!!!!
:A S 39:
heeeeeee toba we mwana we usinvunje mbavu mwenzio tinna cute!!!!!!!!!!kwa hiyo unachofata ni hiko tu !!!!!!!!!!
Ni kweli kabisa hicho me nakipa first priority,,, maana kina uwezo wa kuzika na kufufua ndoa...
Kuna yalokusibu ww si bure
SHAKE WELL BEFORE USE mhhhh wewe hii pia imo kwenye maandiko!!!!!!!!!
cute-one karibu sana.SUBIRI NDOA ILA UKIJA kukuta jamaa ana kimchi cha kinu cha kutwangia vitunguu swaumu usije kulalamika.maana sijui itakuwaje mtaimbo kama uinchi 12 hivi haha lazima utapike nyongo