sex before marrige

sex before marrige

mh! Hata maandiko yameandika AKUOMBAE UMPE,uchoyo umeanza lini? Halafu SHAKE WELL BEFORE USE umesahau hii kitu?

SHAKE WELL BEFORE USE mhhhh wewe hii pia imo kwenye maandiko!!!!!!!!!
 
kwa sababu tumeamua kuvunja kanuni,na unajua matokeo ya kuvunja kanuni nini?
Sipingani na maandiko.matakatifu ila nina swali ambalo huwa nna jiuliza sipati jibu if SEX was made ONLY FOR MARRIAGES why then we unmarried twapata
 
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages

Dada mada ulioileta nzuri nakupa pongezi

Unajua humu ndani wengi wanapenda zinaa so lazma watakupinga tu, achana nao!

Sababu ulizotoa ni nzuri

Ila sababu moja kubwa na wabishi wakitaka wabishane na muumba aliowaleta hapa duniani!

Zinaa ni dhambi!!!!

End of storyy
 
Vp kuhusu wakaka??? Je, wao wanaruhusiwa kufanya mapenzi kabla ya ndoa???
 
cute-one karibu sana.SUBIRI NDOA ILA UKIJA kukuta jamaa ana kimchi cha kinu cha kutwangia vitunguu swaumu usije kulalamika.maana sijui itakuwaje mtaimbo kama uinchi 12 hivi haha lazima utapike nyongo
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages
 
kuuziwa mbuzi kwny gunia
cku hizi hakunaga,wadada wanaolewa na
vitumbo vyao mbele,dunia ya leo tofauti na zamani!!
SHAKE WELL B4 USE!!
 
mmh dunia ya leo ndugu yangu ni vigumu mnoo yaan mnoo kama ngamia kupita kwa tundu la sindano.

wa late 70s na 60s na kurud nyuma uko waliweza nadhan nw hali ni tete........ kifupi haiwezekani hata walokole wanatuongopea.
 
Made the monkey loose its virginity
Acha watu wa loose banaa getting married kwa asie kuplease ya nn??ndo maana Mungu asema tuungame we shall repent n burry our past tuanze new page

hahahahaha! how about.........killed the cat?
Ole wake afanyaye machukizo kwa kukusudia.......
All the best mkuu
 
Zinaa dhambi,japo sijaoa ila mwanamke ntakaemuoa ntamlala usiku wa siku ya kwanza ya ndoa yangu

mkuu, kuna watu wamegeuza kutenda dhambi hii ni fashen/halali. safari ya mbinguni ni ngumu kwa wasioamini.
ndoa nyingi zina matatizo sababu ya kutest. mtu ametestiwa na watu kadhaa then anakutana mwenzake naye alionja na kuonjeshwa hadi anajiogopa. each and everyone will be haunted by the past. My the LORD save us from this deep sea of sin!
 
aaamen
 
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages
mwaya umetoa point shosti...ila kwa hii dunia ilojaa box za condom kila kona!hmmm ngumu kumesa!
wakaka hadi wadada wamejihami na guns(condoms) vyumbani..teh we unadhani wanaweka za kufutia mikono!
kwanza haya makemikali ya siku hizi na masuala ya ushoga yani mambo ni mengi! na tusidanganyane....shaking befor use is inevitable! lo:lying::smile-big:
 
Sipingani na maandiko.matakatifu ila nina swali ambalo huwa nna jiuliza sipati jibu if SEX was made ONLY FOR MARRIAGES why then we unmarried twapata

Sex was made special for married couples. Na sisi tusiooa tunakiuka amri ya Mungu isemayo usizini. Kwa kuwa aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Unaona jinsi gani Mungu anaichukia dhambi ya uzinzi, hata Sodom na Gomorrah ziliangamizwa kwa dhambi ya uzinzi... Acha uzinzi, ni dhambi mbaya.. inaidhoofisha akili.
 
Back
Top Bottom